Dr Slaa akataa mjadala na Nape ITV badala na Kinana

Dr Slaa akataa mjadala na Nape ITV badala na Kinana

Status
Not open for further replies.
Ongea kama mtu mzima wewe! Hivi kwanini Dr. Slaa amwogope Nape halafu awe tayari kuongea na Kinana? Nape siyo size ya Dr. Slaa. Kumuweka Nape na Slaa ni kama kumshushia hadhi Dr. Slaa. Nape size yake ni Mnyika na si Dr. Slaa. Hata kwa Zitto tu Nape hana sifa za kukaa naye kwenye meza ya mjadala kwenye vyombo vya habari. Hata ningekuwa mimi ndiyo Dr. Slaa nisingekubali upuuzi kama huo. Hivi ukae kuongea na Nape utagain nini zaidi ya taarabu tu?

Tatizo lenu jamaa zangu ni wagumu kukubali reality.

Kwa kuwa ni jukumu langu kuelimisha wale wote waliokuwa brainwashed nitakusaidia kwa hili.

CCM ni chama kikubwa sana cha siasa na pia ni chama tawala hivyo viongozi wake wana majukumu mengi tofauti na Dr ambaye majukumu yake ni kuandamana na kutoa matamko. Hii ina maana kuwa sio rahisi viongozi wa CCM kuwa free kila wakati.

Nape kwa adhifa alionao CCM ni zaidi mara tano ya wadhifa alionao Dr Slaa chadema kwa sababu Nape ni katibu mwenezi wa chama kubwa na Slaa ni katibu mkuu wa kikundi cha wapiga deals.

Mfano mdogo tu nikupe,

Mtu yeyote anaweza kufungua kikampuni chake leo na kuwa CEO wa hiyo kampuni lakini kama akitaka kuwasiliana na uongozi wa Microsoft usitegemee eti kwa sababu na yeye anajiita CEO basi atakuwa na hadhi ya kukutana na Bill gates, huyu hataweza hata kupata nafasi ya kukutana na mpishi wa bill gates bali ataishia getini kwa walinzi na hivyo ndivyo ilivyotokea kwa Slaa leo.

CCM = Chama tawala kwa ajili ya watanzania wote

CHADEMA = Genge la wapiga deals kwa ajili ya wajanja wachache (DJ, Dr and The Mtei's)
 
Kaogopa kuonekana ukilza wake wa siasa mbele ya kadam nasi ukiona ngoma inavuma sana basi iko karibu kupasuka, na mwisho wao umekaribia karibu tutaizika CDM, chezea mzaliwa wa TANU na ASP wewe!
Kinana anaogopa simu zingepigwa aulizwe kuhusu ujangili wake,kama kweli yeye sio jangali huo mjadala ulikuwa sehemu nzuri ya kujitetea,kakimbia akijua anahusika na UJANGILI...
 
sipati picha speed ya slaa alivyo sepa

Kusepa kwa KInana unageuza kunakuwa kwa Dr Slaa,Kinana alichofanya ni kuonyesha kwamba yupo juu ya Dr Slaa akifikiri atamtrap matokeo yake sasa imebakia kuwa KInana asingizia mkutano wa Dodoma kinga ya kukutana uso kwa uso na Dr Slaa
 
Hahahahahaaaaaaaaaahahaha, aibu zako. hatudanganyikiiiiiiiii
Hahaahaha,

Dr ametoka nduki.

Chadema hawana ubavu wa kusimama na CCM.

Nape peke yake mnamuogopa je ingekuwa safu nzima ya CCM ingekuwaje?
 
Kimsingi, Kinana ndie kamkimbia DR Slaa!!
Hizi propaganda zingine bado haziwasaidii sana wana CCM! Wjenge nchi imechoka mno!
 
Kweli CCM ni kituko, Dr Slaa azungumze na Nape? ITV waahirishe huo mjadala na Kinana akimaliza hivyo vikao vyake ngoma inogile.

Kinana hawezi kubali kwani SIO MSAFI hata kidogo!Mtu wa dili tu huyu!
 
huwezi ukaandaa mjadala kati ya (nape) na future presda naunga mkono hoja.
 
Ni upuuzi kukubali upuuzi wa kuongea na mpuuzi kama Nape. Ulikuwa mjadala wa Makatibu Wakuu si makatibu wa uongo (propaganda). Nenda kajisifie Lumumba kuwa umeandika propaganda kwa manufaa ya CCM halafu jilipe.
 
CCM kwa usanii mmezidi, ningekuwa mimi ndio TandaleOne (Nape) nisingethubutu kuleta hiyo stori kwa Great Thinkers maana ni kumdhalilisha mzee wa ndovu kuwa ameingia mitini kimya kimya bila hata ya kuaga. Nape alitaka kutumia hii opportunity kuboresha CV yake kuwa amekaa kwenye mdahalo na mtu ambaye hata Kikwete anamuogopa.

Kilichotokea leo ITV ni sawa na mtu una ahadi na Demu kuwa mkutane Guest House na umeishanunua zana halafu unakuta kamtuma Housegirl wake
 
Hii ni sawa na kujeruhi alafu unawahi polisi kulalamika umejeruhiwa! Nape kawahi hapa kabla vijana wa CDM hawajamuwahi!
 
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi mkuu jamaa anapigia upatu chuma chakavu wakati chadema wana-import fresh from industry
 
Chadema ni wajanja, Dr. Slaa aongee nini na Vuvuzela? Isitoshe kwa historia katika uongozi wa juu wa ccm hakuna mtu wa kumshindanisha na Dr. Slaa.
 
Tatizo lenu jamaa zangu ni wagumu kukubali reality.

Kwa kuwa ni jukumu langu kuelimisha wale wote waliokuwa brainwashed nitakusaidia kwa hili.

CCM ni chama kikubwa sana cha siasa na pia ni chama tawala hivyo viongozi wake wana majukumu mengi tofauti na Dr ambaye majukumu yake ni kuandamana na kutoa matamko. Hii ina maana kuwa sio rahisi viongozi wa CCM kuwa free kila wakati.

Nape kwa adhifa alionao CCM ni zaidi mara tano ya wadhifa alionao Dr Slaa chadema kwa sababu Nape ni katibu mwenezi wa chama kubwa na Slaa ni katibu mkuu wa kikundi cha wapiga deals.

Mfano mdogo tu nikupe,

Mtu yeyote anaweza kufungua kikampuni chake leo na kuwa CEO wa hiyo kampuni lakini kama akitaka kuwasiliana na uongozi wa Microsoft usitegemee eti kwa sababu na yeye anajiita CEO basi atakuwa na hadhi ya kukutana na Bill gates, huyu hataweza hata kupata nafasi ya kukutana na mpishi wa bill gates bali ataishia getini kwa walinzi na hivyo ndivyo ilivyotokea kwa Slaa leo.

CCM = Chama tawala kwa ajili ya watanzania wote

CHADEMA = Genge la wapiga deals kwa ajili ya wajanja wachache (DJ, Dr and The Mtei's)

Hatugemei wewe mlamba viatu vya Nape utatambua umuhimu wa nafasi ya Katibu mkuu wa chadema kwenye nchi hii,na jinsi Chadema imeposition siasa za nchi hii ambapo hata mwenyekiti wa chama anaendesha vikao akiangalia chadema watasema nini ,Kwa sababu Kinana anajulikana kwamba hajali heshima ya jamii kwake ndio maana hakujali kuwaambia ITV kabla kwamba hatakuwepo kwenye mdahalo na Dr Slaa gwiji la shehena za Mambo yahusuyo nchi yetu,Kinana kakimbia kwa makusudi kabisa tunashauri ITV waweke tena mdahalo wa Makatibu wakuu wa vyama vikuu hivi viwili tuone ,
 
nilishashauri kitambo umri kama wa slaa,lowasa siyo wakati wao tena katika siasa ambazo kwa kiasi kikubwa zinatawliwa na mawazo mapya ya vijana lakini kwa umri wa slaa hawezi tena kushindana na vijana.

Mawazo mapya ya vijana ni ya muhimu lakini siyo kama ya Nape muropokaji asiye na haya.Eti mtu mzima na akiri zake anathubutu kuongea maneno kama haya hadharani kuna nywele za kichwani ,Nyusi na zingine za Chini.
 
napata picha ya ukomo wa slaa sasa kisiasa hasa kwa siasa za tanzania na huu si wakati wake tena.
 
Mwaliko wa kutoka ITV umeweka bayana kuwa ni wa viongozi waandamizi wa vyama vya siasa, lakini kama si sahihi kwa katibu mkuu kuwakilishwa na katibu wa halamashauri Kuu, ni nani alipaswa kulingana na protocol na kanuni za vyeo ndani ya Chama..?

Bahati mbaya vijana wengi wa CDM hawako makini wala hawaelewi nini maana ya chain of command, hawaelewi nani anawakilishwa na nani..? hawajui nafasi ya katibu mkuu wala maagizo yake..! Ni aibu kuwa na vijana wafuasi ambao hawajui hata nini wanakifuata..,hawajui muundo wala mtindo wa Chama chao.

Mkuu.
Wewe ndio unaonekana huko makini kabisa! Hivi kwa akili zako za kawaida bila ya kuzichakachua na rangi ya bendera ya chama chako unafikiri Nape ni level ya Dr Slaa?! Kama unaamini kuwa wako level ya kukaa pamoja na kujadili mustakabali wa Taifa hili basi wewe huna tofauti na Kong'ota.

Nape level yake ni Yericko Nyerere aliye mkimbia! Hata kumuweka Nape na Mnyika ni kumvalisha viatu visivyo mtosha.
 
Last edited by a moderator:
dr slaa na nape wapi na wapi? nape saizi yake ni mnyika. alivyofanya dr ni sawa kabisa. yeye kicheo alitakiwa apambane na mzee wa tembo.

Nina mashaka hata huyo Mnyika bado sio saizi yake! Huyu akutanishwe na Mawazo.
 
CCM kwa usanii mmezidi, ningekuwa mimi ndio TandaleOne (Nape) nisingethubutu kuleta hiyo stori kwa Great Thinkers maana ni kumdhalilisha mzee wa ndovu kuwa ameingia mitini kimya kimya bila hata ya kuaga. Nape alitaka kutumia hii opportunity kuboresha CV yake kuwa amekaa kwenye mdahalo na mtu ambaye hata Kikwete anamuogopa.

Kilichotokea leo ITV ni sawa na mtu una ahadi na Demu kuwa mkutane Guest House na umeishanunua zana halafu unakuta kamtuma Housegirl wake
Tandale one nae akakubali kwenda,tangulini private akakaa meza moja na IGP,hizi dharau kubwa ITV wanawafanyia chadema,ilo gari la matangazo bhana linasubiria kumeza cd lianze kuumiza watu masikio,tangu lini tani1 ikabeba tani10..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom