Oh, mkuu, why not? play your part, it can be done! Nenda kamueleze jamaa yako na ndugu na marafiki, kwamba this time we need hii silaha magogoni. Kura yako, yangu, ya ndugu yangu na jamaa yako ndizo zenye maamuzi, si mtazamo mkuu, Hata kama wataiba kura , kama tofauti ni kubwa watakwama tu!
Mkuu, wewe unachokiona ni Ikulu tu... naona huoni harakati nzima ya yeye kama mtu aliyeonesha msimamo mkubwa sana wa kizalendo katika historia ya Taifa hili hivi karibuni kuwa, sacrifice yake ya kutogombea ubunge itaweza kuleta mabadiliko chanya kwenye system yetu iliyo kubuhu kwa fitina, uzembe na kero nyingine kibao - kisiasa, kijamii, na hata kiuchumi...!!
Bila kuwepo kwa watu wanaojitoa kafara, Taifa letu litazidi kudidimia!! For the sake of positively changing the political landscape of this great nation, tumpe ushirikiano na support yetu Dr. Slaa, hata kama siye ni wanachama wa CCM!!
Mabadiliko tuliyokuwa tukiyasubiri sasa yamefika, na mwenye uwezo wa kuleta mabadiliko hayo si mwingine ila ni MIMI na WEWE. na ili tufanikishe hilo tarehe 31-october 2010 tujihimu twende tukapige kura kwa Dr Wilbroad Peter Slaa na wagombea ubunge na udiwani wa CHADEMA! The time for change is now!
The time has come,the Golden opportunity we have been waiting has come, SAA YA UKOMBOZI NI SASA.
Dr. Slaa tupo pamoja,kura yangu na wife unazo, am selling you out there for more votes.
GOD bless you