Dr. Slaa akinywa kahawa na Binti wa Kiarabu..

Picha hiyo ni ya kutengenezwa, kichwa kimechomekwa cha Slaa wakati kiwiliwili ni cha ustaadhi fulani.

Slaa hana miguu myembamba hivi, Slaa amejaza miguu. Halafu anaonekana ni mrefu na mwenye miguu myembamba na mirefu wakati Slaa ni wa kimo cha wastani na miguu iliyojaza kiasi.

Aliyechomekea kichwa cha Slaa amefanikiwa mandhari lakini picha ya mshusika ameangukia pua.

jipe moyo,kwani kuna ubaya yeye kuongea nao?
 
Hakuna ubaya, cha msingi picha ya kutengenezwa ni uchafuzi wa hali ya hewa. Tunataka kitu cha kwali si ubunifu wa katuni kwa kutumia Photo Illusion.
hahaha inawezekana ukawa unasema ukweli lkn mimi sio mjuzi wa mambo ya photoshop,siwezi kukubali wala kukataa.lkn nilivyo muona slaa ni mtu mwembamba ili ni mnene tumboni tu.
 
picha hiyo ni ya kutengenezwa, kichwa kimechomekwa cha slaa wakati kiwiliwili ni cha ustaadhi fulani.

Slaa hana miguu myembamba hivi, slaa amejaza miguu. Halafu anaonekana ni mrefu na mwenye miguu myembamba na mirefu wakati slaa ni wa kimo cha wastani na miguu iliyojaza kiasi.

Aliyechomekea kichwa cha slaa amefanikiwa mandhari lakini picha ya mshusika ameangukia pua.
happo umemkamata,hata hivyo kuonyesha uongo wake amemuita dr. Slaha, badala ya slaa
 
Kwenye picha hii, hakuna proportion kati ya kichwa cha "Slaha" na mwili wake kwa watu wenye jicho na haya mambo.
 
Kwenye picha hii, hakuna proportion kati ya kichwa cha "Slaha" na mwili wake kwa watu wenye jicho na haya mambo.
Hakuna photoshop hapo ...... kwani fedha za siasa unadhani zinatoka wapi?
KalAGHA BAHO NA UBOZI WAKO.
 
Tazameni NGUO na VIATU alivyovaa Dr. Slaa kama ni kweli. Vyote ni MADE IN TANZANIA kama sikosei.

Safi sana Dr. Kwa kukuza na kusaidia soko la ndani na siyo wanaovaa misuti ya kushonewa mtaa gani sijui pale London?

Kwa kuvaa hizo nguo na viatu, alitoa ajira kadhaa kwa Watanzania. HONGERA SANA DR. SLAA

Mnyamwezi mwenza ....unajua sana kunotice vitu muhimu
 
doc SLAA anaumwa sidhani kama atafika 2015 cheki miguu ilivyokwisha inawezekana tayari washa mnywesha ila yeye ajagundua kwamba inamla taratibu
 
Hakuna ubaya wowote kwa Slaa kuwepo katika mazingira hayo,sema pro-CDM wao hubisha kila kitu bila sababu za msingi!!Kwani akimtembelea mzee Sabodo hawezi karibishwa Gahwa kama hivyo?Au mzee Sabodo siyo mwarabu?Mbona mambo madogo tu haya jamani mwataka yawe makubwa!!
 
The picture shows watu wa different background wakisocialize kwa utulivu, upendo na amani. The picture works positively for Dr. Slaa. Photoshop or genuine, it is good for Slaa. Shows ni mtu wa watu wote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom