Dr Slaa aandaliwa hujuma Iramba

Dr Slaa aandaliwa hujuma Iramba

Status
Not open for further replies.
Huku kukiwa na shamrashamra na nderemo Iramba Magharibi kusubiri ujio wa kihistoria wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa siku ya Jumamosi tayari hujuma zimeanza dhidi ya ziara hiyo.

Dr Slaa anatarajiwa kuhutubia mkutano mkubwa sana wa hadhara jimboni Iramba Magharibi siku ya Jumamosi kwa lengo la kukusanya maoni ya wananchi katika mabaraza ya Katiba ya CHADEMA.

Taarifa kutoka Iramba zinasema katika hali ya kutapatapa kudhibiti watu wasihudhurie mkutano huo,mbunge wa jimbo hilo Mwigulu Nchemba amealika timu ya Simba ya Dar es Salaam kumenyana na timu ya Polisi Jamii ya hapo Iramba kwa mechi ya kirafiki.Mechi hiyo itafanyika eneo jirani na muda huo huo atakaohutubia Dr Slaa.

Katibu mkuu huyo anatarajiwa kuwasili jimboni humo akitumia helikopta na maelfu ya watu wamejiandaa kumlaki na kutoa maoni yao ya Katiba mpya.

Kuna uhamasishaji mkubwa wa CHADEMA unafanyika hapa kumsikiliza Katibu Mkuu huyo ambaye kwa sasa ni kipenzi kikubwa cha watanzania.

Huu upofu wa mapenzi ya vyama vyetu unaathiri sana upeo wetu wa kufikiri
Unajua maana ya hujuma weye?
 
MALemo

Nakwambia hata wangeialika timu kongwe duniani kama LiverpoolFC nakwambia wapenzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo hawazuiliki Mkuu!

Mwigulu Nchemba wewe hauna bahati nakwambia.
 
Last edited by a moderator:
Yaani simba ni wa kulinganisha na dr.!?Kesho ndo watu watajua km dr.slaa ndo kiongozi wa kisiasa mwenye mvuto kuliko wote hapa tz.Simba wataibua mgogoro mwingine,me naamini kabisa,kwa mvuto wa Dr.slaa hata baadhi ya wachezaji wa simba wataenda mkutanoni!Subirini mtaona.
 
KATIBA KWANZA MPIRA BAADAE,MIMI PIA NI CCM ila siungi mkono wala mguu huu upuuzii wa hawa viongozi wetu waliochoka akili!!!
Dah angalau hata sisiem wewe unarusha rusha vimiguu sio kama huyo kilaza wenu mwegulu savimbi.
 
Mwigulu hamsumbui mtu ila ANAIHARIBU NCHI kwa muelewa ataelewa. Anachokileta na kukitengeneza mtakipata baada ya muda mchache.
 
Mwigulu anamchanganya kweli slaa kwa sasa atakuwa anawaza kama kesho ni hukumu yake,yani watu waache kufanya mambo yao kisa anakuja slaa huko ni kupotoka mkuu.

Kitengo kipya kilichobuniwa mwezi wa tano mwaka huu ndani ya UVCCM kinaitwa Kitengo Cha Mawasiliano ya Umma, Makao Makuu ya UVCCM. Hongera mkuu
 
Dont spark! soma alama za nyakati wana iramba hawajalala kama unavyofikiria ila wafanyanye na unyonge walionao,mabarabara mabovu,mlo mmoja kwa siku tumebaki na uuzaji wa vijikuku huku wachache wakiishi maisha ya PEPONI Tumechoka na gilba za doti za khanga na vilemba TUMEAMKA SASA!
 
hivi lameck mbona ana akili ya kimilembe hivi una alika timu kisa ukweli utawekwa wazi kila la kheri dr.
 
Ni bahati mbaya sana kwamba hadi leo Mwigulu Nchemba hajamfahamu Dr. Slaa vya kutosha!
Dr. Slaa ni zaidi ya mwanasiasa wa viwango anavyofikiri Mwigulu!
Dr. Slaa si wa kubezwa kiasi hicho!
Tusubiri kuona
 
Huku kukiwa na shamrashamra na nderemo Iramba Magharibi kusubiri ujio wa kihistoria wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa siku ya Jumamosi tayari hujuma zimeanza dhidi ya ziara hiyo.

Dr Slaa anatarajiwa kuhutubia mkutano mkubwa sana wa hadhara jimboni Iramba Magharibi siku ya Jumamosi kwa lengo la kukusanya maoni ya wananchi katika mabaraza ya Katiba ya CHADEMA.

Taarifa kutoka Iramba zinasema katika hali ya kutapatapa kudhibiti watu wasihudhurie mkutano huo,mbunge wa jimbo hilo Mwigulu Nchemba amealika timu ya Simba ya Dar es Salaam kumenyana na timu ya Polisi Jamii ya hapo Iramba kwa mechi ya kirafiki.Mechi hiyo itafanyika eneo jirani na muda huo huo atakaohutubia Dr Slaa.

Katibu mkuu huyo anatarajiwa kuwasili jimboni humo akitumia helikopta na maelfu ya watu wamejiandaa kumlaki na kutoa maoni yao ya Katiba mpya.

Kuna uhamasishaji mkubwa wa CHADEMA unafanyika hapa kumsikiliza Katibu Mkuu huyo ambaye kwa sasa ni kipenzi kikubwa cha watanzania.

Mkuu Molemo, hata wailete Manchester United, hapa Iramba Mwigulu Nchemba hana chake 2015. Ni lazima aangukie pua.

Jana nililiona gari la PA ya hiyo mechi iliyoandaliwa na Mwigulu Nchemba. Na hapa ndipo nilipojua kuwa jamaa hamnazo. Anachojua ni kuwa pesa ndizo zitakazomrudisha Bungeni, wakati watu wameamka sasa.

Nipo sehemu moja hivi sasa. Naona gari ya PA ya chama makini cha CHADEMA likihamasisha watu kuhudhuria kwenye mkutano wa leo kule Kiomboi ambapo Katibu Mkuu wa CDM Dr.W.Slaa atatua na Chopper kwenye mishale ya saa 8 hivi na kutoa somo la Demokrasia kwa Wananchi wa Iramba.

uploadfromtaptalk1376728592987.jpg

Kwa taarifa tu ni kuwa nitakuwepo hapo kama Kamanda mmoja wapo wa ardhini kuwaletea kwa uchache yanayojiri kwenye Semina hii adhimu ya takribani masaa mawili mpaka pale itakapotimu saa 10.

Nitakuwepo na Makamanda wenzangu 12, na sasa ndio tumeanza safari ya kuelekea eneo la tukio.

C.C: Taswira, Shelui, Ritz, Hammy-D, Mwigulu Nchemba.
 
Last edited by a moderator:
We Molemo vipi bwana?! Mie mwenyewe siku hiyo nitakwenda kwa Dada kumpelekea sketi na mkanda wa kupunguza tumbo. Siji kwenye mkutanoni wenu ng'o!
0

1170811_156243614577875_1219415760_n.jpg

Anamlisha mtoto au anapozi ili apigwe picha???
Mbona haangalii uelekeo wa kijiko?!
Si mwisho mwanetu atapakwa uji usoni au kwenye pua?!
Kupigwa picha ukiigiza kumjali mwanao ni ulimbukeni....
Mlishe mtoto, akishiba ndo upige picha za madaha!
 
Huku kukiwa na shamrashamra na nderemo Iramba Magharibi kusubiri ujio wa kihistoria wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa siku ya Jumamosi tayari hujuma zimeanza dhidi ya ziara hiyo.

Dr Slaa anatarajiwa kuhutubia mkutano mkubwa sana wa hadhara jimboni Iramba Magharibi siku ya Jumamosi kwa lengo la kukusanya maoni ya wananchi katika mabaraza ya Katiba ya CHADEMA.

Taarifa kutoka Iramba zinasema katika hali ya kutapatapa kudhibiti watu wasihudhurie mkutano huo,mbunge wa jimbo hilo Mwigulu Nchemba amealika timu ya Simba ya Dar es Salaam kumenyana na timu ya Polisi Jamii ya hapo Iramba kwa mechi ya kirafiki.Mechi hiyo itafanyika eneo jirani na muda huo huo atakaohutubia Dr Slaa.

Katibu mkuu huyo anatarajiwa kuwasili jimboni humo akitumia helikopta na maelfu ya watu wamejiandaa kumlaki na kutoa maoni yao ya Katiba mpya.

Kuna uhamasishaji mkubwa wa CHADEMA unafanyika hapa kumsikiliza Katibu Mkuu huyo ambaye kwa sasa ni kipenzi kikubwa cha watanzania.

Hahahahahaa hii Club yetu ya simba nayo inajidhalilisha, wanaenda kutumika kisiasa na wao wakijua, nawapa pole sana wana Iramba, hapo ndo kitakuwa kipimo chanu cha akili..
 
Last edited by a moderator:
Nahisi Simba watacheza peke yao kwani timu ya polisi jamii nayo itaenda kutoa maoni kwa dokta wa ukweli
 
Mwigulu kawatapeli wana kiomboi,labda simba toto ndiyo itacheza sio simba ya rage!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom