Dr Slaa ajibu tuhuma dhidi yake

Dr Slaa ajibu tuhuma dhidi yake

Status
Not open for further replies.

Edson Zephania

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
517
Reaction score
112
Willibrod Slaa

Hoja ya kujikopesha kwa sura ya ufisadi ni "mfu" nimetamka nilikopa 20 kwa kuwa watumishi wa vyama hawawezi kukopa kwingine. Aidha siyo 140 Million. Zote 20 m zililipwa awamu ya mwisho June 2012. Hivyo hakuna deni la chama tena.

Josephine hajawahi kulipwa hata senti mmoja na chama kwa ziara za Mikoani, wala kwa shughuli yeyote ile isipokuwa wakati wa kesi Arusha alipokuwa na mtoto wa miezi 3 na tulihitaji yaya
 
pesa zilishalipwa kwahiyo tunabishania deni ambalo ni non exist watanzania sisi kwanini tunapenda kubishana vitu vya kijinga na kuacha mambo msingi utakuta mtu anabishana mpaka mishipa inamtoka kubishania simba na yanga wakati mali za taifa zinapotea hata habari hana halafu anashangaa kwanini huduma za jamii zinadidimia.
 
Kwanini hataki kujibu hoja zote zilizoelekezwa kwake na masalia? Kuanzia za magafu wa mwanza, mwampamba wa mbozi, juliana na kisandu? Kwanini anachagua anayopenda yeye? Nadhani katibu mkuu anapaswa kuufahamisha umma kwa uwazi zaidi kuhusu haya mambo..
 
Weka ushahidi kuonyesha kwamba sio 140 ni 20, na ushahidi kwamba zimelipwa zote...kwa hiyo yaya analipwa na chama?
Kawaida kisheria ushahidi unaletwa na mtoa tuhuma, na mtoa tuhuma anapaswa athibitishe pasipo kiwingu cha mashaka kuwa tuhuma anazotoa ni kweli.

Aliyetoa tuhuma alete ushahidi kuwa ni 140m.
 
Hizi siasa nyingine ni za maji taka. Suala hapa ilikuwa Slaa alikopa fedha, kwa maana hiyo kulikuwa na makubaliano, sasa tatizo linatoka wapi. Hakuna taarifa inayosema Slaa ameiba hela za Chama au amekula hela za chama au fedha nyingi zimepotelea mikononi mwake la hasha, suala ni kuwa amekopa, watu wanaofanya siasa za kutokufikiri wanadhani hiyo ni hoja kisiasa. Nadhani kuna haja sasa vyama vya siasa kupeleka viongozi na wanachama wao wa propaganda kwenda kusomea propaganda vizuri ili waweze kuwa wabunifu. Hivi ilivyo wataendelea kuwepo na hoja dhaifu kila siku.
 
Majibu magumu kwa swali jepesi~ saf rais wang 2015

Shigela, mwigulu na nape kama magari ya uchafu.. yan uja na hoja mfu kila mara kwanini juu ya rais wang, pls change bhana.

V
SENGEREMA.
 
Utaratibu gani ulitumika kumkopesha? Je, viongozi wengine pia wanaruhusiwa kukopeshwa? kwa utaratibu upi?
Kwanini TUNTEMEKE alivyotoa tuhuma hizi kwa mara ya kwanza mwaka 2011 alipigwa ban wakati inaonekana kweli wakati huo deni lilikuwepo? - Tuntemeke aombwe radhi, to be fair...
Tuhuma zimeendelea kuwepo kwa sababu hazikujibiwa.
 
Last edited by a moderator:
Weka ushahidi kuonyesha kwamba sio 140 ni 20, na ushahidi kwamba zimelipwa zote...kwa hiyo yaya analipwa na chama?

kawaambie masalia walete ya ushahidi kuwa ni milioni 140 na siyo 20..
 
Options
Willibrod Slaa

Hoja ya kujikopesha kwa sura ya ufisadi ni "mfu" nimetamka nilikopa 20 kwa kuwa watumishi wa vyama hawawezi kukopa kwingine. Aidha siyo 140 Million. Zote 20 m zililipwa awamu ya mwisho June 2012. Hivyo hakuna deni la chama tena.
2. Josephine hajawahi kulipwa hata senti mmoja na chama kwa ziara za Mikoani, wala kwa shughuli yeyote ile isipokuwa wakati wa kesi Arusha alipokuwa na mtoto wa miezi 3 na tulihitaji yaya

Huyu mzee mbona anataka kudanganya mchana kweupe!!! Watumishi wa chama hawawezi kukopa kwingine?????? Huyu mzee anadhani kila mtu anadanganyika kama nanihii...
 
Weka ushahidi kuonyesha kwamba sio 140 ni 20, na ushahidi kwamba zimelipwa zote...kwa hiyo yaya analipwa na chama?

Wewe, au wakala wako aliyezusha hizi tuhuma ndio mnaopaswa kuweka ushahidi kuwa ni 140 na hazijalipwa.
 
Huyu mzee mbona anataka kudanganya mchana kweupe!!! Watumishi wa chama hawawezi kukopa kwingine?????? Huyu mzee anadhani kila mtu anadanganyika kama nanihii...
But what is the issue Marcopolo? Alikopa na alishalipa. What is the issue here?
 
Mkuu, issue ni kwamba swala hili lililetwa hapa JF kwa mara ya kwanza na TUNTEMEKE ambaye alipigwa ban kwa kosa la kuleta "taarifa ya uongo". More than 14 months later, ndio babu anajitokeza kukubali kuwa alichukua pesa za chama.
Mbaya zaidi, babu anakuja na porojo kuwa watumishi wa vyama vya siasa hawaruhusiwi kukopa. Halafu babu huyuhuyu anataka aaminiwe kuachiwa Ikulu. Bado huoni issue ilipo Jasusi?
 
Deni limeshalipwa, tena imepita miezi saba sasa. What is the issue? Sijui na siwezi kuhukumu madai kuwa watumishi wa vyama vya siasa hawaruhusiwi kukopa. Lakini nisingekurupuka na kusema ni uwongo kabla sijafanya utafiti. Let us give him the benefit of the doubt until proven otherwise. Lakini naona wenzangu mna haraka ya kutoa hukumu na kukimbilia conclusion kuwa asiaminiwe kupewa Ikulu. Leo ikulu inakaliwa na mwizi wa mali za umma. Sijawasikia mkilalamika. Sioni issue.
 
pesa zilishalipwa kwahiyo tunabishania deni ambalo ni non exist watanzania sisi kwanini tunapenda kubishana vitu vya kijinga na kuacha mambo msingi utakuta mtu anabishana mpaka mishipa inamtoka kubishania simba na yanga wakati mali za taifa zinapotea hata habari hana halafu anashangaa kwanini huduma za jamii zinadidimia.

Kwani majibu yalikuwa yametolewa na bado watu wakaendelea kushadadia?
 
Options
Willibrod Slaa

Hoja ya kujikopesha kwa sura ya ufisadi ni "mfu" nimetamka nilikopa 20 kwa kuwa watumishi wa vyama hawawezi kukopa kwingine. Aidha siyo 140 Million. Zote 20 m zililipwa awamu ya mwisho June 2012. Hivyo hakuna deni la chama tena.
2. Josephine hajawahi kulipwa hata senti mmoja na chama kwa ziara za Mikoani, wala kwa shughuli yeyote ile isipokuwa wakati wa kesi Arusha alipokuwa na mtoto wa miezi 3 na tulihitaji yaya

I dought kama kauli hii ni ya babu. Haina vionjo tulivyozoea.
 
Deni limeshalipwa, tena imepita miezi saba sasa. What is the issue? Sijui na siwezi kuhukumu madai kuwa watumishi wa vyama vya siasa hawaruhusiwi kukopa. Lakini nisingekurupuka na kusema ni uwongo kabla sijafanya utafiti. Let us give him the benefit of the doubt until proven otherwise. Lakini naona wenzangu mna haraka ya kutoa hukumu na kukimbilia conclusion kuwa asiaminiwe kupewa Ikulu. Leo ikulu inakaliwa na mwizi wa mali za umma. Sijawasikia mkilalamika. Sioni issue.

Viongozi wa vyama vya siasa wangekuwa hawawezi kukopa Mbowe angekuwa hadaiwi na NSSF. Yaani na wewe unadanganyika haraka na kirahisi namna hiyo?! au ndio ile mtu akipenda chongo huita kengeza? Mikopo ipo kwa watu wote wanaokopesheka.Kama hakopesheki basi tatizo ni lingine lakini siyo kwa kuwa ni mwanasiasa. By the way, Slaa na mshahara wa milioni 7 alikuwa na ulazima gani wa kuchukua tena milioni 20 za chama?
 
TUNTEMEKE siku zote anasema kweli sema hawa vipofu au waliopewa dawa na babu hawasikii wala hawaoni,Shame on you Babu mwizi mkubwa.

Back
Top Bottom