Hana tena mvuto. kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake chadema mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.
UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.
My take. slaa apimzike tu. abaki na majukumu ya familia
Ifweero, tafadhali kajipange tena hiyo single yako watu wameichoka , Watanzania si Wadanganyika tena wana kushangaa .....
Hana tena mvuto. kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake chadema mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.
UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.
My take. slaa apimzike tu. abaki na majukumu ya familia
Dr.W.Slaa jitokeze hadharani uwambie watanzania ni lini utaoa? Kesi yako imefikia wapi?
Siyo kuchuja tu mpaka amepauka.
1:Hoja yenye mvuto kwa sasa ni double standard ya Kinana kumuonea Mwigulu kwa sababu Mwigulu ameonyesha msimamo wa kuwashughulikia Mafisadi hasa kauli zake hatari kuhusu wezi wa ESCROW
2:Kama Slaa amechuja sioni mantiki ya wewe kutoa taarifa ya kutu-alert.Ulitakiwa ukae kimya kwa kuwa inawafurahisha ili tuendelee kukosea kumuamini
Vinginevyo unatoa ujumbe ambao ni kinyume na hoja yako
barabara bora za lami nchi nzima. hospitali za rufaa kila mkoa. shule za sekondari kila kata. chezea mkweree weyee

Badala ya kujadili matatizo ya watanzania na kutoa suluhisho la kisera akajadili masuala binafsi kwa watanzania?Watanzania sio wadaku na wambea kama wewe
Hana tena mvuto, kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake CHADEMA mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.
UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.
My take. Slaa apimzike tu abaki na majukumu ya familia.

usiwasemee watanzania. jisemee wewe kuwa unamhitaji. maneno ambayo nadhani angepaswa kuyasema josephine
barabara bora za lami nchi nzima. hospitali za rufaa kila mkoa. shule za sekondari kila kata. chezea mkweree weyee
Kwa umri wa Slaa,Josephine ni binti kabisa,imagine Slaa akiwa na miaka 30 eti Josephine ndo anazaliwaBinti wa miaka 40...!!
Bahati yako unajificha kwenye ID feki.Kama unajiamini,tumia jina halisi kama mimi halafu urejee maneno yako haya
Ana heri aliyechoka kuliko mdanganyifu wa umri, jina na daraja la shahada.Alaaniwe fisadi msaka urais wa Tanzania. Dr. Slaa ni mwanasiasa mkomavu, mwelevu,aliyejaa weledi na tunayemhitaji kwa Tanzania tuliyonayo. Long live Dr.Wilbrod Peter Slaa. Tunakuhitaji Dr.Slaa.Wewe furahisha baraza lakini Dr. Slaa anabaki wa kipekee