slaa anaweza uzushi na uongo wa majukwaani sio midahalo.
wa
The upper command structure ndani ya CCM ni kama ifuatavyo:
1> Mwenyekiti
2> Makamu Mwenyekiti (Bara na visiwani)
3> Katibu Mkuu
4> Naibu Katibu Mkuu (Bara na Visiwani)
5> Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi ***
6> Katibu wa Halamshauri kuu ya Taifa Siasa na mahusiano ya kimataifa.
7> Katibu wa halmashauri kuu ya Taifa oganaizesheni
8> Katibu wa halmashauri kuu ya Taifa uchumi na fedha.
.
Dr Slaa ni Katibu Mkuu wa CHADEMA. Kinana ni Katibu Mkuu wa CCM. Lengo la ITV ni kwamba mjadala uwe wa makatibu wakuu. Sasa kama Kinana ameshindwa kufika, ulitaka Dr Slaa aongee na Nape? Nape kitengo chake ni uenezi na angeweza kukutanishwa siku nyingine na Mnyika ambaye yupo uenezi CHADEMA. Dr Slaa alikuwa sahihi kutoongea na Nape. Kwa ufupi Nape is too low kwa Slaa
Hahaahaha,
Dr ametoka nduki.
Chadema hawana ubavu wa kusimama na CCM.
Nape peke yake mnamuogopa je ingekuwa safu nzima ya CCM ingekuwaje?
Hahaahaha,
Dr ametoka nduki.
Chadema hawana ubavu wa kusimama na CCM.
Nape peke yake mnamuogopa je ingekuwa safu nzima ya CCM ingekuwaje?
walio wengi wanajadili na kutoa comments kishabiki na povu kama ilivyo kawaida ya CDM.,kimsingi wengi hawafahamu hata organisational structure ya vyama vyetu vya siasa hapa nchini kikiwemo hata hichi chama chao.,si kwa CCM tu bali hata muundo wa vyama vingine vya siasa.,ambapo vingi katika hivyo vimekopi na kupaste muundo wa CCM.
Nitawapa kwa mukhtasar muundo wa CCM kisha mtambue nafasi ya Nape ni ipi na ana hadhi gani kitaifa na kwenye chama anachokitumikia.
The upper command structure ndani ya CCM ni kama ifuatavyo:
1> Mwenyekiti
2> Makamu Mwenyekiti (Bara na visiwani)
3> Katibu Mkuu
4> Naibu Katibu Mkuu (Bara na Visiwani)
5> Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi ***
6> Katibu wa Halamshauri kuu ya Taifa Siasa na mahusiano ya kimataifa.
7> Katibu wa halmashauri kuu ya Taifa oganaizesheni
8> Katibu wa halmashauri kuu ya Taifa uchumi na fedha.
*** its where Nape belongs.,ranked number 5 in that hierarchy na hii ni kwamba ana uwezo wa kumuwakilisha Katibu Mkuu na hata Mwenyekiti wa Chama popote pale ulimwenguni.
hapa sasa tunaanza kudanganyana ni sababu zipi zimekufanya dr slaa umwite mtukufu pamoja na kuondolewa kanisani kwa kashifa nyingi.Acha vituko we vuvuzela nape akae meza moja na mtukufu dk slaa sawa na kuweka nguluwe na binadamu wakae meza moja, muhuni nape araftiwe wahuni wenzake
Level ya Dr Slaa ni Kikwete na Kinana au Mangula period mambo ya ITV nao kutaka kumuweka meza moja na Nape mropokaji haifai wangempigia simu na kumwambia wamepost pond na watawapangia wakati mwingineDr Slaa kamanda mzima tena na magwanda yake amekula mita?
Sasa mbona bwana Nape hana hiyana? yeye yupo na suti yake safi wala hababaiki.
Tatizo dr Slaa anamtaka Kinana akijua kabisa Kinana hapendi siasa za udaku, kwa mantiki hii aliamini kuwa atamtoa ulingoni katika mjadala huo.
Bwana Nape leo ametuhakikishia ukomavu wake kisiasa kwani hana tabia ya kuchagua mada wala mtu inapofikia kujadili maswala ya kitaifa.
Babu umekidhalilisha chama chako.
Acha vituko we vuvuzela nape akae meza moja na mtukufu dk slaa sawa na kuweka nguluwe na binadamu wakae meza moja, muhuni nape araftiwe wahuni wenzake