Hata wewe na slaa mtakufa hakuna ambaye hatakufa huko ni kujidanganya.
Huyu Molemo nae ni wa kupuuzwa, sasa hapo hujuma ipo wapi?
Watu waache kuburudika kwa sababu ya Dr Slaa?
Kama ikitokea wananchi wamependezwa na ujio wa Dr Slaa, basi waende wakamsikilize.
Mwisho wa haki yako, mwanzo wa haki ya mwingine. Simple.
nimevumilia sana upuuzi wa rage kwenye timu yetu ya simba , lakini hapa nimefikia kikomo , kuanzia leo najivua rasmi uanachama wa simba na ujumbe wa kamati ya ufundi , potelea mbali .
Mwigulu atashindwa tu!
Naona ndo ushamaliza kujibu shutuma naibu?
AISEE RAGE siyo kila mechi ya kucheza ....TIMU ISIINGIZWE KWENYE MAMBO YA KISIASAHuku kukiwa na shamrashamra na nderemo Iramba Magharibi kusubiri ujio wa kihistoria wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa siku ya Jumamosi tayari hujuma zimeanza dhidi ya ziara hiyo.
Dr Slaa anatarajiwa kuhutubia mkutano mkubwa sana wa hadhara jimboni Iramba Magharibi siku ya Jumamosi kwa lengo la kukusanya maoni ya wananchi katika mabaraza ya Katiba ya CHADEMA.
Taarifa kutoka Iramba zinasema katika hali ya kutapatapa kudhibiti watu wasihudhurie mkutano huo,mbunge wa jimbo hilo Mwigulu Nchemba amealika timu ya Simba ya Dar es Salaam kumenyana na timu ya Polisi Jamii ya hapo Iramba kwa mechi ya kirafiki.Mechi hiyo itafanyika eneo jirani na muda huo huo atakaohutubia Dr Slaa.
Katibu mkuu huyo anatarajiwa kuwasili jimboni humo akitumia helikopta na maelfu ya watu wamejiandaa kumlaki na kutoa maoni yao ya Katiba mpya.
Kuna uhamasishaji mkubwa wa CHADEMA unafanyika hapa kumsikiliza Katibu Mkuu huyo ambaye kwa sasa ni kipenzi kikubwa cha watanzania.
kama simba wameshapewa mgao wao waende lakini kama wanategemea mapato ya mlangoni wajue watapata hasara kubwa maana Dct Slaa kwa sasa ni zaidi ya simba na yanga
Kwa wafuatiliaji wa siasa za Tanzania,ni ukweli usiopingika kuwa wana Iramba wanamsubiri Dr.W.Slaa kwa hamu kubwa. CDM waione hiyo mechi iliyopangwa siku hiyo ni challange kama zilivyo nyingine.
Matangazo ya kutosha juu ya ujio wa Dokta ndo jibu la haraka,
Ashindwe mara mbili? Umemsikiaga tena akiropoka hovyo baada ya kipigo kile cha Arusha?!
Hata angealika bayern na Barca afu Golikipa awe jakaya akipewa vitobo na Obama watu wangeenda kwa Dr. Slaa
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Aisee, aVatar yako na mawazo yako vinafanana hongera kwa kuipatiaHuyu Molemo nae ni wa kupuuzwa, sasa hapo hujuma ipo wapi?
Watu waache kuburudika kwa sababu ya Dr Slaa?
Kama ikitokea wananchi wamependezwa na ujio wa Dr Slaa, basi waende wakamsikilize.
Mwisho wa haki yako, mwanzo wa haki ya mwingine. Simple.