Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

msitufanye wajinga kiasi hiki! hivi tanesco hawajui kama kuna ma generator sikuhizi hadi wajisumbue kukata umeme ..?
:wacko:

Wapigie simu Tanesco waulize
 
If you cant convince them, join them. CCM, allien with CDM and you will deliver, bila shaka.
 
acheni raia wasikilize wapime na waamue wenyewe, hii mambo ya kuwa treat kama watoto wa chekechekea inaleta picha mbaya kwa chama chetu ambacho kimsingi ndicho chenye sera nzuri kuliko za cdm.

Lukansola, ni wenye matatizo na muona hasi ndio wanatazama kama wewe....Wale wanajinasibu wadau/wacheleketwa/wafurukutwa na wenye chama wanaona tofauti....Kuwanyima fursa kama hizo cdm kutawapunguzia hadhi kwa wananchi.....Nakuapia hapa ndipo wanawaongezea credit CDM....Thanks kwa hujuma kama hizo,tena nakuombeni CCM muongeze ili hasira mioyoni mwa wananchi iwe kali na mwisho....2015....
 
Duh, that's too bad for the hotel manager! Atakuwa mnazi wa CCM.

Huyu manager nimeshamnukuu kwenye kitabu changu cha wasaliti na wacheleweshaji wa mabadiliko saa ya ukombozi ikiwadi lazima alipwe ujira wake kadri ya matendo yake.Dr, usikate tamaa wakati wa kupigania uhuru watu walilala kwenye mitaro, maporini na kwenye mahandaki usijali habari ya hoteli lala hata ndani ya gari lako vijana watakulinda! M4C ni moto mkali unaoambatana na kimbunga hauzimiki huo hadi 2015 utakapong;oa magamba yote mungu nipe uhai nishuhudie tukio hilo kuu hapo 2015!!
 
Hizi mbinu wanazotumia watawala na hao watumish wao ili kuhujumu upinzani ni za kitoto,k.i.p.u.m.b.a.v.u na za k.j.i.n.g.a mno,cha kufanya wao walete mambo yenye tija na maendeleo kwa wananchi,otherwise wanajisumbua bure tu,wananchi wakiamua wameamua,hata wakiweka kiwanda cha mzinga kila wilaya
 
nashukuru ukombozi wa nchi unakaribia haraka sana 2015 wananchi wataelewa nn cha kufanya,make mbinu zinazotumika za miaka 1954 enzi za TANU Wakipigania uhuru wa Tanganyika now hawa ccm wanacopy na kupaste mbinu za wakoloni,kuikwamisha chadema na hakika hawataweza make wananchi wanaelewa watetezi wao wa kweli na wanaowaamini,Ndugu zetu muwe mnajaribu kutumia busara ya kawaida,msikurupuke na msiwafanye chadema wakiingia madarakani wawe na visasi, kuweni fair fanyeni wajibu wa siasa kama wenzenu wazee wa M4C wanavyowaburuza,Viongozi na makamanda wote "keep it up hakuna kulala mpaka kieleweke"
 
Siasa yetu bado changa sana,ukomboz u njian,u gonna take that throne.
 
Huyo Manager wa Hotel kitendo alichofanya ni cha kijinga sana na mimi naamini hicho chumba Dr. Slaa alikuwa amelipia.

Ninamkubali sana huyu mzee maana anaenda kulala kwenye guest ya bei rahisi kuliko JK analala Hoteli mpaka ya dola 1500 per night.

Mapenzi mabaya hivi Wilaya ya Kilosa unategemea utapata hotel gani ya bei kubwa...wakienda Arusha analala hotel gani? TUNTEMEKE tusaidie bei ya hotel Arusha anayolala Dr Slaa.
 
Last edited by a moderator:
CCM ni janga la Taifa. Ni aibu kwa chama kilicho na serikali muda huu kuwa na mbinu chafu na za kishenzi namna hii.

Nafurahi, hata hivyo kuwa wananchi wameamka, wanaona na wanajiandaa kuchukua hatua stahiki ili kuiondoa ccm madarakani.

Too low AGAIN.
 
Kwa hali hii, nazidi kuichukia zaidi ccm na kuipenda CHADEMA..................................................
Laana na iwe kwa kada huyo wa gamba nene.
 
Kama ilivyo kwa kila mtanzania anayelilia mabadiliko ya nchi hii (isipokuwa magamba), nimezipokea taarifa za kutimuliwa kwa dr. Slaa katika hoteli ya Veta huko Mikumi-Morogoro kwa masikitiko makubwa. Nikiwa kama mzalendo wa nchi hii, tukio hili linatoa tafsiri nyingi sana katika tasnia ya siasa za nchi hii na mustakabali wa Taifa letu.zifuatazo ni baadhi ya tafsiri za tukio hili;
1. Ni Udhalilishaji mkubwa kwa 'rais' wa nchi. Itakumbukwa kwamba, Hadhi ya Dr. Slaa katika nchi hii kwa sasa ni adimu sana, kwani, kama si sababu kadhaa ikiwamo na uchakachuaji wa matokeo (kama ilivyokuwa imeripotiwa sana mara baada ya uchaguzi mkuu 2010), sina shaka Dr. Slaa angekuwa ndiye Rais wa nchi hii kwa sasa.Lakini pia, nani ajuaye ya 2015 endapo chama chake kikimpitisha kugombea tena? kitendo alichofanyiwa ni unyama mkubwa wenye lengo la kudhoofisha jitihada anazozifanya yeye na chama chake ambazo ni vigumu kwa sasa kufanikiwa.
2. Meneja wa hoteli aliyemzui Dr. Slaa ni kada na au kuwadi wa chama tawala-CCM. Tulio lililotokea ni dhahili kuwa ni la kisiasa. Na kama ni la kisiasa, basi sababu iliyotolewa na Meneja huyo kuwa eti 'chumba alichokuwa akitumie Dr. Slaa kilishakuwa na mtu) ni sababu dhaifu mno. ni sawa na zile ambazo zinachosha masikio yetu kutoka kwa jeshi la polisi kama sababu za kuzuia mikutano ya CHADEMA -uwanja mnaotaka kuutumia utatumiwa na watu wengine (ccm) siku hiyo hiyo. UPUUZI!!!!!!
3. Kuzima umeme kwa sababu ya mtu mmoja (Dk. Slaa) na kuwakosesha huduma hiyo muhimu maelfu ya wakazi wa Mikumi ni uonevu kwa wananchi hao. kulikuwa na sababu zipi hasa zenye mashiko za kuwaadhibu wananchi wale kwa kuukosa umeme, huku ikielezwa kuwa haikuwa desturi kwa muda kidogo kukatika umeme maeneo hayo.
4. Meneja/msimamizi wa huduma za umeme (Tanesco hapo mikumi/Morogoro ana kesi ya kujibu; iweje atumike kisiasa kwa maslahi ya chama fulani? hivi yeye hayuko ofisini kwa maslahi mapana ya watanzania wote? ni kwanini ameruhusu wanasiasa kuharibu /kuingilia wajibu wake? Kwanini afanye kazi kwa maslahi ya chama kilicho madarakani? kwa hakika ANASTAHILI KUJIUZU KWA MATUMIZI MABAYA YA OFISI.
5. HASARA ambayo TANESCO imeipata kwa kuzimwa umeme kwa zaidi ya saa 12 pasi na sababu za msingi ni kubwa. Hivi ni iunit' ngapi za umeme zingekuwa zimetumiwa na wananchi wa mji huo kwa saa hizo? ni pesa ngapi tanesco ingeliingiza kwa umeme kuwepo kwa saa hizo? Hasara hiyo itafidiwa vipi? nani ataifidia?

KIMSINGI KABISA, KUMPIGA TEKE CHURA SIO KUMWUMIZA, BALI NI KUMWONGEZEA MWENDO.TAFAKARI.
 
Freedom is coming tomorrow.Waache wafanye hivyo tu, ipo siku yataisha.
 
Back
Top Bottom