Dr. Saa ni kiongozi pekee aliye kwenye active politics anayeumwa na umaskini wa watanzania

huyu padri slaa kwanza anashikilia record ya usaliti alililisaliti kanisa,akamsaliti mke wake wa kwanza nawasiwasi nae hata tukimpa nchi atatusaliti

Lazima unaliwa kama alivyosema Mwenyekiti wenu maana hizi ni akili za Membe na Faiza Foxy
 
DR. peter..the man of people's hearts..the real tanzanians best friend..
 
Pia amekisaliti/amekiasi chama chake cha CCM

Hivi ccm nalo ni chama? Mimi naiona kuwa ni genge la wahuni,waizi,mafisadi,wala rushwa,wauaji (ccm mlimua MASOUD Igunga).......n.k nashukuru Dr Slaa aliwatambua genge hilo mapema akawaasi.
 
Nampenda DR SLAA RAIS MAKINI MTU MAKINI NATAMANI UWE RAISI.NAKUMBUKA MAMA YANGU ALIWAHI NIAMBIA MWANANGU NCHI YETU NI NCHI YA AHADI LAKINI BADO HAIJAPATA MZALENDO NA AKANIAMBIA ALITAMANI NYERERE AISHI MILELE. BALI ALISEMA MUNGU ANAIPENDA TANZANIA NA SIKU MOJA ITAPATA MZALENDO HAKIKA MAMA ALIONA MBALI. TUACHE USHABIKI WATANZANIA TANZANIA INAUTAJIRI MKUBWA BALI WATU WANAISHI KATIAKA HALI NGUMU.MFANO HAPA ARUSHA KUNA DADA KILA INAPOFIKA SAA MBILI USIKU HUWA ANAKUJA GETONI KWANGU TUNAKULA PAMOJA KWA KUWA MAISHA ANAYOISHI ANASEMA NI MAGUMU AJABU MH! INAUMA XANA. WATANZANIA WENZANGU TUWE WATU WA KUFIKIRI KWA KUWA KILA KOSA MOJA LINATUGHARIMU XANA MFANO KAMA TUNGEKUWA NA UONGOZI BORA TANGU TUPATE UHURU BAADA YA NYERERE LEO TUNGEKUWA MBALI XANA KIMAENDELEO ONA LEO HAKUNA AJIRA, VIONGOZI WANAJIPENDA WAO NA KUJILIMBIKIZIA MALI, UFISADI,SHERIA KUWA CHINI YA WENYE PESA, TANZANIA YA PILI KUNYANYASA WAZEE DUNIANI OOH AIBU,ELIMU KUDHOROTA,MIKATABA MIBOVU, HUDUMA ZA AFYA MBAYA, MZAWA KUDHARAULIKA NA WAGENI,NJAA. WATANZANIA
 
Aise,yani umemtukana babako na soon lazima mamako male talaka yake.Yani Slaa kumbe ndio ni babako lol?
 
Waseme wanachosema il Dr anawanyima usingiza watu wengi CCM, kuanzia wanaoutamani urais na wanaohofia chama chao kufa. Walikuwa wameanza kulala lakini huu moto alioanza nao Kahama umefanya watu wengi CCM kumeza dawa mara kwa mara. Wauza madawa ya presha wanasema yananunuliwa kwa kasi kubwa Dodoma..
 
Aise,yani umemtukana babako na soon lazima mamako male talaka yake.Yani Slaa kumbe ndio ni babako lol?

Mlifikiri huu ndio ukuta wa CDM. Sasa iko ng'ambo ya hii fensi mliotegesha!
na ZZK ni nani hasa? Na yeye akifa ataoza tuu! kwanini afanyie chama blandas then tumvumilie kisa "umaarufum"?
 
Nampenda DR SLAA RAIS MAKINI MTU MAKINI NATAMANI UWE RAISI.NAKUMBUKA MAMA YANGU ALIWAHI NIAMBIA MWANANGU NCHI YETU NI NCHI YA AHADI LAKINI BADO HAIJAPATA MZALENDO NA AKANIAMBIA ALITAMANI NYERERE AISHI MILELE. BALI ALISEMA MUNGU ANAIPENDA TANZANIA NA SIKU MOJA ITAPATA MZALENDO HAKIKA MAMA ALIONA MBALI. TUACHE USHABIKI WATANZANIA TANZANIA INAUTAJIRI MKUBWA BALI WATU WANAISHI KATIAKA HALI NGUMU.MFANO HAPA ARUSHA KUNA DADA KILA INAPOFIKA SAA MBILI USIKU HUWA ANAKUJA GETONI KWANGU TUNAKULA PAMOJA KWA KUWA MAISHA ANAYOISHI ANASEMA NI MAGUMU AJABU MH! INAUMA XANA. WATANZANIA WENZANGU TUWE WATU WA KUFIKIRI KWA KUWA KILA KOSA MOJA LINATUGHARIMU XANA MFANO KAMA TUNGEKUWA NA UONGOZI BORA TANGU TUPATE UHURU BAADA YA NYERERE LEO TUNGEKUWA MBALI XANA KIMAENDELEO ONA LEO HAKUNA AJIRA, VIONGOZI WANAJIPENDA WAO NA KUJILIMBIKIZIA MALI, UFISADI,SHERIA KUWA CHINI YA WENYE PESA, TANZANIA YA PILI KUNYANYASA WAZEE DUNIANI OOH AIBU,ELIMU KUDHOROTA,MIKATABA MIBOVU, HUDUMA ZA AFYA MBAYA, MZAWA KUDHARAULIKA NA WAGENI,NJAA. WATANZANIA

acha ujinga ww! Watz hatutaki na hatuna shida na rais ambaye atajipangia mshahara.
 
Kama mtu kaukumbia upadre kaona haulipi ww kwa akiri zako fupi unahisi kwenye siasa kafuata nini? Kama ni kuwatumikia watu ipasavyo ni kanisani.
 
Nampenda DR SLAA RAIS MAKINI MTU MAKINI NATAMANI UWE RAISI.NAKUMBUKA MAMA YANGU ALIWAHI NIAMBIA MWANANGU NCHI YETU NI NCHI YA AHADI LAKINI BADO HAIJAPATA MZALENDO NA AKANIAMBIA ALITAMANI NYERERE AISHI MILELE. BALI ALISEMA MUNGU ANAIPENDA TANZANIA NA SIKU MOJA ITAPATA MZALENDO HAKIKA MAMA ALIONA MBALI. TUACHE USHABIKI WATANZANIA TANZANIA INAUTAJIRI MKUBWA BALI WATU WANAISHI KATIAKA HALI NGUMU.MFANO HAPA ARUSHA KUNA DADA KILA INAPOFIKA SAA MBILI USIKU HUWA ANAKUJA GETONI KWANGU TUNAKULA PAMOJA KWA KUWA MAISHA ANAYOISHI ANASEMA NI MAGUMU AJABU MH! INAUMA XANA. WATANZANIA WENZANGU TUWE WATU WA KUFIKIRI KWA KUWA KILA KOSA MOJA LINATUGHARIMU XANA MFANO KAMA TUNGEKUWA NA UONGOZI BORA TANGU TUPATE UHURU BAADA YA NYERERE LEO TUNGEKUWA MBALI XANA KIMAENDELEO ONA LEO HAKUNA AJIRA, VIONGOZI WANAJIPENDA WAO NA KUJILIMBIKIZIA MALI, UFISADI,SHERIA KUWA CHINI YA WENYE PESA, TANZANIA YA PILI KUNYANYASA WAZEE DUNIANI OOH AIBU,ELIMU KUDHOROTA,MIKATABA MIBOVU, HUDUMA ZA AFYA MBAYA, MZAWA KUDHARAULIKA NA WAGENI,NJAA. WATANZANIA
Hizi ni pombe za kienyeji ama bangi?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom