Dr Slaa aizika CCM Tunduma

Hakuna kiongozi yeyote wa serikali mwenye uthubutu wa kuhutubia Tunduma,muulize Raisi 2010,Makamu wa rais 2012,, shamsa vuai nahodhag,salma kikwete na mwenge!!!!hah hah
 
We kweli mlaghaiwa!

Mtu watoto aliowazaa mwenyewe kawatelekeza halafu wewe unamwita baba yako!

By the way, hapo walimchangia sh. ngapi? Maana Slaa kila anakoenda anakusanya michango ya kumalizia nyumba yake...

Kiongozi!

Mpaka mwaka 2015 ufike, utakuwa umesha kufa kwa high blood pressure! Maana kazi ya kuwa kuwadi wa Lumumba lazima uwe na akili ya maiti.
 
Hao wanajaa kwa Slaa wanapiga kura CCM.

Hee! Kweli wewe juha....yaani bado unaamini ya miaka ileeee........watz wa sasa hawadanganyiki tena na propaganda za kihuni za ccm
 
Hongera rais mtarajiwa.naona umeshaanza mdogo mdogo kujenga mahusiano mazuri ya kidiplomasia na nchi jirani.Hiyo ni nzuri,ili ukiingia magogoni, utulie home yani kusiwe na kurukaruka kwenda nje kama anavyofanya huyu kichwa cha nazi wa msoga!
 
Tunduma magamba yalishakufa siku nyingi. Shime tuelekee maeneo mengine.
 
Mwigulu Nchemba upo wapi? Nchi inaangamia, fanya vitu vyako jembe huyu mzee atatuua kwa presha..!
 
Hakuna kiongozi yeyote wa serikali mwenye uthubutu wa kuhutubia Tunduma,muulize Raisi 2010,Makamu wa rais 2012,, shamsa vuai nahodhag,salma kikwete na mwenge!!!!hah hah

Nakwambia watu wana akili zao timamu bana...sio wale wazee wa pilau na makofi mengi
 
ZeMarcoPolo,

Ha ha ha ha....... Asante kwa kunichamsha asubuhi na porojo zako. Angalau nimecheka na kucheka ni afya.
We kweli mlaghaiwa!

Mtu watoto aliowazaa mwenyewe kawatelekeza halafu wewe unamwita baba yako!

By the way, hapo walimchangia sh. ngapi? Maana Slaa kila anakoenda anakusanya michango ya kumalizia nyumba yake...
 
Mnambowa,

Tatizo lako ni kutofanya utafiti. Hivi umejiuliza TANU tangu 1955 ofisi zake zilikuwa wapi, na tangu 1961 hadi 1975 ofisi zake zilikuwa wapi, na ni kwenye mikoa na Wilaya zipi ilikuwa na ofisi, achilia mbalimbali ofisi za hadhi?

Ndugu zangu fanyeni utafiti badala ya kujiaibisha na hoja zisizo na maana.

ofisi yenu hii inaabisha eti ni ofisi ya mkoa cdm
 
Mkuu wangu ni mwanadamu gani anayependa habari mbaya?


mh.Dr.Slaa kwa mara ya kwanza jana amekata kiu ya wanatunduma....

Karibu tena na tena.....
Mungu akujalie afya bora na maisha marefu.!!
 
Mangula kabeba totoz anaponda maraha kabla ya 2015.
 
Nauliza hivi , kama hali ya Tunduma ndiyo hii , na ya Tabora ndiyo kama ile mlivyoiona , hivi KUNA mahali Magamba yatapona kweli ? Nina Mashaka 2015 huenda Tukakosa Chama cha Upinzani Bungeni , CDM msiturudishe enzi za Chama Kimoja Bhana !
 

Tuko pamoja Dr Slaa, tafadhali katika mipango yako mwaka huu usiisahau Tunduru.
Tunakukaribisha sana tuimalize ccm na cuf
 

Maharamia wa wanyama pori eti wasema chama kikabila nk.Nayo hiyo watakuja kwa uchovu wa fikra na kusema picha imetengenezwa lakini hawezi kushindana na ukweli daima.
 

Mkuu usisahau, Lowassa pamoja na fedha zake za kifisadi juhudi zake ziligonga mwamba pale alipotaka kupenyeza Roman Catholic.
 
Huyu slaa kawalisha nini watanzania ? Mbona anazidi kukubalika na kupendwa kadiri ccm wanavyozidi kumshambulia ! Kwa kweli wenzetu hawapati usingizi na hata ukichunguza kwa makini utaona afya zao zinazidi kuporomoka. Ewe dr slaa waonee huruma wenzako. Utawaua wenzako kwa presha. Na nyie ccm ngumi za uso zikizidi mnaruhusiwa kukimbia
 

kinai Jibu ni moja tu..Shetani siku zote ni wa kuzimu na wao wana shetani lakini Chadema wana Mungu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…