Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,564
- 109,103
Asante sana kwa matusi, ila mimi sio mwandishi wa habari na kwa taarifa yako kama hujui forums, basi nenda kaulize vizuri,forums sio gazeti au sio blogs kwamba ni lazima uikute taarifa ikiwa nZima.
Kama kuna mtu anajua kwa nini chadema hawajashiriki basi anaweza kuileta hio sababu hapa na kam wewe ni mfia chadema basi lazima unaijua hio sababu.
Kumbuka matusi siku zote hayana tija na yanaharibu mjadala.
Mods wapo na kuna wadau kibao wanaojua sababu za Chadema kukimbia mjadala.
Wewe ni mpumbavu. Period.
Hapa siyo Instagram au wasapu kwa wapumbavu wenzako kabla ya kuanzisha topic humu anza kusearch humu kwanza unaweza kupata majibu kabla hata hujaanzisha thread.
Ingekuwa humu wote ni wapumbavu kama wewe kila mtu asubuhi ingekuwa akiamka anafunguwa tu thread bila kuanza kusoma weekly thread ambazo zimeshapostiwa humu na tumeshazijadili kwa kina.
Kwanza aliyekwambia mimi ni Chadema nani? Unaona ulivyo mtupu kichwani? Kwahiyo unadhani na mimi ni mpumbavu kama wewe nikupachike uccm?