Dr Slaa aingia Jioni hii Kigoma mjini kwa Mbwembwe..

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Mapokezi makubwa ya msafara wa pikipiki na magari hapa Mwandiga yanamlaki Gwiji wa siasa Tanzania na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kuelekea Kigoma mjini.

Watu wako njiani wakinyoosha vidole viwili hewani, ishara ya kusapoti chama chao. Mapokezi ni makubwa kweli kweli chama kinapewa hapa.

Wenye magari wanaonekana kutoa heshima kwa kuweka magari pembeni na kupiga honi mfululizo wakikaribisha msafara wa Katibu Mkuu.

Mji wa Kigoma uko hai hai sasa. Honi na vidole viwili alama ya amani, upendo na ushindi, zimehanikiza

Source: Afisa Habari Mkuu CHADEMA Tumaini Makene

Updates kutoka Mwananchi Breaking News chini......

DR SLAA AITEKA KIGOMA: Awasili jioni hii, apata mapokezi makubwa. Msafara wake una magari zaidi ya 22, Pikipiki 150, magari 4 ya Polisi, ulinzi waimarishwa.
 
Last edited by a moderator:

huu ulaghai wenu wapelekeeni wake zenu tumechoka kudanganywa na wachumia tumbo nyie hamna nia ya dhati ya uongozi ni uroho na tamaa zenu huyo BABU aache chuki dhidi ya makabila na dini zingine ndani ya CHADEMA
 
....divison 10 ya Msoga inapita....
 
Songa mbele kamanda!! Tunataka kiongozi kama huyu..
Huku DAR DC CCM kawakimbia.....pamoja na propaganda zoote hiji za kkijinga lkn watu makini wanazidi kujiunga CDM!
 
Ngoja sasa wale lb7 fc waje na porojo project na hoja mfu za matusi..

CDM ni chama cha watanzania na mkombozi wa walalahoi..
 
Ccm wametumia zaidi ya 100M eti kuzuia Dr. Wa kusomea asiingie Kigoma. Mi kijana wangu wa bodaboda anasema wiki hii ni neema kwake maana anapata pesa bure kabisa kutoka kwa ma punguani ccm
 
Dr anapendwa sana jamani na niko hapa mitaa ya mwembetogwa wananchi wanatamani hata kuona gari lake tu akipita

hatari mtoto wa kiume kama wewe kuongea ushudu na uongo kama huu dhidi ya mwanaume mwenzio ndo madhara ya mirungi mnayokula hii
 
safi sana.....usiweke picture mapema...magamba wasije ona ma agent wao nao wakiwa bila mabango.....
hiloo hata aibu huna CCM hatuna mda wa kuwafwatilia vibaka,,,malaghai na walaaniwa hata siku moja
 
DR SLAA AITEKA KIGOMA: Awasili jioni hii, apata mapokezi makubwa. Msafara wake una magari zaidi ya 22, Pikipiki 150, magari 4 ya Polisi, ulinzi waimarishwa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
hATA MAKABURU WALIMBANIA SANA MANDELA LAKINI MWAKA WA 27 ILIWABIDI WALEGEZE MWANAUME AKAPITA NA KUWATAWALA PIA SAME TO THIS HERO.GO GO DR.SLAA
 
Similar Discussions

24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom