Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,644
Aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Unajua kilichomfukuza upadri???
Kama mtu kaukumbia upadre kaona haulipi ww kwa akiri zako fupi unahisi kwenye siasa kafuata nini? Kama ni kuwatumikia watu ipasavyo ni kanisani.
Kama mtu kaukumbia upadre kaona haulipi ww kwa akiri zako fupi unahisi kwenye siasa kafuata nini? Kama ni kuwatumikia watu ipasavyo ni kanisani.
Nampenda DR SLAA RAIS MAKINI MTU MAKINI NATAMANI UWE RAISI.NAKUMBUKA MAMA YANGU ALIWAHI NIAMBIA MWANANGU NCHI YETU NI NCHI YA AHADI LAKINI BADO HAIJAPATA MZALENDO NA AKANIAMBIA ALITAMANI NYERERE AISHI MILELE. BALI ALISEMA MUNGU ANAIPENDA TANZANIA NA SIKU MOJA ITAPATA MZALENDO HAKIKA MAMA ALIONA MBALI. TUACHE USHABIKI WATANZANIA TANZANIA INAUTAJIRI MKUBWA BALI WATU WANAISHI KATIAKA HALI NGUMU.MFANO HAPA ARUSHA KUNA DADA KILA INAPOFIKA SAA MBILI USIKU HUWA ANAKUJA GETONI KWANGU TUNAKULA PAMOJA KWA KUWA MAISHA ANAYOISHI ANASEMA NI MAGUMU AJABU MH! INAUMA XANA. WATANZANIA WENZANGU TUWE WATU WA KUFIKIRI KWA KUWA KILA KOSA MOJA LINATUGHARIMU XANA MFANO KAMA TUNGEKUWA NA UONGOZI BORA TANGU TUPATE UHURU BAADA YA NYERERE LEO TUNGEKUWA MBALI XANA KIMAENDELEO ONA LEO HAKUNA AJIRA, VIONGOZI WANAJIPENDA WAO NA KUJILIMBIKIZIA MALI, UFISADI,SHERIA KUWA CHINI YA WENYE PESA, TANZANIA YA PILI KUNYANYASA WAZEE DUNIANI OOH AIBU,ELIMU KUDHOROTA,MIKATABA MIBOVU, HUDUMA ZA AFYA MBAYA, MZAWA KUDHARAULIKA NA WAGENI,NJAA. WATANZANIA
Kamanda mbona hauelewiki mara unamuita rais mara unatakamani awe rais, ukweli utabaki Dr.Slaa ataendelea kuwa rais kivuli tu.