Na ndio sifa ya kiongozi anaefaa kuliongoza taifa la watanzania bila kujali imani ya kidini,rangi,ukanda wala kabila.Na kwa kukosa sifa hizo Chadema hawatokuja kuliongoza taifa la Tanzania milele kwa kuwa tunawafahamu na dhamira waliyoibeba inatambulika.JK ni kiongozi wa taifa la watanzania kwenda kanisani kushiriki na watanzania wenzake katika ibada wala sio tatizo.Lakini jiulize kama ingetokea padri Slaa watanzania wangejaribu kumpa uongozi wa nchi angeshirikiana na watanzania wenzake wenye imani tofauti na yeye?Nyerere hawezi kuwa jambazi. Ndio maana Alhaji Kikwete yupo ndani ya KANISA KUU KATOLIKI la Iringa akishiriki kuumega mkate katika harakati za kumwombea Mwenyeheri NYERERE
Kwani Josephine alienda kupuyanga? si mlimtuma sasa kuna ubaya gani mkambeba junior?
Na ndio sifa ya kiongozi anaefaa kuliongoza taifa la watanzania bila kujali imani ya kidini,rangi,ukanda wala kabila.Na kwa kukosa sifa hizo Chadema hawatokuja kuliongoza taifa la Tanzania milele kwa kuwa tunawafahamu na dhamira waliyoibeba inatambulika.JK ni kiongozi wa taifa la watanzania kwenda kanisani kushiriki na watanzania wenzake katika ibada wala sio tatizo.Lakini jiulize kama ingetokea padri Slaa watanzania wangejaribu kumpa uongozi wa nchi angeshirikiana na watanzania wenzake wenye imani tofauti na yeye?
Haya ngoja tumsubiri Dr.aaaa ritz acha basi mbona vyote vinawezekana....wakati mmoja mahali pamoja siku tofauti....
tusubiri slaa arudi atupe mjumuisho jk akienda huwa akirudi hatuoni jipya
Babu akenue meno hayo meno anayo?Junior ni binadamu kama wewe. Wakati wewe unabemendwa ulikuwa unabebwa pia. So kumbeba Junior sio kitu cha ajabu. Kikubwa hapa ni ukweli kuwa Slaa hakwenda US kukenua meno. Ameliwakilisha taifa vizuri
Kweli mkuu siku hizi mwanaCCM bila kuitaja Chadema hataeleweka iwe kwenye mikutano, mitandaoni, bungeni, magazeti, TV bila kuwa habari yeyote kuhusu Chadema, Slaa, Mbowe, Lema, Msigwa nk haijakamilika.Hizo porojo za Chadema kutokuja kuongoza taifa hili kazipeleke Lumumba. Hapa kila siku unashinda mtandaoni kuijadili Chadema. Si unyamaze tu kama haitakuja kuongoza nchi hii.
Hizo porojo za Chadema kutokuja kuongoza taifa hili kazipeleke Lumumba. Hapa kila siku unashinda mtandaoni kuijadili Chadema. Si unyamaze tu kama haitakuja kuongoza nchi hii.
Kwa kulifahamu hilo ndio maana babu daily anaweweseka mara utamsikia..."oooh hii nchi haitawaliki","tutaandamana mpaka kieleweke" + matamko mengi yasiyokuwa na tija huku CCM na serikali yake ikizidi kujikita katika mioyo ya watanzania.
lini anatua dar na mapokez yake yakoje?
Tangu mwl nyerere atutoke huyu ndo mbadala wake,hata steven wasila anajua hiyo kitu.
Kama haitawaliki basi babu alienda Marekani kutafuta hifadhi ya kikimbizikwani sasa inatawalika au inajieendea tuuu refer zira za rais kwenye wizara au angali hotuba zake yeye ni kulalamika tuuuu au wewe huskiii...
mara ooo halimashauri kuna mchwa wanakula mpaka mabati khaaaaa sisi tufanyeje?
Mbona mnatachanganya Dr.Slaa kwenye hotuba yake anasema watanzania wamemtuma Marekani, mleta mada anasema alialikwa na vyuo vikubwa Marekani.
rais karibu
Hapo kachemka wasitoe misaada ya pesa na watu wao wakale wapi? Unaipa msaada nchi pesa halafu unaleta watu wako waje kuzibomolea huku kama wasimamizi wa hizo pesa na hayo uliyotolea msaada.Misaada ya pesa haiji kukoma ng`o.Na ambao hataki ikomeshwe kama hajui ni hao wanaotoa wenyewe.Hiyo hotuba aliyotoa ni mwiba kwa CHADEMA.Hawajaangalia wanaowahutubia huwa wanapenda nini.Saa hii watakuwa wamejifungia ndani wanaichambua kama karanga.Take it from me CHADEMA isahau misaada ya fedha toka kwenye nchi hizo walikohutubia.CHADEMA misaada ya fedha toka nje ikipungua wasishangae hotuba zao zimewaponza.
Omba omba utamjua tu hata kwa maandishi toka akilini mwake.Fanyeni kazi acheni kutemea kuomba ndiyo CCM imetuuza .
Ebu tuambie hiko kipimo cha mtu kupenda ngono unacho wewe? kwa siku unaweza kupima wangapi?
Wa kwenu huko hukoo!!!
Hivi omba omba mkubwa nje ya nchi kati ya CCM na CHADEMA ni nani? CHADEMA na zile NGO`S ikiwemo ile ya DK slaa CCBRT kwa kuembeza bakuli la kuomba hela ndo zenyewe.Pamoja na zile zilizokuwa zinahamasisha migomo ya madaktari n.k za akina kijo bisimba na Anael NKya.Do you want more? kasema hataki pesa CCRBT SLAA ataendesha kwa mtorii au mbege?