Viva CDM, VivaSasa anaanza kuongea katibu mkuu wa chama taifa ndugu Dr.slaa.
View attachment 93260View attachment 93260
Wananchi wakimpokea Dr slaa wakati akijiandaa kusimama kuongea na wananchi.!!!
Anasema hatuogopi mtu,Rpc,IGP wala chochote isipokuwa Mungu. Anasema tumeanza na Mungu tunaendelea na Mungu tunamaliza na Mungu