GE2025 Dr. Slaa amejitoa mhanga!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Msaliti balozi wa Sweden Ana zeeka vibaya atulie ale pensheni hayo ange ya pigania akiwa balozi ndani ya serikali. mkuu wa majeshi si rais mwenyewe au ye hajui



Fullstop, kwishaaaa
Msaliti wakati ule.
Sasa tunataka wapiga kelele wengi kadri iwezekanavyo bila kujali historia ya mhusika.
Kama sisi wengine tumeshindwa, acha wanaoweza kuikabili CCM hata kwa maneno wafanye hivyo.

Hii vita sio ya kila mtu!
 
Suala la Polepole ni zito sana, Kisheria CCM hasa viongozi wote walichofanya kina makosa mengi makubwa, mojawapo ni Espionage chini ya National Security Act , katika Sheria zetu wote wanatakiwa kwenda Jela si chini ya miaka 20 hadi maisha.
Ushahidi kuwa CCM walifanya hilo kosa unao? Unamuamini Polepole tu

Wewe una ushahidi? Hizo sheria unafikiri kusema zimevunjwa huhitajika ushahidi sio mikelele ya Polepole na dhana fikirika yako wewe
 
Vipi, ule ubalozi alioewa na jiwe ilikuwa ni bahati mbaya?
Makusudi, Jiwe kuna watu waliwapenda kutokana na itikadi zao kuona zinafanana, ata Slaa angepata bahati kuwa Rais unafikiri asingemteua Jiwe? Itikadi zikiendana
 
Makusudi, Jiwe kuna watu waliwapenda kutokana na itikadi zao kuona zinafanana, ata Slaa angepata bahati kuwa Rais unafikiri asingemteua Jiwe? Itikadi zikiendana

itikadi gani? Za udikteta ama?
 
LIJINGA HL WW NI MUNGU HD USEME HY MWIZI WA TAIFA MNAE HD 2030?
 
Dr. mihogo hana jipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…