Dr. Saa ni kiongozi pekee aliye kwenye active politics anayeumwa na umaskini wa watanzania

, kawaambie watu wengi uwezavyo, 2015 inakaribia sana,kwa pamoja tunaweza kuifanya ndoto yako iwe kweli.
 
Kama mtu kaukumbia upadre kaona haulipi ww kwa akiri zako fupi unahisi kwenye siasa kafuata nini? Kama ni kuwatumikia watu ipasavyo ni kanisani.

Baba wa taifa alikuwa mwalimu by professional, lkn ndiye aliyeleta Uhuru wa nchi hii hapo utajiteteaje? think don't sink.
 
Nna heshimu elimu yangu,
lakini nnasikiliza moyo wangu pia,
God bless CDM,
 
Nampenda DR SLAA RAIS MAKINI MTU MAKINI NATAMANI UWE RAISI.NAKUMBUKA MAMA YANGU ALIWAHI NIAMBIA MWANANGU NCHI YETU NI NCHI YA AHADI LAKINI BADO HAIJAPATA MZALENDO NA AKANIAMBIA ALITAMANI NYERERE AISHI MILELE. BALI ALISEMA MUNGU ANAIPENDA TANZANIA NA SIKU MOJA ITAPATA MZALENDO HAKIKA MAMA ALIONA MBALI. TUACHE USHABIKI WATANZANIA TANZANIA INAUTAJIRI MKUBWA BALI WATU WANAISHI KATIAKA HALI NGUMU.MFANO HAPA ARUSHA KUNA DADA KILA INAPOFIKA SAA MBILI USIKU HUWA ANAKUJA GETONI KWANGU TUNAKULA PAMOJA KWA KUWA MAISHA ANAYOISHI ANASEMA NI MAGUMU AJABU MH! INAUMA XANA. WATANZANIA WENZANGU TUWE WATU WA KUFIKIRI KWA KUWA KILA KOSA MOJA LINATUGHARIMU XANA MFANO KAMA TUNGEKUWA NA UONGOZI BORA TANGU TUPATE UHURU BAADA YA NYERERE LEO TUNGEKUWA MBALI XANA KIMAENDELEO ONA LEO HAKUNA AJIRA, VIONGOZI WANAJIPENDA WAO NA KUJILIMBIKIZIA MALI, UFISADI,SHERIA KUWA CHINI YA WENYE PESA, TANZANIA YA PILI KUNYANYASA WAZEE DUNIANI OOH AIBU,ELIMU KUDHOROTA,MIKATABA MIBOVU, HUDUMA ZA AFYA MBAYA, MZAWA KUDHARAULIKA NA WAGENI,NJAA. WATANZANIA

Kama unapenda mwizi wa mke wa mtu we utakuwa na laana, hivi ujui DR. SLAA ALIASI KANISA? HUJUI KUWA SLAA AMELAANIWA KWA KUTELEKEZA MKE NA WATOTO NA YEYE KWENDA KUISHI NA MKE WA MAHIMBO ( BI JOSEPHINE ) na kisha kumzalisha mtoto? na alaaniwe SLAA maana anawanagamiza watu kwa kukosa maarifa.
 
Kamanda mbona hauelewiki mara unamuita rais mara unatamani awe rais, ukweli utabaki Dr.Slaa ataendelea kuwa rais kivuli tu.
 
Imeandikwa na Daniel E Daniel


dk Slaa umelisaidia sanataifa.mapambano yako dhidi yaudhalimu wa CCM na ufisadi. Utakumbukwa na kuenziwa daima. Dk Slaa utabaki kuwa hazina Tanzania na Afrika kwa ujumla..

Katika miaka ya 2000's ni kwa mara ya kwanza nilikuwa nikipata hoja murua kutoka kwa wanasiasa makini wa upinzani watatu, nao ni dk Slaa, Zitto Kabwe na RashidHhamadi. Katika kipindi hicho serikali ya CCM ilishikwa pabaya sana katika uendeshaji wake ambapo kashifa nyingi za ufisadi kama kashifa ya Richmond, Kagoda,EPA,Buzwagi ,Kashfa ya BOT nk.


Kashifa hizi ziliibuliwa kwa kiasikikubwa na Dk Slaa,Hamad Rashid kamakiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungenina Zitto Kabwe.Katika Mapambano hayo ya kutafuta Tanzaniayenye neema,yenye usawa, uwajibikaji,uwazi,ukweli na kujenga Tanzania yenyemaziwa na asali kwa kuwapoka wakoloniweusi yaani Ccm na leo wanajiita Magambawapambanaji hawa walionesha ujasiri nauimara mkubwa sana.Cha kusikitisha ni kwamba wapambanaji hawawawili wakakakubali kuwa mateka waccm.Wakaamua kushusha silaa chini kablahawajafika katika uwanja wa Mapambano iliTanzania yenye asali na maziwa ipatikane.

Wawili hawa ni Zitto Kabwe na Hamad Rashidhuku Dk Slaa akiendelea kuwa katikamuelekeo ule ule wa Mapambano dhidi yaccm.Zitto Kabwe akaacha kushiriki operation zachadema kwa hoja kwamba yeye yupo kitaifazaidi.Kwamba yeye yupo bizze sana nashughuli za bunge hasa katika kamati yake ileiliyofutwa POAC.Hapo Zitto aliungana namakamanda wa chadema kwenda kutoanamba za simu za Job Ndugai na AnnaMakinda Temeke.Hapo ubize wa Zittohaukuonekana bali kufungua ama kuzinduaoperation ya M4c pale Jangwani Zitto akawabize.Kwenye operation ya M4c kusini yaaniMtwara na Lindi Zitto alikuwa bize.Kwenyeoperation ya kufanya kampeni Arumerumashariki Zitto akatangaza kugombea uraiswakati kwenye kampeni hakwenda..Wabunge wengine wa chadema walipotokanje ya bunge 2010 akasema ni utovu wanidhamu.

Wabunge wa chadema walipomlindana kupambana na udhalilishaji wa msemajiwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni AikaelMbowe Freeman Zitto akasema hakwendabungeni kupigana.Wapambanaji wenzakewanaungana pale Jangwani kupambanakutetea katiba mpya kwa vyama vitatukuunganisha nguvu Zitto anasema yuko bizena shughuli za bunge..Zitto kwa ujumla wake amepoteza sifa zakuwa mpambanaji. Ameshindwa kabisa kuwamsaada kwa wanyonge. Amekuwa mtu wakutupa makombora kwa mbowe kwambaanapewa pesa na Nimrod Mkono wakati sikweli na Mkono alikiri kumpa Zitto magari 2na siyo Mbowe. Kila analofanya ni kwa ajili yakuomba huruma ya watanzania.

Rashid Hamad yeye pia amekuwa akiungamkono ccm.Amekuwa akifanya kwa vitendona kwa siri ama wazi.Ukweli wake ni palealipoungana na ccm kwenye bunge maalum lakatiba kuhubiri serikali 2 na kutukana UKAWAhuku akijua anasaliti kabisa nafsi.Hii ni hatarisana.Dk Slaa mwenyewe amekuwa mwiba mzitokwa ccm na ufisadi.Ameendelea kuaminiwana watanzania.Amekataa katakata kuchezangoma za ccm.Amekataa kuwa sehemu yawahujumu uchumi na mafisadi.Amekubalikuwa na maisha ya kawaida kuliko kupokeamamilioni kama siyo mabilioni kutoka kwaccm.Amekuwa akipambana kwa udi nauvumba dhidi ya ufisadi, uonevu,manyanyaso, DHULUMA,hujuma na kulindarasilimali za taifa.

Ameendeleza kujengachama na sasa UKAWA,Ameendelezakuzungukia sehemu nyingi za Tanzaniakuhubiri UKOMBOZI WA PILI.Ametishwamaisha,kuwindwa na kutukanwa,amekuwajasiri na kuendeleza Mapambano zaidi nazaidi.Amepewa tuzo za kimataifa na mtumakini bara la Africa.Dk Slaa amekuwa ndiyeNyerere wa pili wa leo.Dk Slaa umebaki hazina pekee Tanzania katikakupigania ukombozi wa pili.Ndiye atabakikuwa kioo cha wazalendo.Zitto na Hamadwamesaliti nafsi zao,wamekubali kuwamateka.

Dk Slaa mungu akupe afya njema zaidiukishirikiana na wapiganaji wengineakina Julius Mtatiro,James Mbatia,Prof Lipumba, John Mnyika David Kafulila,Mchungaji Mtikira, Maarim Seif, Machali, Tundu Lissu, Freeman Mbowe



NK.danielezekiel69990@gmail.com
 
Pyuuu!
Kama bata kanya.
kachukue posho yako kwa Yeriko Nyerere.
 
  • Thanks
Reactions: gsu
Yaani watu wanaweza kumtukana huyu mzee wanavyotaka/....lakini ni kiongozi wa kuigwa mfano...he is an excellent leader.....Mtiifu na mnyofu.....Nimejikuta naikumbuka hii Speech ya Dr slaa


Mr. President, the faculty, staff, students, invited guests and the public at large. Allow me to express my gratitude, for the cordial welcome at your lovely campus. It is one of a kind, and If I could, I would have stayed much longer to learn more on your success that I could take back to our young people. The environment and the surroundings are as beautiful as the people themselves. Along the way, I have met great people with great hearts, and I thank you for that.

Likewise, receive greetings from the people of Tanzania. I was quite impressed with your level of research, and the homework you have done trying to know Tanzania, I was also particularly touched by some of you in the audience that knew the geography of my country; and even trying to challenge me . Mrs. Macquire, "People of Mto wa Mbu" are definitely proud of you for being such a good Ambassador. We thank you, and Tanzania needs more of you that will help in exposing it to the people of America.

The Samford community, my journey has been long and tedious; I have travelled through hills and valleys of trials and tribulations. However, due to the need and challenges we face as a nation, physical fatigue of travel would not stop me from marching forward. I am determined to work with my countrymen to see our nation of Tanzania reach the Promised Land.

Tanzania is a great and rich country, with rich culture and rich people at heart. Her people have sent me on a study tour. They have sent me to learn the secrets of your success as a society

Tanzania is one of the most blessed countries on the face of the earth. It has abundance of natural wealth, and for those who understand the world history, know that the best game parks are in Tanzania. It is the place believed to be the cradle of mankind.

Tanzania is the home of Mt. Kilimanjaro, Serengeti national park, Ngorongoro crater, and Olduvai Gorge where the first man is believed to have lived. We have some of the world best beaches; our people are very hospitable and extremely welcoming. I welcome all of you to Tanzania

For a long time, Africa has been known as a dark continent infested with disease, poverty, starvation, illiteracy and never endings wars. This might have been created in your minds with the images in your televisions. I can't blame you, because this is the truth you know

However, this is far from the reality. Africa and Tanzania in particular is the new frontier. Tanzania is a country rich in natural resources and only lacks human capital. It is a country with rich land and plenty of water bodies
Many African leaders are believed to come to Washington and other western capitals begging for handouts known as foreign aid. This has created a notion in the minds of many that Africans are poor and lazy.

This is not the case.

Africa is transitioning from mismanagement, dictatorship and corruption that have plagued the continent. Corruption is the main vice depriving Tanzanians and other Africans a chance to a better education, better healthcare and economic prosperity.

Well, I am not here to beg, because my country is rich. I know clearly well that, foreign aid does not come cheaply. It comes with a condition of signing up our sovereignty

I am not here for foreign aid, and CHADEMA party which I represent does not believe on foreign AID. This is my party's philosophy, and any sane human being would not want to live off handouts, or going around begging because foreign aid is only needed as short term relief for countries coming out of calamities. Rwanda needed help to so it could emerge out of the ruins of genocide. Once it did, it became less interested on the foreign aid now a success economic story in Africa

Foreign aid is a form of slavery which creates a false sense of entitlement. It confines a beggar into a psychological and mental prison of his own creation, becoming incapable to make any meaningful decision of his own. He does not think on how to get out of his difficulties as long as he knows that, someone somewhere will help him.

CHADEMA party believes that all too often, foreign aid creates dependency by the receiving country onto the giving country and winds up in the pockets of corrupt rulers.

Foreign aid money are your taxes, your sweat which should work for your benefit not for people sitting on their wealth. More important than your dollars, are your brain trust, investments and technological advantage. This is what we need to utilize our resources and also in planning for years beyond our non-renewable resources

Our country rich in resources is being exploited by foreign entities, while our President is busy trotting the world begging for mosquito nets. With our resources, we can make our own mosquito nets without them being donated to us. Chadema party which I represent is poised to changed that, and the most important tool we need is the development of human capital

We need our resources to benefit our people. We need to create jobs for our people, we need to improve our health care, we need to improve our education, our infrastructures, communication and economy as a whole. And this is only possible if can with the wealth that we have all we need is better education for our people

We are currently having inequitable trade, where far eastern countries are exporting their poor populations to compete for jobs with our citizens. They are even exporting to us their prisoners to work on our roads yet millions of our young men have no jobs. This is not possible in any civilize society, unfortunately, because our rulers have signed contacts shrouded in secrecy whose contents are only known to them

Some of these individuals have turn to insult us as a nation. They are now interfering on our sovereignty, publicly aligning themselves with political parties. A whole ambassador standing on a political platform to address a political rally, and has ignored the public call for him to leave the country!

This is not the kind of trade we are looking for. We are looking for partners that will work with us to develop our resources in order to benefit our people; Partners that will bring to our country new skills, and also create jobs for our graduates. We need your expertise so we can turn our country into a bread basket of Africa. America is the world's land of milk and honey where everyone wants to be, that's the model we want to learn from

Well, we have come to realize, that if you feed us today with your milk and honey, our meals for tomorrow may not be guaranteed. We instead want to know how you made your country into a land of milk and honey so we can be able to feed ourselves for unforeseeable future and also feed the rest of the world. We have the potential but lack the expertise, and the know how is what we need

Tanzania is not an island; it is part of the global community where all humans have the liberty to visit whenever they want. Our boarders are open for all, as long as our laws and culture are respected. All we need is trade partnership that will guarantee fifty-fifty trade, in which the country benefits equally with the investor.

The younger American generation, I am inviting you to visit Tanzania; I am talking to you as the investors of tomorrow. Come and explore the endless possibilities my country has for you. We need investors that will bring into our country, a set of skills and creativity to turn our hardwood into high quality, made in Tanzania products, as opposed to bringing cheap furniture made of plywood while hauling away our valuable timber

Chadema party believes on the free market economic philosophy in which individual creativity is rewarded. We need your partnership in fostering individual innovation within our people. We don't need your tax money; neither do we need your mosquito net donations, we need your skills.

We don't need shoe boxes, we need to know how to make our own shoes. We need your technological know how
CHADEMA party's priority number one is education! Priority number two is education and so is the priority number three.

We believe on education to be the only way for Tanzania to rise from the abject poverty it is in today. We have no alternative but train our young people who will in turn, employ their intellectual creativity into full practice to enable Tanzania become an economic giant in a continent long forgotten

Samford is one of the American's finest educational institutions. It is producing some of the world finest, from school teachers to the finest lawyers. It is my hope that we see your institution open its doors to our support and in preparing Tanzania's aspiring scientists, teachers, and accountants to become innovators.

In our effort to make our country a unique success story, I am challenging you the young people to go out to the world, and open new trails for others to follow. Tanzania has its doors open for you.

Thank you all for listening.

 
Ni kweli kabisa, yaani kutoka ndani ya moyo wangu bila fitina yoyote, Dr. Slaa anastahili baraka za pekee Nchi hii baada ya Mwl. Nyerere, mfano tangu ametoka Bungeni hajatokea Mbunge makini wa kariba yake!

Mungu Baba wa Mbinguni nakuomba umjalie afya na mafanikio Dr.Slaa!
 
Ni kweli kabisa, kama tusipomtumia DR.Slaa muda huu basi tutajilaumu wenyewe!! Miaka hii 10 tumeipoteza bure hakuna chochote tulichokipata cha kujivunia tangu utawala wa awamu ya nne ulivyoingia madarakani kwa mbwembwe!! Tunashuhudia mapigano ya wakulima na wafugaji, migogoro ya ardhi isiyo na kikomo, Ubadhilifu wa fedha za umma wa waziwazi bila hata kificho, Hali ngumu ya wafanyakazi hasa wa sekta ya Elimu na Afya nk.

Hawa watu waliotufikisha hapa kuwapa tena miaka mingine 5 itakuwa ni kujitafutia matatizo mengine zaidi, watanzania tuwe waangalifu sana. DR. Slaa pamoja ya timu yake wanaweza kutusaidia kutuvusha kwenye hili dimbwi la umaskini - kichachotakiwa ni karama ya UONGOZI BORA ambayo amepewa na mwenyezi Mungu.
 
Maoni mujarabu. Ingawa yanahitaji clarifications sehemu chache.

Tangu ilipotangazwa vita dhidi ya ufisadi Mwembeyanga Septemba 15, 2007 Katibu Mkuu Dkt. Slaa akiongoza mashambulizi, mambo hayajawahi kuwa sawa tena kwa CCM.

Mwembeyanga will go down in the memory lane as one of the turning points ambapo ulikuwa ni ujasiri wa kujitoa mhanga kwa ajili ya hatma ya taifa hili na vizazi vingi vijavyo!

Ufisadi mwingine wote, wote kabisa unaosikika leo nchini uko rounded up na List of Shame iliyosomwa siku hiyo pamoja na ushahidi uliotolewa.

Another turning point ni uchaguzi Mkuu 2010...Dkt. Slaa in collaboration and support of some other dedicated people in the struggle, ndani na nje ya CHADEMA, wakazidi kupigilia msumari kweny jeneza la CCM.

No wonder Kinana anamuogopa Dkt. Slaa kama anavyoogopa mvua ya mawe!
 
Back
Top Bottom