Nyange
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 3,516
- 1,865
Mayange S Mayange yupo sahihi kwenye ili..
'ili' nalo neno, fafanua mkuu
Mayange S Mayange yupo sahihi kwenye ili..
Nyie CHADEMA ni watu gani msiotaka kukosolewa???? Mayage katika makala yake aliwakosoa na kuwataka mfanye vizuri zaidi lakini mmeigeuza makala yake kuwa ugomvi kana kwamba amewatukana matusi ya nguoni. Ni nyie mnaolalamika hali ya nchi kwa sasa na kuhoji kama kweli Rais ana washauri. Nyie mnaukataa ushauri wa Mayage, je huyo Padri wenu aliyeasi akiingia Ikulu atamsikiliza nani?
Inawezekana ufahamu wako unafanana na avatar yako, Dr. ana-refer issue ambazo hazijasoviwa, hoja haijatafutiwa ufumbuzi, aache za nini? hizo ni hoja za magamba! zisizo na kichwa wala miguuNampongeza Dr Slaa kwa kusikika baada ya kujificha kwa muda mrefu. Nimefuatialia majibu yake, but kinachonitatanisha ni kwamba, huyu dr hana sera mpya. Kwanini kila akiongea popote lazima atoe reference za EPA na Ufisadi?
Huu ni muda muafaka kwake kubadilika.
Wananchi tunahitaji kupata mapya kutoka kwake. Tunahitaji kusikia juhudi anazozifanya na chama chake kuleta maisha bora kwa kila mtanzania.
Sheikh hapo kwenye red ni wazi Dr.Slaa lazima afanye reference hiyo coz hoja ilihitaji reference hiyo.Nampongeza Dr Slaa kwa kusikika baada ya kujificha kwa muda mrefu. Nimefuatialia majibu yake, but kinachonitatanisha ni kwamba, huyu dr hana sera mpya. Kwanini kila akiongea popote lazima atoe reference za EPA na Ufisadi?
Huu ni muda muafaka kwake kubadilika.
Wananchi tunahitaji kupata mapya kutoka kwake. Tunahitaji kusikia juhudi anazozifanya na chama chake kuleta maisha bora kwa kila mtanzania.
Kwahiyo unaona EPA,RICHMOND sio issue za msingi?Nampongeza Dr Slaa kwa kusikika baada ya kujificha kwa muda mrefu. Nimefuatialia majibu yake, but kinachonitatanisha ni kwamba, huyu dr hana sera mpya. Kwanini kila akiongea popote lazima atoe reference za EPA na Ufisadi?
Huu ni muda muafaka kwake kubadilika.
Wananchi tunahitaji kupata mapya kutoka kwake. Tunahitaji kusikia juhudi anazozifanya na chama chake kuleta maisha bora kwa kila mtanzania.
Kwahiyo unaona EPA,RICHMOND sio issue za msingi?
Tunahitaji kusikia kipya kutoka kwake! hayo tumeshayasikia na tumeyachoka!!Sheikh hapo kwenye red ni wazi Dr.Slaa lazima afanye reference hiyo coz hoja ilihitaji reference hiyo.
Umejivua ufahamu kwa bei gani sheikh wangu?
ANGALIZO: No research, no right to speak.
Hebu niambie ni issue gani ambayo haitafutiwa ufumbuzi kati ya hayo aliyoyataja.Inawezekana ufahamu wako unafanana na avatar yako, Dr. ana-refer issue ambazo hazijasoviwa, hoja haijatafutiwa ufumbuzi, aache za nini? hizo ni hoja za magamba! zisizo na kichwa wala miguu
Hizi ni past issues...we need something new, something differentKwahiyo unaona EPA,RICHMOND sio issue za msingi?
Hizi ni past issues...we need something new, something different
Nampongeza Dr Slaa kwa kusikika baada ya kujificha kwa muda mrefu. Nimefuatialia majibu yake, but kinachonitatanisha ni kwamba, huyu dr hana sera mpya. Kwanini kila akiongea popote lazima atoe reference za EPA na Ufisadi?
Huu ni muda muafaka kwake kubadilika.
Wananchi tunahitaji kupata mapya kutoka kwake. Tunahitaji kusikia juhudi anazozifanya na chama chake kuleta maisha bora kwa kila mtanzania.
huo na wewe upotoshaji!!yawezekana kweli sina akili!!lakin kama ni ya darasani nina uhakika mkubwa hiyo ninayo!!tena wa 100%labda kwa vile wanasema zipo za darasani na za mtaani pengine huo upande wa pili nikawa sina!!!sijapinga yafanywayo!!!ninachokisema kwamba mapendekezo aliyotoa mayage yana tija!!ni ya kufuatwa!!!ukosoaji wake ni chama kujitizama tu!!!ila mimi nikaja na hoja nyingine nikasema kwamba tuna golden chance sasa katika siasa za nchi hii!!ila nikasema mwenyekiti wetu tangu ahachiwe na mh mtei,sasa yatosha ang'atuke!!maana si mtu sahihi wa kwenda naye 2015!!!na nikatoa baadhi ya sababu!!!!ni hayo tu!!!!na kwangu mjadala umefungwa!!!!
Ok...tayari ameshatutoa usingizini! what is next? mbona kila siku anazidi kutuamsha?anaendelea kuzungumzia suala la EPA NA UFISADI kwa sababu utatuzi bado kabisa haujafanyika. Kuhusu kuwaletea maendeleo ni pale walipotutoa usingizin watz hilo tu ni maendeleo makubwa sana kuliko masinia ya ubwabwa tunayopewa wakati wa kampeni. Kwa muda wa mwaka mmoja tu kila mmoja anajua haki zake. Umeckia Rejao.