huu ulaghai wenu wapelekeeni wake zenu tumechoka kudanganywa na wachumia tumbo nyie hamna nia ya dhati ya uongozi ni uroho na tamaa zenu huyo BABU aache chuki dhidi ya makabila na dini zingine ndani ya CHADEMAMapokezi makubwa ya msafara wa pikipiki na magari hapa Mwandiga yanamlaki Gwiji wa siasa Tanzania na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kuelekea Kigoma mjini.
Watu wako njiani wakinyoosha vidole viwili hewani, ishara ya kusapoti chama chao. Mapokezi ni makubwa kweli kweli chama kinapewa hapa.
Wenye magari wanaonekana kutoa heshima kwa kuweka magari pembeni na kupiga honi mfululizo wakikaribisha msafara wa Katibu Mkuu.
Mji wa Kigoma uko hai hai sasa. Honi na vidole viwili alama ya amani, upendo na ushindi, zimehanikiza
Source: Afisa Habari Mkuu CHADEMA Tumaini Makene
Updates kutoka Mwananchi Breaking News chini......
DR SLAA AITEKA KIGOMA: Awasili jioni hii, apata mapokezi makubwa. Msafara wake una magari zaidi ya 22, Pikipiki 150, magari 4 ya Polisi, ulinzi waimarishwa.
huu ulaghai wenu wapelekeeni wake zenu tumechoka kudanganywa na wachumia tumbo nyie hamna nia ya dhati ya uongozi ni uroho na tamaa zenu huyo BABU aache chuki dhidi ya makabila na dini zingine ndani ya CHADEMA
acheni kumhusisha mungu na vichaa na malaghai yenye laana..
....Huu ni mpango wa Mungu ...Daima shetani na wafuasi wake hawataweza!!!
​ha ha ha ha too hellSonga mbele kamanda!! Tunataka kiongozi kama huyu..
Huku DAR DC CCM kawakimbia.....pamoja na propaganda zoote hiji za kkijinga lkn watu makini wanazidi kujiunga CDM!
Dr anapendwa sana jamani na niko hapa mitaa ya mwembetogwa wananchi wanatamani hata kuona gari lake tu akipita
..
....Huu ni mpango wa Mungu ...Daima shetani na wafuasi wake hawataweza!!!
hiloo hata aibu huna CCM hatuna mda wa kuwafwatilia vibaka,,,malaghai na walaaniwa hata siku mojasafi sana.....usiweke picture mapema...magamba wasije ona ma agent wao nao wakiwa bila mabango.....