DR Slaa aeleza sababu ya CHADEMA kususa

DR Slaa aeleza sababu ya CHADEMA kususa

Shida moja MKWERE hana analoweza kuamua yeye mwenyewe, anasaidiwa mpaka kufikiri, sijui huyu bwana uwezo wake shukeni ulikuwaje!!!

Ha ha ha aaaagggrr. Hujui mwenzako ana SHAKE WELL BEFORE USE.
 
eti upuuzi mtupu..mkwere jasho la pua lilimtoka jana....hatakaa asahau aibu aliyoipata jana kukataliwa live mbele ya wageni waalikwa na mabalozi..hahaaaaa shame on you JK..na bado

nilikuwa sijatanua mawazo yangu zaidi
 
Mdau Makoye, ahsante kwa hii habari murua ya kina jinsi waandishi wa habari wanatakiwa kuwa wakati wa kuripoti habari ya kihistoria kama hii ya CHADEMA 'kumsusia' Rais Kikwete. Rais Kikwete, SI-SI-EM, NEC, wabunge(CCM) na watendaji wengine wa serikalini wanatakiwa kuwa makini kuhusu KATIBA, mfumo na mustakabali wa demokrasia ya kweli kwa wa-Tanzania kama wanataka kuepukana na aibu hii.
 
Hawa mara Wacongo, mara wapingaji. Hawana uchungu na kilio cha TZ AMBAO WANALILIA MIKAKATI YA MABADILIKO YA KATIBA. Chadema mna waungaji mkono ambao ni wananchi wote. Mwandishi wetu endelea kutuletea vtu roho inatamani siku zote mabadiliko chanya.
 
Je Bunge linaweza kuibana Chadema kwa kifungu hiki cha katiba????

Uhuru wa mtu kushirikiana na wengine Sheria ya 1984 Na.14 ib.6

20.-(1) Kila mtu anastahili kuwa huru, bila ya kuathiri sheria za nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani,kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani, na hasa zaidi kuanzisha au kujiunga na vyama au mashirika yaliyoanzishwa kwa madhumuni ya kuhifadhi au kuendeleza imani au maslahi yake au maslahi mengineyo.

(2) Bila ya kujali masharti ya ibara ndogo ya (1) haitakuwa halali kwa chombo chochote cha siasa kuandikishwa ambacho kutokana na Katiba au sera yake-

(a) kinakusudia kukuza au kupigania maslahi ya-
(i) imani au kundi lolote la dini;
(ii) kundi lolote la kikabila pahala watu watokeapo, rangi au jinsia;
(iii) eneo fulani tu katika sehemu yoyote ya Jamhuri ya Muungano;
(b) kinapigania kuvunjwa kwa Jamhuri ya Muungano:
(c) kinakubali au kupigania matumizi ya nguvu au mapambano kama njia za kufikia malengo yake ya kisiasa;
(d) kinapigania au kinakusudia kuendesha shughuli zake za kisiasa katika sehemu moja tu ya Jamhuri ya Muungano;

(e) hakiruhusu uongozi wake kuchaguliwa kwa vipindi na kwa njia za kidemokrasia.

(3) Bunge laweza kutunga sheria inayoweka masharti yatakayohakikisha kuwa vyama vya siasa vinazingatia mipaka na vigezo vilivyowekwa na masharti ya ibara ndogo ya (2) kuhusu
uhuru na haki ya watu kushirikiana na kujumuika.

Nawakilisha
 
Kwani Chadema hawakujua John Shibuda alijiunga Chadema kutaka ubunge tuu?

WEWE UMEVAMIA MADA, HII THREAD INAHUSU CHADEMA YATIKISA NCHI. KAMA HUNA HOJA KAA PEMBENI, AU NENDA UKAMALIZIWE SHIDA ZAKO ZA NYUMA.:angry:
 
Wametikisa nini? Ni ujinga mtupu...hawaiwezi CCM. This country will never be under Chadema, chama cha wahuni.
 
Mimi kwa upande wangu siumizi kichwa na chiligati,kwani nikikumbuka issue ya bashehe na uraia wake,bado huwa siwaamini chiligati na makamba,waliamka kitandani bila kunawa uso na kusema bashehe sio raia wa tz na huishi kwa mazoea,mwisho wa siku kijana wa watu ikaonekana ni raia tena raia mwema
sasa kwa mtindo huuu huwa sifanyiii kazi issue za chiligati na makamba wake

mapinguziiiiiiiii daimaaaaaaaa
:target:
 
Hata namimi simwelewi kwamba ana hoja gani? Kanuni za bunge zimekwisha tuambia kwamba kwenye siasa za vyama vingi matukio kama walk-outs na njia zingine zote za kuonyesha hisia bungeni ndiyo mahali pake!!!!!!!!!!!!!!!!!! Unless kuna hidden agenda?????????????????????/
 
sasa hiki kitaibana Cdm au bunge? Mbona kiko powa tu?
 
Naona hapa kuna ubabaishaji, hiki kifungu kinazungumzia usajiri, sasa nani kasema chadema inahitaji kusajiriwa upya!
 
Je Bunge linaweza kuibana Chadema kwa kifungu hiki cha katiba????

Uhuru wa mtu kushirikiana na wengine Sheria ya 1984 Na.14 ib.6

20.-(1) Kila mtu anastahili kuwa huru, bila ya kuathiri sheria za nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani,kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani, na hasa zaidi kuanzisha au kujiunga na vyama au mashirika yaliyoanzishwa kwa madhumuni ya kuhifadhi au kuendeleza imani au maslahi yake au maslahi mengineyo.

(2) Bila ya kujali masharti ya ibara ndogo ya (1) haitakuwa halali kwa chombo chochote cha siasa kuandikishwa ambacho kutokana na Katiba au sera yake-

(a) kinakusudia kukuza au kupigania maslahi ya-
(i) imani au kundi lolote la dini;
(ii) kundi lolote la kikabila pahala watu watokeapo, rangi au jinsia;
(iii) eneo fulani tu katika sehemu yoyote ya Jamhuri ya Muungano;
(b) kinapigania kuvunjwa kwa Jamhuri ya Muungano:
(c) kinakubali au kupigania matumizi ya nguvu au mapambano kama njia za kufikia malengo yake ya kisiasa;
(d) kinapigania au kinakusudia kuendesha shughuli zake za kisiasa katika sehemu moja tu ya Jamhuri ya Muungano;

(e) hakiruhusu uongozi wake kuchaguliwa kwa vipindi na kwa njia za kidemokrasia.

(3) Bunge laweza kutunga sheria inayoweka masharti yatakayohakikisha kuwa vyama vya siasa vinazingatia mipaka na vigezo vilivyowekwa na masharti ya ibara ndogo ya (2) kuhusu
uhuru na haki ya watu kushirikiana na kujumuika.

Nawakilisha
Habanwi Mtu hapo!
 
Kuna wakati inahudhi ukiona mtu mzima, kiongozi na mwenye elimu nzuri naye anatumbukia kwenye hii ghiliba ya kusema kwamba unaweza ukadumisha utulivu na amani bila kutenda haki! Hoja ya msingi inayotolewa na chadema ni kwamba wameibiwa ushidi wao na katiba iliyopo imewafungia mlango wa kudai haki yao hivyo wanadai katiba mpya ambayo pamoja na mambo mengine itasahihisha kasoro hiyo. Kwa vigezo vyo vyote vile hapa chadema wameonyesha ukomavu wa kisiasa. Maana wanachosema ni kwamba yaliyopita si ndwele, wanata ka kuganga yajayo, na kumsusia JK ni mojawapo ya shindikizo la kufanikisha hilo, sasa tatizo liko wapi!
 
Hali kama hii kwa mataifa yaliyoendela ingalazimu tume kujiuzulu, na uchaguzi kufanyika upya. Ninachonisikitisha ni baadhi ya watanzania wenzangu kutokutilia maanani mambo ya msingi kama haya na badala yake kukubaliana na uozo. Katika hali hii hatuwezi kabisa kusema eti Kikwete ameshinda. Kwa hesabu zipi? Hizi zinatofofautiana wazi namna hii? Jamani watanzania tuamke. Hivi chadema wangewezaje kukubaliana na matokeo ya uhesabuji wa kura potofu kiasi hiki? Na tukumbuke kuwa tofauti hizi ni zile tu zilizooneka wazi. Je kama imewezekana tofauti za wazi namna hii kuwepo, haiashirii kuwepo kwa wizi wa hali ya juu usioonekana hapa? Hivi noti inahitaji kuwa na dosari ngapi ili ijulikane kuwa ni batili? Jamani ni vyema tukashout kwa sauti kuu kuwa matokeo haya NI BATILI, HAKUKUFANYIKA UCHAGUZI BALI ULAZIMISHWAJI WA KIKWETE KUWA RAISI.

Lakini la muhimu sana hapa sasa ni kulazimisha kwa gharama yoyote kuandikwa kwa katiba mpya, na kuundwa kwa tume mpya huru ya uchaguzi. Vinginevyo hata huko tuendako hakutakuwa na uchaguzi hasa wa raisi. Jinsi tu tume ilivyokuwa inajitetea mbele ya waandishi wa habari muda mfupi kabla ya matokeo kutoka ilionesha wazi ni jinsi gani wasivyo competent na swala hili na walivyojaa prejudice kinyume na chadema huku wakiifavor ccm. Hatuwezi kuiachia tume iliyooza kama hii ituamulie mustakabali wa nchi yetu. Wanajf, na watz wote wapenda mabadiliko tujifunge, tupambane mpaka kieleweke.
 
Haya,kesho CDM HQ inaanika hadharani matokeo ya uchakachuaji wa kura uliompeleka mkwere kivukoni kwa hila!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Source: MLIMANI TV SAA 1 NA nUSU JION jUMAMOSI 20.11.2010!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom