Dr Slaa aandaliwa hujuma Iramba

Status
Not open for further replies.
Mimi na wewe wa kupuuzwa ni nani?

Wana Iramba watatoa maoni yao hata kama itatumika njia gani.

Katiba mpya ni wananchi waacheni watoe maoni yao kwa amani.
Wewe ndiyo wa kupuuzwa ,

maoni yanatolewa kwenye tume wala siyo kwa slaa au chadema we vipi.
 
Mwigulu inayomsumbua ni njaa kali mchumia tumbo bado tu hamjamshtukia?
Kumbuka yule ni mbunge na pia ni naibu katibu mkuu wa chama hiyo njaa unayosema sijui ni ipi au hujielewi vizuri.
 
Wewe ndiyo wa kupuuzwa ,

maoni yanatolewa kwenye tume wala siyo kwa slaa au chadema we vipi.

Na hao wanaowapa watu wakasome nyaraka kwenye mabaraza ya Katiba ni sawa?
 
Mwigulu anamchanganya kweli slaa kwa sasa atakuwa anawaza kama kesho ni hukumu yake,yani watu waache kufanya mambo yao kisa anakuja slaa huko ni kupotoka mkuu.

Utahangaika sana leo ukidhani utapata zaidi ya buku saba Lumumba.
 
Mwigulu anamchanganya kweli slaa kwa sasa atakuwa anawaza kama kesho ni hukumu yake,yani watu waache kufanya mambo yao kisa anakuja slaa huko ni kupotoka mkuu.

usiwaamishie watu wa Iramba mawazo yako binafsi,

Waacheni watu wa Iramba wachague, kuweni wavumilivu.
 
Hata ingeshuka Arsenal, Iramba ni yetu.
 
Wana Iramba wenzangu sasa tubadilike,Huyu mbunge wetu gaidi,muuaji Savimbi a.k.a Chemba,asiendelee kutuburuza,Hivi kutoa maoni ya katiba mpya na kwenda kushabikia upuuzi wa soka la kibongo kipi bora?Hata alete Manchester tusiende aende mwenyewe na mke wake,Nawaomba tena sana wana Iramba wenzangu mimi ni miongoni mwa waathirika wa BOMU LA SOWETO ARUSHA ambalo liliratibiwa na kuandaliwa na Mwigulu kwa kushirikiana na Policccm hivyo msiende kwenye mpira atawaua,sisi chadema siku hiyo kwa kutumia Redbriged tutaimarisha ulinzi kwa kuwa tupo karibu na gaidi,njoni mtoe maoni yenu ya katiba mpya.
 
Huuyu savimbi atakuwa amechanganyikiwa kama akiitisha mkutano bila hata kufanyiwa hujuma watu hawafiki, kama atakumbuka alipo wahutubia waandishi wa habari, itakuwa akashindane na mkutano wa Slaa, bora ukose kila kitu lakini usinyimwe akili
 
Kwanza ilamba siyo watu wa kukimbilia kumuona slaa ajiandae kuwa na wachaga waishio singida tu.
 
Kumbuka yule ni mbunge na pia ni naibu katibu mkuu wa chama hiyo njaa unayosema sijui ni ipi au hujielewi vizuri.
ukoo unamtegemea hajaweza kujikimu yeye kwenye ukoo wao ndo taita so All eyes on mjomba
 

Kajipange upya , yajulikana Iramba yote Mwigullu ndio rais wao na wanamsikiliza kuliko mtu yeyote. Msianze kuleta visingizio mapema ili hali yajulikana kule Slaa atapata aibu watu watakuwa mpirani. Peleka ushambenga wako kwingine sio hapa JF
 
Eti watu wa iramba we bavicha siku hizi umehamia iramba kazi kweli,akili ni nywele kila mtu anazake watu wa iramba wanamatakwa yao.
 

Mbunge wa Iramba Magharibi (CCM), Mwigulu Lameck Nchemba akiwa na familia yake.
​
Mwigulu ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, katika picha hiyo anaonekana amesimama sebuleni, nyumbani kwake akiwa amembeba kwa mbeleko mtoto wake mdogo huku akiachia tabasamu pana lenye amani.…
 

Join Date : 6th August 2013
Posts : 28
Rep Power : 307
Likes Received 5
Likes Given 17

Kweli Mwigulu amewashika pabaya, kila siku BAVICHA mnahamasishana kujiunga JF ili mumshambulie na bado anawatoa Knock out. Slaa upooooo, ulio watuma hawa watu wako humu wameshindwa Mwigulu , toa tamko la kamati kuu .
 
Ye alete tu hio Simba yake,tena watumie helkopta na wenyewe. Ila Dr. slaa ndio tutamsikiliza. Mi niko hapa kiomboi nangoja ujio wa dr.
 

Kwa akili yako popote anapo enda Dr Slaa basi shughuli nyingine zisimame? Fanyeni kazi ya kuhamsisha watu wahudhulie mkutano na wanao penda mpira wataenda kuangalia hiyo mechi,kuna binadamu wanapenda mpira na wengine wanapenda siasa sana! "Kila mtu ana uhuru wa fikra na utashi wake"
 
Kwanza ilamba siyo watu wa kukimbilia kumuona slaa ajiandae kuwa na wachaga waishio singida tu.

Iramba ni kwetu hata mimi, lakini huu ubaguzi mnaoufanya hapa ni janga kubwa. Nawashauri mkome hii tabia.
 
Hakika nawaambieni wachumia tumbo wote mkiongozwa mwigulu,hizo fitina za kuwafanya watu wawe in dillema kwa ajili ya mpira ni kazi bure,watu watahudhuria kwenye mkutano.maana kinachojadiliwa ni mstakabali wa maisha yao.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…