Dr Slaa akataa mjadala na Nape ITV badala na Kinana

Dr Slaa akataa mjadala na Nape ITV badala na Kinana

Status
Not open for further replies.
Kusepa kwa KInana unageuza kunakuwa kwa Dr Slaa,Kinana alichofanya ni kuonyesha kwamba yupo juu ya Dr Slaa akifikiri atamtrap matokeo yake sasa imebakia kuwa KInana asingizia mkutano wa Dodoma kinga ya kukutana uso kwa uso na Dr Slaa
Brain ya Dr. Slaa iko faster 100000 times than all ccm leaders, amegundua na kutegua mtego ulioasisiwa na kutungwa na cream team ya CCM.
Kudos Dr.Slaa.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mkuu hata Mh. Mnyika ni kama Mlima Everest kwa Nape ambaye ni kama kokoto.

Mkuu Mkeshaji kweli huyu nape analazimisha kupata fursa ya ku debate na Dr. Slaa kwakuwa anafahamu uwezo wake ni mdogo sana na hakuna mtu anaweza kuandaa debate kati yake na kiongozi yeyote makini.

Nakumbuka kati ya mwaka 2011 au 2012 katika kipindi cha 'This week in perspective' kinachorushwa na TBC1 kila ijumaa saa tatu usiku, kulifanyika kipindi kilichowakutanisha vijana walioko katika siasa na mojawapo katika panel walikuwa John Mnyika na Nape Nnauye. Kwakweli ilikuwa ni aibu siku hiyo Nape alikuwa anang'ata midomo yu hata hajui kuungaunga kiingereza wakati Mnyika alikuwa anatiririka vibaya!
Kama amemshindwa Mnyika atawezaje kupata uwezo wa kudebate na Dr. Slaa? Imagine katibu mkuu wake na mwenyekiti wake wanamuogopa Dr. Slaa sasa yeye anaanzaje kuwa na uwezo wa kumkabili?
Huku ni kujaribu kujitafutia 'ujiko' kwamba ameweza kukaa meza moja na Dr. Slaa.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lenu jamaa zangu ni wagumu kukubali reality.

Kwa kuwa ni jukumu langu kuelimisha wale wote waliokuwa brainwashed nitakusaidia kwa hili.

CCM ni chama kikubwa sana cha siasa na pia ni chama tawala hivyo viongozi wake wana majukumu mengi tofauti na Dr ambaye majukumu yake ni kuandamana na kutoa matamko. Hii ina maana kuwa sio rahisi viongozi wa CCM kuwa free kila wakati.

Nape kwa adhifa alionao CCM ni zaidi mara tano ya wadhifa alionao Dr Slaa chadema kwa sababu Nape ni katibu mwenezi wa chama kubwa na Slaa ni katibu mkuu wa kikundi cha wapiga deals.

Mfano mdogo tu nikupe,

Mtu yeyote anaweza kufungua kikampuni chake leo na kuwa CEO wa hiyo kampuni lakini kama akitaka kuwasiliana na uongozi wa Microsoft usitegemee eti kwa sababu na yeye anajiita CEO basi atakuwa na hadhi ya kukutana na Bill gates, huyu hataweza hata kupata nafasi ya kukutana na mpishi wa bill gates bali ataishia getini kwa walinzi na hivyo ndivyo ilivyotokea kwa Slaa leo.

CCM = Chama tawala kwa ajili ya watanzania wote

CHADEMA = Genge la wapiga deals kwa ajili ya wajanja wachache (DJ, Dr and The Mtei's)

Mkuu umeua, hapa hata mtu hawe na kichwa kigumu vipi ataelewa tu.

Ukiona hawajaelewa basi usijali, jua ndio wale wanasubiri NECTA "i-standardize" matokeo ya form 4 ili na wao waendelee na masomo.

Vijana wa BAVICHA ni vilaza.
 
Ndugu punguza mapenzi ili uweze kuwa huru,mm ccm lakini ww ambaye umehamia umezidisha mapenzi mpaka napata wasiwasi ukikosa unachokitaka je utotugeuka
hayo siyo mapenzi kwa chama kaka, mjini hapa lazima utafute pa kula.
 
Mkuu umeua, hapa hata mtu hawe na kichwa kigumu vipi ataelewa tu.

Ukiona hawajaelewa basi usijali, jua ndio wale wanasubiri NECTA "i-standardize" matokeo ya form 4 ili na wao waendelee na masomo.

Vijana wa BAVICHA ni vilaza.
'CCM wanatabia ya kujitekenya wenyewe na kucheka wenyewe'


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nape mwenyewe kaichoka ccm basi tu wale watoto wake wanasoma international akikimbia ccm watoto watahamia shule za kata,siku hizi wamemuongezea kipengele kwenye cheo chake 'katibu wa itikadi,uenezi,majungu na umbea Nape Nnauye
 
Tuwe wakweli jamani! Ingawaje DR Slaa naye anachemka sometimes lakini kiprotokali CCM aidha wamekosea au wamefanya kusudi lakini ilibidi wamtaarifu Slaa kabla ya kufanya hayo mabadiliko.
 
Amefanya jambo la maana kuondoka.
Kumkutanisha Nape na Slaa sio perfect match.
Nape alitakiwa kukutana na Mnyika ndiyo level yake.
Kinana versus Slaa
Mwigulu versus Zitto
Kikwete versus Mbowe.
Lissu versus the rest.
Nampongeza Slaa kwa kuliona hili na kuamua kuondoka.Ni sawa na kwamba Kinana angeenda pale ITV halafu akamkuta mnyika ndiyo anamsubiri.This not a perfect match.
 
Hivi kwa akili zako unataka Mtukufu, kamanda, Rais jemedari, Jasiri, Mwelevu, Mtu makini, Tumaini jipya, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.W.Slaa akae meza moja na hilo katapira la choon? Hivi kweli una akili zinazokutosha hadi umuweke Katibu Mkuu wa chama kikuu cha upinzani Tanzania ili ajibishane na huyo mururua wa MACCM?

Acheni utani ..eboooo!
 
Last edited by a moderator:
Acha vituko we vuvuzela nape akae meza moja na mtukufu dk slaa sawa na kuweka nguluwe na binadamu wakae meza moja, muhuni nape araftiwe wahuni wenzake
Hivi lini CCM wameanza kufanya mijadala ya kisiasa na vyama vingine kwenye TV?2010 CCM Makamba aliwakataza mijadala hiyo ikamgharimu T Mhando wa TBC1.
 
Bubu Muongeaji alidhani walitaka kuzungumzia masuala ya siasa zinavyoendelea nchini, kumbe ilikuwa mpambano wa katibu mkuu wa ccm na cdm?
basi kwa maneno ya bubu mpe Kaizari cha kwake. Slaa amechukua ya kwake na Nape akakosa uamzi
 
hii ni sawa na Pinda kutoa Mwaliko kwa rais wa nchi nyingine. Haiwezekaniki, protokali lazima izingatiwe.
Kuna mambo anaweza kuzungumza nape chama kikaja kukana simply sio decision maker na labda chama hakikumtuma kufanya hivyo. Anapozungumza Katibu mkuu, chote anachozungumza ndio maamuzi ya chama kwani ndio mtendaji mkuu.

hii ndio sababu Dr. Slaa hawezi kuzungumza na Nape kwa namna yeyote ile. ni Humiliation
 
Nape Nnauye aka Tandale one, na wewe ukaenda kabisa huku ukijua fika Dr si saizi yako?, kwanza ungewauliza ITV nia yao ya kuwaita Dr Slaa na Kinana, ila hata kwa mtoto mdogo tu angetosha kujua kua pale walihitajika makatibu wakuu tu, wewe ulienda ili iweje? then unalalamika umekimbiwa? hahahaha...............

'Kinana atimka kwa kuogopa mdahalo na Dr.Slaa'
Can you imagine eti leo Nape hapa kwenye hii thread yake anamuita Dr.Slaa kwa jina la 'Ndugu Slaa',
je mnayakumbuka majina ambayo Nape hutumia kum-adress Dr.Slaa akiwa anamjadili??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hivi kweli kuna haja ya kujiuliza mara mbili wewe unaalika watendaji wakuu wa chama (Persons with Authority with in Political Party) then CCM wanamtuma Public relation officer wake hivi wako makini kweli sijui labda angelitakiwa aje kiboko yake Mheshimiwa Mnyika, maana anamkumbuka sana toka Ubungo maana Nape alienguliwa na CCM kupambana na Nape mpaka akawa ananung'unika sana akapewa pipi na JK ( Ukuu wa Wilaya) kumfuta machozi leo anataka kusimama na Dr. hata sijui walifikiri sawasawa na wakashauriana au ni kama wanavyoendesha maamuzi ya ajabu ajabu katika kuendesha Serekali- SHAME BIG SHAME, hata waandaaji wa kipindi nao ni wajinga sana kama nao walikuwa wanamshawishi Dr. aendelee na Nape, Dr. ni mtu makini sana anajua afanye nini wakati gani na kwa sababu gani si unakurupuka tu, Nape nae si mjumbe kwa nini asingeenda nae kuhudhuria kikao maaana naamini ni mjumbe. Hapo wamebugi wakajipange upya. Wakae wakijua watu sasa hivi hawataki porojo we need facts not blaa blaa. JK wakati wa uchaguzi alikwepa, weka mbali na Pembe za ndovu naye kasepa nadhani we near to the end point, time will tell.
 
Inabidi tufanye mdahalo baina ya Joshua Nassari na Mizengo Pinda kupitia tv yeyote.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ningesikitika sana kama Slaa angefanya hicho kipindi na Nape...
 
nape hawezi kuejenga hoja yoyote
nampongeza dr Slaa kwa busara yake ya kuondoka
ni sawa na lecturer awekwe mdahalo na mtoto wa chekechea hawalingani
Nape angetakiwa kupambana na JJ MNyika ambae pia kamzidi sana upeo na akili ya kujenga hoja
Binafsi ningemshangaa sana kama Dr Slaa angekubali.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom