Dr. Slaa akimbia Mdahalo wa Kesho

Dr. Slaa akimbia Mdahalo wa Kesho

Leo ndiyo umegundua hilo, hakuna mdahalo hapo. propaganda za ccm tu.
 
Hao waandaji hawakuwa fair, unamleta msomi wa ngazi ya uzamivu na uzamili halafu yeye ana kanoni yake. Walitaka kumuaibisha. Kwenye hili nipo pamoja na Dr Slaa. Siku wakimwita mchungaji Gwajima na Sheikh Kundecha ndio na Slaa ahudhurie.
 
hata hivyo cdm awafuat ratiba za wengine kila vyama vinautaratibu wao sasa kuhusu dk. slaa kukataa kwa sasa ni jambo jema tu waliokwisha kukamilsha taratibu za vyama vyao waende tu
 
CCM wameshafika zaidi ya 30, tuone kama CHADEMA baada ya Slaa atajitokeza mtu mwingine, akijitokeza unikate kidole.
Hahahah ,kamanda hilo neno,ni sawa na CUF huku Zanzibar.Hakujitokeza mtu yoyote kupambana na Maalim Seif.
Ambapo mie nilitegemea Juma Duni Haji angeweza kuchukua nafasi ile
 
Wewe unaleta mchezo na madahalo wa uchumi, unahitaji elimu.

Sasa Mwenyekiti wa Chadema akasimame na Prof Lipumba na Zitto?waliangalia ndio maana wakaona afadhari Dr Slaa angeweza kujadili, Mbowe mjadala huo ungempwelepweta.
Utampwelepweta hahahahah
 
Haaa kwa kuongea na kuzusha mambo ya uongo majukwaani wapo njema ila linapokuja suala la kujadili mada kwa nguvu za hoja ni mgogoro..Hawana weledi wa kujibu na kujenga hoja
 
Kuna mdahalo ulikuwa unafanyika jana, chadema walipewa taarifa mapema, nashangaa japo sijui walitoa taarifa gani ila wakaukimbia mdahalo. Sidhani kama kukimbia mdahalo kutakijenga chama. Midahalo kama hii ni kuwa misimamo yenu na sera zenu zinawafikia wale ambao hamuwez kuwafikia kirahisi.
Mmeonyesha the really Tanzanian face , mara nyingi mtanzania akikaribia kufanikiwa anakuwa na majivuno anaringa ringa sana. Sasa tuwatofautisheje na CCM?
Tuna uhakika gani kama mkishika nchi hamtakuwa na dharau na kukimbia haja na shida za wananchi?
Too low for chadema!!!!
You can prove mw wrong.
 
Wao ni wakubwa.....
Midahalo ya kitoto haiwafai....
Hongera Chadema.......................
 
Kwanza huo mdahalo ulikuwa unahusu nini !? Isijekuwa ulitaka wahudhurie tu hata kama kwao ulikuwa hauna tija
 
Kwanza huo mdahalo ulikuwa unahusu nini !? Isijekuwa ulitaka wahudhurie tu hata kama kwao ulikuwa hauna tija

Hauna tija? Mbona wenzao walikuwepo? Lipumba na Nccr walikuwepo in short ulikuwa wa vyama vya upinzani.
 
Kuna mdahalo ulikuwa unafanyika jana, chadema walipewa taarifa mapema, nashangaa japo sijui walitoa taarifa gani ila wakaukimbia mdahalo. Sidhani kama kukimbia mdahalo kutakijenga chama. Midahalo kama hii ni kuwa misimamo yenu na sera zenu zinawafikia wale ambao hamuwez kuwafikia kirahisi.
Mmeonyesha the really Tanzanian face , mara nyingi mtanzania akikaribia kufanikiwa anakuwa na majivuno anaringa ringa sana. Sasa tuwatofautisheje na CCM?
Tuna uhakika gani kama mkishika nchi hamtakuwa na dharau na kukimbia haja na shida za wananchi?
Too low for chadema!!!!
You can prove mw wrong.

Wewe siku hizi unakula maharage ya wapi? Nilidhani ulivyoamuwa kurudi shule umekwenda kuongeza akili kumbe umekwenda kuongeza ujinga.

Unakiona ulichokiandika? Unaposema japo hujui walitoa taarifa gani unategemea mtu gani makini anaweza kufanya intellectual arguments na stupid person like you?

Ningekuona una japo akili ndogo tu ya kuvukia barabara kama thread yako ingejikita kutaka kujuwa sababu za Chadema kutoa taarifa za kutoshiriki mdahalo ule.

Wewe mmu ndio jukwaa linalokufaa kwa sasa hapa waache watu wanaotumia akili kwa kila jambo.
 
Wao ni wakubwa.....
Midahalo ya kitoto haiwafai....
Hongera Chadema.......................

Mufuruki ni mbambaishaji tu, Chadema jana imeshatangaza itashiriki midahalo yote wakishakamilisha michakato yao ndani ya chama.

Wenye akili tunaelewa vizuri lengo la mdahalo wa jana na lengo halijafanikiwa kama wamepata hasara wakufwe tu.
 
Wewe siku hizi unakula maharage ya wapi? Nilidhani ulivyoamuwa kurudi shule umekwenda kuongeza akili kumbe umekwenda kuongeza ujinga.

Unakiona ulichokiandika? Unaposema japo hujui walitoa taarifa gani unategemea mtu gani makini anaweza kufanya intellectual arguments na stupid person like you?

Ningekuona una japo akili ndogo tu ya kuvukia barabara kama thread yako ingejikita kutaka kujuwa sababu za Chadema kutoa taarifa za kutoshiriki mdahalo ule.

Wewe mmu ndio jukwaa linalokufaa kwa sasa hapa waache watu wanaotumia akili kwa kila jambo.

Asante sana kwa matusi, ila mimi sio mwandishi wa habari na kwa taarifa yako kama hujui forums, basi nenda kaulize vizuri,forums sio gazeti au sio blogs kwamba ni lazima uikute taarifa ikiwa nZima.

Kama kuna mtu anajua kwa nini chadema hawajashiriki basi anaweza kuileta hio sababu hapa na kam wewe ni mfia chadema basi lazima unaijua hio sababu.

Kumbuka matusi siku zote hayana tija na yanaharibu mjadala.

Mods wapo na kuna wadau kibao wanaojua sababu za Chadema kukimbia mjadala.
 
CHADEMA imetoa sababu ya kutoshiliki huo mdahalo, mtoa mada usingekulupuka... ungejalibu kufuatilia kabla ya kutoa uzi.
 
Asante sana kwa matusi, ila mimi sio mwandishi wa habari na kwa taarifa yako kama hujui forums, basi nenda kaulize vizuri,forums sio gazeti au sio blogs kwamba ni lazima uikute taarifa ikiwa nZima.

Kama kuna mtu anajua kwa nini chadema hawajashiriki basi anaweza kuileta hio sababu hapa na kam wewe ni mfia chadema basi lazima unaijua hio sababu.

Kumbuka matusi siku zote hayana tija na yanaharibu mjadala.

Mods wapo na kuna wadau kibao wanaojua sababu za Chadema kukimbia mjadala.

sasa ungeomba sababu ya CHADEMA kutoshiliki mdahalo ungepewa, ila wewe umefungua uzi kuiponda CHADEMA.... hapo ndipo unapoonekana fyuzi zako zimelegea kidogo, ungekuwa na busala ungezitaja sababu za CHADEMA kutoshiliki na kuanza kuzikosoa. nakushauli uwe unasomasoma kidogo Jf sio unakulupuka kuleta thread, uzi wa sababu ya chadema kutoshiliki ushaletwa na TUMAINI MAKENE hapa.
 
Back
Top Bottom