Dr. Saa ni kiongozi pekee aliye kwenye active politics anayeumwa na umaskini wa watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Saa ni kiongozi pekee aliye kwenye active politics anayeumwa na umaskini wa watanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Percival Salama, Feb 4, 2012.

 1. P

  Percival Salama Senior Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wahenga walisema " Kauli huakisi dhamira ya mtu na pia hutoa taswira ya uwezo wa mtu". Nimejaribu kufuatilia mienendo na kauli za viongozi wetu kwa muda mrefu sasa.

  Ukimtoa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Hayati Edward Moringe sokoine. Kiongozi pekee katika Tanzania ya sasa ambaye akitoa kauli ana uwezo wa kuisimamia ni DKT SLAA. Waliobaki kwa mtazamo wangu wengi wakitoa kauli, ujue nyuma ya pazia kuna maslahi binafsi mapana.

  My take:
  Tanzania bila watu aina ya Dkt Slaa itakuwa ya kwanza kwa ombaomba duniani very soon.
   
 2. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyu padri slaa kwanza anashikilia record ya usaliti alililisaliti kanisa,akamsaliti mke wake wa kwanza nawasiwasi nae hata tukimpa nchi atatusaliti
   
 3. K

  Kuntakint JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,110
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Acha kuongea pumba jaribu kuongea kama mtu aliekwepa umande. Katika maisha kuna ndoa na katika ndoa kuna kuachana. Sio lazima uchangie hata kama aistaili bora ukae kimya hakuna posho kwa kuchangia katika hili jukwaa
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Mkuu nadhani Dr. Slaa hajawahi kuoa.
  Ngoja niendelee kuangalia mpira manake Sunzu ameishafanya jambo.
   
 5. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  Na alhaji Kikwete je?
   
 6. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kila jambo lina wakati wake, wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna, wakati wa kukusanya na wakati wa kutawanya, wakati wa kulala na wakati wa kufanya kazi, Hivi sasa ni wakati wa kuokoa uchumi na maisha ya watanzania hayo mengine yana wakati wake
   
 7. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  sijawahi hata siku moja kukuona wewe mchizi ume comment point yaani kila siku unafuka pumba mbaya kuna mchizi mmoja na alikuwa anaitwa mzee siku hizi simuoni na yeye alikuwa anafuka sana pumba sana lakini naona sikuhizi amepotea kwa hiyo na wewe utafuka pumba hadi utachoka! Ukweli utakuweka huru.
   
 8. P

  Percival Salama Senior Member

  #8
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tutaendelea kuwa masikini kwa fikira za watu kama kingxvi. Badala ya kujadili masuala, anajadili maisha binafsi ya mtu. Leo tunajadili EPA, na madudu mengine tunayoyasikia kutokana na ujasiri wa Dkt Slaa. Hata Spika wa bunge la tisa alimbeza wakati akitoa hoja ya EPA, lakini Dkt Slaa hakuchoka kutetea raslimali za watanzania akaja kutujuza mwembe yanga na kila kitu kikawa kweupe. Nani katika historia ya siasa za sasa aliyethubutu kama Dkt Slaa?
   
 9. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Huyu zezeta Kingxvi ametumwa aje kuharibu mada, mwachen na tujadili mada ye2
   
 10. m

  mareche JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  we mwenyewe usha msaliti mkeo kwa kutoka nje ya ndoa ongea ta maana acha fikra potofu
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Utakuwa una chuki binafsi Mlimpa jk kawapeleka wapi?
   
 12. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,788
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  kama kawaida pumbaaaaa
   
 13. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #13
  Feb 4, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Changia mada sio kufanya personal attacks haujengi mkuu unabomoa. Unajadili mambo binafsi kwakuwa yanafahamika lakini kuna mambo mengi ya watu wengi hayafahamiki kwahiyo usishupalie tu vitu bila kutafakari.
  Narudi kwenye mada ni kweli anajitahidi sana kutetea maslahi ya taifa lakini bado mfumo wetu wa Executive,mahakama na bunge ni mbovu hakuna kuwajibika hakuna kuwajibiushwa lakini naona mwanga mbele yetu tuendelee kuelimishana tutafika.
   
 14. sheiza

  sheiza JF-Expert Member

  #14
  Feb 4, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,954
  Likes Received: 1,772
  Trophy Points: 280
  ukiona hivyo ujue huko kote haikuwa wito wake..huyu amezaliwa hapa tz kwa kazi moja tu ya kuwaokoa watanzania..na huo ndio wito wake..
   
 15. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #15
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Tanzania ya sasa hakuna kama Doctor slaa
   
 16. v

  vngenge JF-Expert Member

  #16
  Feb 4, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Dr Slaa uwezo anao na anakubalika sana tu lakini bado CHADEMA wana kazi hasa maeneo ya vijijini na mikoa ya pwani. Nafikiri hawana muda zaidi ya sasa kueneza chama huko. Kama watafanya tour kuhakikisha kila kata wanakanyaga na kunadi chama basi njia nyeupe vinginevyo matumaini madogo kwani CCM wana strong base huko. Advantage walionayo cdm ukiachilia mbali hizi crisis za ufisadi, hali mbaya ya uchumi, kudorora kwa huduma za jamii kama elimu, afya n.k wananchi wako tayari kwa mabadiliko lkn njia ipi waifuate ndio tatizo kwa kuwa wengi wao hawana taarifa sahihi nini cha kufanya na nani atabeba matumaini yao. Hata Nyerere alishawahi kusema bindamu ana tabia ya kupenda mabadiliko baada ya muda fulani, hata kiongozi uwe mzuri kiasi gani itafika mahala watakuchoka tu na kutaka mwingine. Dhana hii naona ilichangia kuzuka kwa agenda ya kujivua gamba ndani ya chama tawala angalau kionekane kina mambo mapya kuvutia watu. CDM WAJIPANGE WANAWEZA LAKINI WANA KAZI YA KUFANYA NA MUDA NDIO HUU.
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
   
 18. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #18
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Rozi Kamili, Mbunge wa viti maalum Chadema ni Mke wake, labda kama huna taarifa. Alifanya asaliti ndoa yake ni Josephine Mshumbuzi. Sheria inasema ukishaishi na mke au mme zaidi ya miezi sita hiyo ni ndoa halali, so KAMILI ni mke wake na kamsaliti kweli.
   
 19. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #19
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
   
 20. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #20
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,319
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  Ukweli huo wa Dr kuwa na uwezo mkubwa wa kiuongozi haupingiki. Mungu amlinde,amtunze na amfikishe salama ktk uchaguzi wa 2015 salama.

  Dr Slaa kila la heri, nakutakia afya njema kuelekea kwenye ukombozi wa nchi ya Tz.
   
Loading...