Uchaguzi 2020 Dr. Shein miaka 10 iliyopita, nitaifanya Zanzibar iwe kama Dubai. Mwaka huu Magufuli nae kaahidi kuifanya Tanzania kuwa kama Ulaya

Hivi nyinyi mnafikiri Magufuri ni mtu ona tu chama chake kushindwa kukiongoza anasaidiwa na maafisa vipenyo tu , Chama chake chenyewe hawamtski Ila hawawezi kuonyesha hadharani pamoja na kuwa wanasimamia na kupiga kampeni wanaogopa tu asiwakolimbe .

Sasa wewe hueeweki. Shida yako ni nini hasa?

Unataka kiongozi mkuu asisaidiwe na mifumo ya taasisi? Unatafuta uongozi upi wewe?

Unasema ccm hawamtaki Magufuli. Kwa mantiki yako na uelewa wako juu ya ccm. Ni kwa nini hawamtaki Magufuli?

Unapoona kwamba ccm imegawanyika vipande viwili kwa maana ya Magufuli na wanaccm. Wewe inaonekana unaona ccm ndio wako sahihi kuliko Magufuli. Unapoungana na ccm ambayo tayari ilishapitisha ufisadi, rushwa, wizi, kutokuwajibika, ulaghai, madawa na kila aina ya uovu kuwa sera zake, ukamkataa Magufuli ambaye anajitahidi kutekeleza sera za UPINZANI katika kurekebisha hali japo kwa sehemu, wewe unaonekana huna uchungu na taifa hili.

Tukuweke wapi?

Naomba uache hila, na uwe mkweli ili ueleweke wewe uko upande wa Tanzania ama upande wa ccm fisadi.
 
Unaambiwa ngome ya CCM Zanzibar iko Makunduchi. Humo serikali na kwenye vikosi wamejazana. Sasa nenda ukaione Makunduchi ilivyo.....Hutotamani ata kurudi tena labda ifike mwaka kogwa
Hovyo sana majamaa
 
Sasa wewe hueeweki. Shida yako ni nini hasa?

Unataka kiongozi mkuu asisaidiwe na mifumo ya taasisi? Unatafuta uongozi upi wewe?

Unasema ccm hawamtaki Magufuli. Kwa mantiki yako na uelewa wako juu ya ccm. Ni kwa nini hawamtaki Magufuli?

Unapoona kwamba ccm imegawanyika vipande viwili kwa maana ya Magufuli na wanaccm. Wewe inaonekana unaona ccm ndio wako sahihi kuliko Magufuli. Unapoungana na ccm ambayo tayari ilishapitisha ufisadi, rushwa, wizi, kutokuwajibika, ulaghai, madawa na kila aina ya uovu kuwa sera zake, ukamkataa Magufuli ambaye anajitahidi kutekeleza sera za UPINZANI katika kurekebisha hali japo kwa sehemu, wewe unaonekana huna uchungu na taifa hili.

Tukuweke wapi?

Naomba uache hila, na uwe mkweli ili ueleweke wewe uko upande wa Tanzania ama upande wa ccm fisadi.
Misukule ya lumumba ina vichwa vigumu sn kuelewa
 
Afadhari tunayaona kuliko ingekuwa "mchakato unaendelea ""mchakato unaendelea".mara miaka 5 mara 10 imeisha kama JK.
 
Hahaha huwezi amini kuna vichwa huko CCM vinaamini kila kitu wasemacho hao watawala.

Kuna mtu wa CCM tulikuwa tukiongea akasema daraja la mfugale ndiyo ulaya wanaziita highway.

imagine wewe ni msomi na unamuamini lissu.

mnapishana ukibwa wa makalio tu na hao wajinga wengine.
 
Ukiwa na mentality za kiporipori unaweza kataa, ila ukija Dar kwa sasa utakubaliana na hiyo kauli , panajengeka haswa.

Daraja la sealander likikamilika, SGR, Barabara ya Ubungo - Mbezi, BRT Phase II, Stand kuu Dsm, na miradi mingine mingi tu lazima ukubali.

Baada ya awamu hii Rais ajaye atakuwa na jukumu jepesi la kuhakikisha Rasilimali Zetu zinatunufaisha baada ya kazi ngumu ya kuweka sawa miundombinu kukamilika.

Rais ayaje atakutana na umeme JNHPP hivyo hatapata tabu kuimplement sera ya viwanda.

Rais ajaye atakutana na SGR hivyo hata pata tabu kuconnect na wadau ambao ni nchi jirani.

Rais ajaye atakuta vituo vya afya kila kona hivyo atakuwa na jukumu la kuvisimamia tu ili vilete tija.

Kazi ya Magufuli ni ngumu na binafsi nampongeza sana mpaka alipofikia sasa, anastahili mitano mingine.
 
Hahahaaa....... Wanaenda hatua mbili mbele alafu wanarudi nyuma hatua 10 na kujipongeza🤔🤔
Hiyo ndio CCM na hizo ndizo sababu hawataki kutoka madarakani!
MTU AKIWA NA NJAA HUKU DHIKI ATAHANGAIKIA TUMBO LAKE ILA HATOSUMBUA WANASIASA!!!
 
Sasa Wawaulize Dubai ipo wapi
Hata enzi za Mzee Mwinyi nae alipokuwa rais wa zenji aliahidi hivyohivyo "Zanzibar itakuwa Dubai ya East Africa!!"
Wanajaribu kuiga maneno "nchi ya ahadi" kwenye vitabu vitakatifu ili kupendezesha masikio ya wanyonge waliochoka huku wao wakijiongezea matonge...
 
Huu ulaghai Sasaaaa....... Baassssssss..... Rais ni Tundu Lissu na Maalim Seif wote wanatosha sana
 
Back
Top Bottom