Dr Slaa aingia Jioni hii Kigoma mjini kwa Mbwembwe..

Breaking news;- slaa adharirishwa kigoma kaskazini jioni hii. Akimbia mkutano
Wakuu,
Taarifa za uhakika kutoka kwa katibu wa JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI CHADEMA ndugu RAMA RUAHA, ni kwamba Katibu mkuu wa CHADEMA Padri SLAA leo alikuwa afanye mikutano miwili katika vijiji viwili baada ya kukimbia NGOME KUU YA ZZK ''MWANDIGA'' na kukimbilia kuweka mikutano ifanyike kijiji cha NYARUBANDA na mwingine KIDAHWE.


Taarifa kamili ni kama ifuatavyo


(i). MKUTANO WA NYARUBANDA. - Itabidi PADRI SLAA aishukuru mvua iliyowatawanyisha wananchi wenye HASIRA walioanza kumshambulia SLAA kwa mabango, maneno makali na mawe, huku vijana wake wa REDBRIGED wakionyesha kuishiwa nguvu na kuomba msaada wa POLISI.


SLAA anayejidai kichwa ngumu leo ameishukuru mvua hiyo iliyositiri AIBU YAKE YA KARNE YA KUPOPOLEWA NA MAYAI VIZA NA MAWE.


(ii). MKUTANO WA KIDAHWE - Katika Hali ile ile ya WAHA WA KIGOMA kumchukia DOKTA SLAA kwa kuwafanya wendawazimu na kuwataka washerehekee MAZISHI YA KIJANA WAO, huku SLAA ILIMBIDI AINGIE MITINI.


NDIO, SLAA AMESHINDWA KUTOKEA MKUTANONI KIDAHWE BAADA YA KUAMBIWA KUWA WANANCHI WA ENEO HILO WANA HASIRA NA CHUKI KUBWA DHIDI YAKE, VIONGOZI WA CHADEMA KIDAHWE WALIKATAA HATA KUMUWEKEA MEZA YA KUSIMAMA KUHUTUBIA, GARI LA M4C LILILOONGOZANA NA VIBARAKA WAKE LILIAMBULIA MATUSI MAKUBWA NA MAWE MFULULIZO KISHA KUPEWA TAHADHARI KUWA MLETENI SLAA AONE CHA MTEMA KUNI.


KWA KIFUPI KABISA SLAA AMEUMBUKA KWA KUSHINDWA KUHUTUBIA JIMBONI KWA ZITTO KABWE,


WENYEWE WANASEMA ''slaa hawezi kutuulia mwanetu halafu anakuja kutuimbia NGOMA za kikweo tucheze, sisi sio wapuuzi''


namuomba MOLEMO, BEN SAA NANE, TUMAINI MAKENE, WAITARA NA WENGINEO WOTE WAJE HAPA KUBISHA AMA KUTHIBITISHA TOFAUTI''
 
huu ulaghai wenu wapelekeeni wake zenu tumechoka kudanganywa na wachumia tumbo nyie hamna nia ya dhati ya uongozi ni uroho na tamaa zenu huyo BABU aache chuki dhidi ya makabila na dini zingine ndani ya CHADEMA
Mkuu vipi ulaghai upi tena? Mbona unataka kulia?Dr amefunika Kigoma.Una lilia nini Mkuu.Basi jinyoge
 
huu ulaghai wenu wapelekeeni wake zenu tumechoka kudanganywa na wachumia tumbo nyie hamna nia ya dhati ya uongozi ni uroho na tamaa zenu huyo BABU aache chuki dhidi ya makabila na dini zingine ndani ya CHADEMA
Wajitahidi wasiweke kamba jirani na wewe utajitia kitanzi bure.Dr anakata mbuga.Kibaraka wenu Zito kwisha chakali.Usilie liccm lako kuna ubaya gani likiwa chama cha upizani?Nasikitika ndiyo itakavyo kuwa.
 
Wajitahidi wasiweke kamba jirani na wewe utajitia kitanzi bure.Dr anakata mbuga.Kibaraka wenu Zito kwisha chakali.Usilie liccm lako kuna ubaya gani likiwa chama cha upizani?Nasikitika ndiyo itakavyo kuwa.
labda kaskazini tu ikipiga kura
 
Mapokezi makubwa ya msafara wa pikipiki na magari hapa Mwandiga yanamlaki Gwiji wa siasa Tanzania na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kuelekea Kigoma mjini.

Watu wako njiani wakinyoosha vidole viwili hewani, ishara ya kusapoti chama chao. Mapokezi ni makubwa kweli kweli chama kinapewa hapa.

Wenye magari wanaonekana kutoa heshima kwa kuweka magari pembeni na kupiga honi mfululizo wakikaribisha msafara wa Katibu Mkuu.

Mji wa Kigoma uko hai hai sasa. Honi na vidole viwili alama ya amani, upendo na ushindi, zimehanikiza

Source: Afisa Habari Mkuu CHADEMA Tumaini Makene

Updates kutoka Mwananchi Breaking News chini......

DR SLAA AITEKA KIGOMA: Awasili jioni hii, apata mapokezi makubwa. Msafara wake una magari zaidi ya 22, Pikipiki 150, magari 4 ya Polisi, ulinzi waimarishwa.

Hivi Molemo ndiye Tumaini Makene ? Inakuwaje afsa wa habari wa chama apitishie habari kwa mtu mwingine? Au Tumaini Makene hana vitendea kazi hadi ampigie Molemo simu (inaonekana Molemo hayupo Kigoma) ili Molemo atupie habari JF?
 
wanaotumia lugha kali ni dalili ya jinsi wanavyomkubali Dr ila wanajitutumua kumkataa au huenda akili zao zimegota!
 
DR, SLAA KARIBU KWETU KIGOMA TUMEFURAHIA UJIO WAKO KWANI SASA NDIO WAKATI WA KUFANYA ZIARA MAANA CHAMA KIPO KWENYE KIPINDI CHA MPITO MBAPO WANANCHI WANAHITAJI MSAADA MKUBWA SANA KUELEWESHWA.

NAKUSHAURI SANA UPITE MAHARA PENGI KULIKO KIPINDI CHOCHOTE KILICHOPITA KWA SABABU , WANACHAMA WENGI WA VYAMA HAWAJUI MAANA YA UANACHAMA .
HIVI INAKUWAJE MTU ANAVULIWA MADARAKA AU ANAVULIWA UANACHAMA NA WEWE UNATANGAZA KUJITOA KWENYE CHAMA?
KWANI ULIINGIA KWENYE CHAMA KWA AJILI YA MTU AU KWA AJILI YA SERA ZA CHAMA HUSIKA? HIVI KAMA SIO UMASIKINI WA MAWAZO NINI?
KWA MFANO INGETOKEA VIONGOZI WOTE WA CHAMA WAKAPATA BAHATI MBAYA WAKAPOTEZA MAISHA INGEKUWA NDIO MWISHO WA CHAMA ? AU TUNGECHAGUA WENGINE WAKASIMAMIA SERA TUKAENDELEA MBELE HEBU TUACHE MAWAZO NGANDO. MIMI NAKUBALIANA NA CHADEMA KAMA KWELI WANACHOFANYA WANAMAANISHA WANAPASHWA KUPEWA HONGERA SANA KWANI USALITI NI KITENDO KIBAYA SANA .

NASHAURI WATU HAWA WAPEWE ONYO KALI WATAKUWA WAMEJIFUNZA JAMBO MOJA KUBWA SANA.


BRAVO CHADEMA:closed_2:
 
ni jadi yetu ndo utamaduni wa pwani kama wewe unavyoipenda mbege ambayo kwetu ni uchafu

Haha na avater yako mpomsoga nini kula pilau kama kawaida Jk akienda msoga mnakimbila kwenda kula pilau shame on you jua pia si kila aliye CDM ni m chagga wengine inaewza kuwa wa pwni tuliyejitambua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom