majorbuyoya
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,828
- 568
.....mmh! wee nawe unamuita Dr. Slaa Babu wakati umemzidi mwaka mmoja!!. Kweli watu hampendi kuzeekaNingeshangaa sana babu asingedandia hii hoja muflis, maana siku hizi kaishiwa, anatazama upepo na anadandia.
Babuuu, kalee kijukuu. Haya mambo huyaelewi tena ntashangaa zaidi kama hii hoja haijafanywa ya chademaa.
Ningeshangaa sana babu asingedandia hii hoja muflis, maana siku hizi kaishiwa, anatazama upepo na anadandia.
Babuuu, kalee kijukuu. Haya mambo huyaelewi tena ntashangaa zaidi kama hii hoja haijafanywa ya chademaa.
slaa anawatoa kamasi, shikilia hapohapo dr. Mpaka haja zote ziwatokeBABU ni wakupuuzwa tu! Upweke, maradhi na Uzee vinampeleka puta!
Huna hoja wewe bali unaleta Mahoka
slaa anawatoa kamasi, shikilia hapohapo dr. Mpaka haja zote ziwatoke
Molemo, huna hadhi yakubishana na kandambili. Unatakiwa ubishane na alieivaa yaani boc wake aliemtuma. Tizama, tunajadili billions ambazo ni kodi zetu kwa ajili ya madawa na elimu na vitu vingi, swala analoongelea angewauliza cdm wamefikia wapi, how does that sum help we normal citizens? Kamuulize mwasibu wa chama je atwambie hizi za escrow tumuulize nani? Maana hata kuu la kaya lilivoona issue inaenda kubaya likaibua tezi dume, toka lini Rais wa nchi yetu akatangaza ugonjwa wake akiwa anatibiwa? Alivoona bunge linamaliza kazi yake likarejea. Haya tumelikabidhi kazi limekaa kimya eti zee la busara! Atuambie kama asipochukua hatua nasisi tukae kimya kama si ujuha nini? Kama anaona kuna ufisadi umefanywa na baba Slaa, mbona alishlitolea ufafanuzi. Unajua you can not justify the wrongs by the wrongs. Ukifungwa kwa kosa la kubaka mtoto wa miaka rights huwezi sema mbona kijijini msoga kuna jamaa kaoa mtoto wa miaka 11? Niwapuuzi tu ndo wanawaza ujinga kama huu
JK mwenyewe huenda anahusika ndo maana anakuwa mgumu wa kuchukua hatua mapema ccm hakuna aliye msafi hata mmoja wote mafisadi na wezi wa rasimali zetu.Dr Slaa daima ni msema kweli na msimia haki. Hatua ya Kikwete kukaa kimya na kudharau maamuzi ya Bunge ni dhihaka kwa watanzania.
Hakika Dr Slaa RAIS wa mioyo yetu chondechonde hata ikibidi tupo tayari nguvu na mamlaka ya umma imhukumu JK na serikali yake.
tutaanza kwenye serikali za mitaa
Ooh, Jamani mama ni akili yako ama na wewe umepokea kamshiko ka ESCROW?
Huoni Hospitali hazina dawa, vifaa duni na Madaktari hawana morali
Watanzania wengi sana wanakufa kwa kukosa dawa. Watu wengi wanakufa kuliko nchi yenye vita...
Akina mama wenzako wanalala wawili wawili na wengine sakafuni, huoni haya...
Huoni Kenyatta kawatimua mawaziri wake...Loo. umezidi kumtetea jamaa yako hata kwa virojaa
.....mmh! wee nawe unamuita Dr. Slaa Babu wakati umemzidi mwaka mmoja!!. Kweli watu hampendi kuzeeka
Unajua maana ya neno muflisi? Bila shaka hujui na ndiyo maana unajitia aibu hadharani. Watu wana uchungu na wezi wewe unawatetea bila hata chembe cha aibu kwa malipo ya ya senti za kununulia bamia. Ona haya.
Nataka UKAWA wakomalie na majina ya watuhumiwa waliochota fedha za ESCROW kupitia benki ya Stanbink.Huko ndiko kwenye majina ya watu muhimu sana wakiwemo hawa wanaodai kuwa wapinga ufisadi nchini!
Hizo nyimbo zime flop zamani. Kama unabisha muulize Ulimboka.
Hakika anasema kweli. Ndo maana anasema kweli kuwa Josephine Mushumbusi ni mke wake wa ndoaDr Slaa daima ni msema kweli na msimia haki. Hatua ya Kikwete kukaa kimya na kudharau maamuzi ya Bunge ni dhihaka kwa watanzania.
Hakika Dr Slaa RAIS wa mioyo yetu chondechonde hata ikibidi tupo tayari nguvu na mamlaka ya umma imhukumu JK na serikali yake.
tutaanza kwenye serikali za mitaa
Ndicho hicho kilichomtoa babu kutoka mtaa wa Ufipa kwenda kuwaeleza wananchi?.
Hii ni dharau kwa wananchi walioenda kumsikiliza.
Hana ajenda kwa sasa kilichobaki ni kudandia dandia ajenda.
Kwa hiyo anawaambia waichague CHADEMA kwa sababu Rais Kikwete hajatengua uteuzi wa baadhi ya mawaziri.
Kwa hiyo Rais Kikwete akitengua ndiyo wasiichague CHADEMA.
Hoja za kitoto.
Kuna wengine wakizeeka wanazeeka, pia na hekima na busara zao.
Hizo ni baraka za kuanza kutimiza tuliyoyaongea na kuyachukulia hatua siku nyingi. Kuwa sasa ni wakati wa kujitegemea bajeti yetu na si kutegemea misaada na Kikwete alishalianza hilo vizuri sana, hatushtuki hata chembe.
Ningeshangaa sana babu asingedandia hii hoja muflis, maana siku hizi kaishiwa, anatazama upepo na anadandia.
Babuuu, kalee kijukuu. Haya mambo huyaelewi tena ntashangaa zaidi kama hii hoja haijafanywa ya chademaa.