Dr Slaa aingia Jioni hii Kigoma mjini kwa Mbwembwe..

Ccm wametumia zaidi ya 100M eti kuzuia Dr. Wa kusomea asiingie Kigoma. Mi kijana wangu wa bodaboda anasema wiki hii ni neema kwake maana anapata pesa bure kabisa kutoka kwa ma punguani ccm
​udokta wa kusomea upi usio na graduation?? wasafi wapo wanahudumu makanisani wahuni ndo wanakimbizana mabarabarani malaghai wakubwa
 
Mapambano yanaendelea kweli nimeami chadema inachukua dola kumbe Dr slaa nijasiri kiasi hichi kweli kura yangu aitapotea kamwe anastaili sawasawa nakazi anao fanya.
 
huu ulaghai wenu wapelekeeni wake zenu tumechoka kudanganywa na wachumia tumbo nyie hamna nia ya dhati ya uongozi ni uroho na tamaa zenu huyo BABU aache chuki dhidi ya makabila na dini zingine ndani ya CHADEMA

Uwezo wa CCM ni kulipa kima cha chini cha Mshahara Tshs.150,000/= kwa Mwezi.Tunataka chama chenye Uwezo zaidi ya huo.
Kuhusu Udini nafikiri CCM inaongoza.Rais wa Tanzania na Zanzibar na Makamo wao(CCM)Jumla watano wote ni WAISLAMU.
 

hatari mtoto wa kiume kama wewe kuongea ushudu na uongo kama huu dhidi ya mwanaume mwenzio ndo madhara ya mirungi mnayokula hii

mkuu vipi mbona unaonekana kama unahasira sana aisee ??
Kwani vipi mbona mimacho yakutoka na povu limekujaa mdomoni?? Nguruwe aliye lishwa sabuni??
 
Pamoja na hila zote pamoja na maigizo yote,bado Dr. Slaa ana watu wengi ktk mikutano.Na amepata mapokezi mazuri sana.HIli nalipongeza.

Napongeza pia Timing ya utumaji Picture,kwani inazuia magaidi(wanaotishia watu na Dr.Slaa) kufanikicha chochote...utoaji wa Picture umekuwa mzuri kwani hauna pa kuwasaidia magaidi kuweza panga chochote.Tofauti na wakenya walivyokuwa wakionyesha ktk live TV.

Naipongeza CDM kwa kupambana vyema na ugaidi na kuweza kuwa hatua kadhaa mbele.Nadhani ni funzo toka kwa yaliyotokea pale Soweto.Ila magaidi baada yakupatikana ktk camera waanelekea kushindwa jipanga vyema ili wajifiche ktk matukio mabaya zaidi ktk mikutano ya CDM.

Hadi sasa sijui km wakenya waliweza handle west gate km CDM na soweto au wamejiandaa vyema kukabilina na ugaidi tena km leo CDM walivyoweza fanya.

Kwa pamoja Tunasonga,tumeanza na Mungu,tunaendelea na Mungu na tutamalizia na Mungu.
 
huu ulaghai wenu wapelekeeni wake zenu tumechoka kudanganywa na wachumia tumbo nyie hamna nia ya dhati ya uongozi ni uroho na tamaa zenu huyo BABU aache chuki dhidi ya makabila na dini zingine ndani ya CHADEMA

Hakika. Nimekuwepo kwenye mkutano huo. Kwa kweli babu slaa ana roho ngumu mno.

Pamoja na watu kutoitikia kabisa lakini yeye kaendelea kuongea ongea tu na viti.

Niliona ananibore nikaamua kuchapa rapa. Sijui kilichojiri baadae.
 
Songa mbele kamanda!! Tunataka kiongozi kama huyu..
Huku DAR DC CCM kawakimbia.....pamoja na propaganda zoote hiji za kkijinga lkn watu makini wanazidi kujiunga CDM!

Hahahahaha Huyo DC wako alitemwa kwa kula pesa za pembejeo mkoani mbeya nakutimuliwa!!!!
 
Safi sana. Siasa sii uadui bali ni msuguano wa kihoja wenye nia ya kusukuma au kuharakisha gurudumu la maendeleo ya jamii.
GO DR SLAA GOOOO. VIVA CHADEMA NA WAPENDA MAGEUZI WOTE.
.
 
Mtoa mada acha kutudanganya, Dr. SLAA amepita akizomewa kama kibaka aliyeiba kuku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom