GE2025 Dr. Slaa amejitoa mhanga!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
hatua ya kwanza ni ipi? tueleweshe wajinga tu wengi
 
yeye si alinunuliwa na Kikwete au amesahau? mwambieni sisi hatujasahau
Umeshaambiwa Lowasa, Kikwete na Rostam ni kundi la Mtandao! Yaani lao lilikuwa moja na Slaa hajawahi kuwa na ukaribu na Lowasa wala JK. Kwa muktadha uo Slaa alikuwa sahihi kupinga ugombea Urais wa Lowasa pale Chadema.
 
Mkuu unatuchukuliaje? Unataka tufukue makaburi? Mwakiembe alikua anafanya nini behind the scene kwenye ile press maarufu ya Slaa? na vipi umesahau Slaa alipokua anafatana na JK kwenye ziara zake baada ya ile press?
 
Mkuu umesahau mlikuwa mnatuambia kuwa Slaa anauza super market Canada? Au mmesahau List of Shame? Umeshasahau kuwa Lowasa na JK ni Boys II ambao walikuwa katika harakati za kusaka urais since 1995? Slaa hakuwa na ushirikiano wowote na JK, We muulize aliekabadilisha gia angani kwann alifanya vile na kwa maslahi ya nani?
 
Vipi, ule ubalozi alioewa na jiwe ilikuwa ni bahati mbaya?
 
CCM mtandao wakiongozwa na PAY MASTER - RA ndiyo waharibifu wa nchi yetu. Huyo Mzee wa Msoga aonywe atulie kwake na kama anataka siasa arudi majukwani tujue moja.
Tanganyika ni yetu sote na si mali ya kakikundi kamoja.

Hili suala la kuungamisha Databases 3 yaani ya CCM, NIDA na Tume ya uchaguzi ni zito mno...hili linaondika na watu.
 
Mkuu unatuchukuliaje? Unataka tufukue makaburi? Mwakiembe alikua anafanya nini behind the scene kwenye ile press maarufu ya Slaa? na vipi umesahau Slaa alipokua anafatana na JK kwenye ziara zake baada ya ile press?
Yaani Slaa aache kumsapoti Magufuli,amsapoti Lowasa?
 
Kama nawaona CCM wanavyotamani kwenda ku undo walichokifanya kupoteza ushahidi maana wako kimya wamepaniki

Ila ili haki itendeke hakupaswi kuwe na uchaguzi mpaka mambo yakae sawa

Say NO TO UCHAGUZI 2025
 
M
mkuu, nakuteua kuwa DPO wetu huku JF
 
Mzee aliandika hadi kitabu
Dk. Slaa ana fiksi nyingi sanaaa mzee huyu! Hiyo ni hotuba ya Mwalimu Nyerere siyo kitabu. Ni hiyo aliyosema: "Mimi nang'atuka, naivua kofia ya Mwenyekiti wa CCM...ila naamini....bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba!" Agosti 16, 1990. Unaweza Google pdf.

Halafu presentation ya Dk. Slaa kuhusu CDF siyo nzuri. Haina staha ya lugha. Kwa watu smart anakera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…