Aniko
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 1,766
- 960
Mkuu rudi kwenye hoja ameingia kama nani EAC?hiyo kuidhinisha labda uweke uzi wako.Mbona hukuuliza wakati anainisha shilingi 350m za Maalim kwenda kutibiwa India? Mnamtambua mkitaka hela...
Mkuu rudi kwenye hoja ameingia kama nani EAC?hiyo kuidhinisha labda uweke uzi wako.Mbona hukuuliza wakati anainisha shilingi 350m za Maalim kwenda kutibiwa India? Mnamtambua mkitaka hela...
Kaenda Kama kivuli tu lakini moyoni hana raha, Udikteta utaanza kuanzia tarehe 21 baada ya Uchaguzi feki , watu watafungwa , watabambikiwa Kesi , kila Aina ya Udikteta utakuwepo baada ya Uchaguzi wa magumashi ambao wapiga dili Akina January na Nape sasa wanakula Mabilion Kwa kisingizio cha kuwanunua wafuasi wa CUF na vyama dhaifu vilivyokubali kushiriki Uchaguzi huo.
Tunamkaribisha M7 wa Tanzania,maana ukiona Rais anayempongeza M7 kwa yale matendo yake basi ujue na yeye atayafanya au ndiyo anenda kuyafanya.Wapinzani stay tuned,kinachofanyika kwa M7 leo tukisubirie kinakuja
Kije mara ngapi?! Huko kwingine wana udikteta wa mtu lakini hapa kwetu tuna udikteta wa chama kinachoweza kuamrisha vyombo vya dola dhidi ya wasioiamini na kuipenda
Nimekupata.Ndiyo maana Waafrika wengi hatujajua maana ya kuwepo EAC na AU,vyombo hivi naona ni vya Marais kukutania na kuelezea mikakati yao dhidi ya RAIA wao ambao wanawapinga kwa MATENDO.Sijasikia SAUTI ywa Mwenyekiti wa AU wala wa EAC ikikemea unyama unaofanywa Uganda,lakini anakemea vijisenti vinavyotumika kwenye mikutano yao.
Tumeona Raia wa Burundi wa kiuawa kikatili ati AU inashindwa kupeleka majeshi kulinda RAIA wa burundi sababu serikali ya Burundi imekataa.
Hivi kuna sababu ya kuwa na AU au EAC au SADC?
Anamwambia komaa kamanda, usiache nchi 'YAKO' maana hawa wameamua kutawala watakavyo, Uhuru yuko mbali ila kama anatamani apate wosia wa kagame kwa ajili ya uchaguzi wake ujao.Dr. alialikwa na Museveni ili ajifunze mambinu ya kushinda uchaguzi. Kaguta na mgeni wake hapo. Magu alimtambulisha kama Rais wa "nchi ya" Zanzibar.
![]()