Dr. Shein kumrithi Kikwete

..kwa maoni yangu Dr.Shein ni bora sana kumzidi pinda..na pia Shein ni kati ya wachache sana huko ccm aliye msafi..Tatizo ni kwamba Dr.Shein yumo ndani ya ukoo huu wa mapanya uliotufikisha hapa kama nchi....Ikumbukwe kuwa Dr.Shein amekua kwenye uongozi wa taifa hili kuliko nadhani viongozi wooote waliopo sasa....Huyu Shein amekua makamu wa rais wa Mkapa kwa miaka 10.....pia amekua makamu wa JK muhula wa kwanza...na amekua rais wa zenj miaka hii...lakini ameshindwa kuleta mabadiliko yanayotegemewa na watanzania...na kwa maana hiyo haifai TZ ya leo....
 
..kwa maoni yangu Dr.Shein ni bora sana kumzidi pinda..na pia Shein ni kati ya wachache sana huko ccm aliye msafi..Tatizo ni kwamba Dr.Shein yumo ndani ya ukoo huu wa mapanya uliotufikisha hapa kama nchi....Ikumbuke kuwa Dr.Shein amekua kwenye uongozi wa taifa hili kuliko nadhani viongozi wooote waliopo sasa....Huyu Shein amekua makamu wa rais wa Mkapa kwa miaka 10.....pia amekua makamu wa JK muhula wa kwanza...na amekua rais wa zenj miaka hii...lakini ameshindwa kuleta mabadiliko yanayotegemewa na watanzania...na kwa maana hiyo haifai TZ ya leo....

Alikuwa makamu wa Mkapa sio miaka kumi alichukua nafasi hiyo baada za kuuwawa Dr. Juma Ali Juma.
 
Alikuwa makamu wa Mkapa sio miaka kumi alichukua nafasi hiyo baada za kuuwawa Dr. Juma Ali Juma.
..OK thanks for correction....sikuwa TZ kipindi hicho...lakini ukweli bado uko pale jamaa amekaa kwenye madaraka mda mrefu sana...ingetosha kufanya yale anayosimamia kwa kipindi chote hicho na kama hakuweza basi hafai kuwa rais wa TZ sasa...
 
Hivi Katiba ya 1977 na hii inayopendekezwa si imesema Rais wa JMT pia ndiye Rais wa Serikali ya Tanganyika?
 
Ukiacha sababu za kibinafsi za watu nje na ndani ya CCM, kwa sasa hivi hamna mwenye vigezo zaidi ya Dr. Shein!

Binafsi siwezi kusema kuwa hana kashfa lakini ukilinganisha na hao wenzake, yeye ana simama juu sana.
Siwezi kusema hana kundi (well zaidi ya CCM)lakini, miaka kumi iliyopita makundi (hususan ndani ya CCM) yamedhoofisha sana demokrasia na utawala bora katika nchi. Mtu kama Shein ambaye huwezi kusema kundi lake ni lipi ndani ya CCM ndiyo anaonekana anaweza.

Kumfanya Dr. Shein kuwa mgombea wa CCM ndio utakaotuliza vurugu ndani ya CCM na kidogo kuunganisha chama chao, kuimarisha muungano, kuwapa matumaini ya ushindi uchaguzini mwaka huu kwani pia utaonyesha kuwa mfumo uliokuwepo unafanyakazi kwani waadilifu bado wanathaminika.
 
Hakuna Mzanzibar mwenye ubavu wa kushinda uchaguzi wa Rais wa Muungano,hata kwa kuiba kura
 
Tatizo la tanzania sio mtu ni chama kile kimechoka hata umuweke nani ktk ccm

Shein jamani hajawa na uwezo wa kuiongoza jamhuri. Uwezo wake ni pale pale visiwani. Tena huyo ndio dhaifu kuliko tulie nae. Kwa hali ilipofikia tunamhitaji raisi tough na ikiwa lazima atoke ccm sio zaidi ya Lowasa. Nje ya ccm kwa mustakabali wa taifa hili basi ni dk. Slaa. Wallio bakia wote wakipendekezwa watakuwa walinda maslahi ya viongozi waliopo madarakani na waliopita.
 
Another descendant of Mohammed as a President? God forbid... More Churches destruction coming your way Christians
Get ready!
 
Another descendant of Mohammed as a President? God forbid... More Churches destruction coming your way Christians
Get ready!
Huu sasa upotoshaji wa hali ya juu! Znz makanisa yanajengwa wakati shein ni rais. Sasahiyo destruction ipo wapi?
 
Another descendant of Mohammed as a President? God forbid... More Churches destruction coming your way Christians
Get ready!

Ni kweli. Ingawa nchi haina udini wala haijaandikwa rasmi lakini hakuna uwezekano wa waislam kurudia urais mfululizo miaka 20. That's out of question. Ndio maana hata January na AshaRose wasijisumbue mwaka huu
 
Back
Top Bottom