Dr. Ryoba bado unajipanga TBC?

Dr Rioba ameandika makala nyingi sana kuhusu vyombo vya habari, KAPELEKWA TBC kimyaaaaa, anapokea maelekezo ya lumumba, hahahaaaaaa
 
Naamini Watanzania wengi hawaridhishwi na utangazaji wa TBC, na baadhi yetu tuliposikia kuwa Dr Ayoub Ryoba ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika hili tukafufua matumaini yetu kwa chombo hiki. Sasa ni muda umepita...je Dr Ryoba bado unajipanga?

Ningependa kuona TBC (hasa televisheni) inakuwa ya kisasa, vipindi vya kusisimua, watangazaji walio makini na kuvutia watazamaji; kushirikisha watazamaji kwa njia ya mtandao wa kijamii wakati wa habari; kuita wataalam au vyanzo vya habari studio wakati wa habari muhimu; kuwa na usikivu mzuri wa sauti; picha kutokwama kwama na kumuacha mtangazaji au msomaji akiwa anatahayari peke yake...

Ikiwezekana studio na au watangazaji wawe na mavazi nadhifu ya kufanana (unifomu) yanayotoa taswira ya taifa letu na utamaduni wetu kiasi kwamba hata mgeni akikuta habari inatangazwa au akifungulia TBC anaweza akagundua kuwa kituo ni cha Tanzania...

Ninakusubiri kwa hamu Mwalimu Ryoba!
Haha.Baada ya kuzalisha wapiga viroba kadhaa ktk vyuo vyetu, na vipindi kibao vya uchambuzi ktk TV na huko vyuoni. Sasa kapata zawadi yake , TBC kwa muonekano wake ni wazi imeshafulia kabisa.
 
Television ya taifa haina rangi za taifa.Colour mbaya ka nini?Watangazaji hawana mvuto?Bora niangalie ITV Ina rangi za taifa na watangazaji wanaojua kazi yao.
Watakuambia ni mikakati.Hiyo ndio akili ya wajamaa. Kila kitu wakikishika kinanajisika.
 
Ryoba mtu wa theory, hawezi kuja na ubunifu kwenye vitu alivyokuwa anavisoma kwenye vitabu tu. Huwezi kumfananishi na Tido mtu anayecheza na utangazaji practically. Pia hata akiamua kuumiza kichwa kuiboresha TBC hela atapata wapi, kipaumbele kikubwa awamu hii ni barabara.
Pia hayupo free kufanya kazi Vizuri mda woote nape anamchungulia
 
Kwa uelewa Mkubwa na wa Kutukuka wa Mwalimu wangu Kipenzi Dkt. Ayub Rioba hana haja ya kukurupuka na kwa nimjuavyo sasa hivi anaandaa vitu ambavyo nina uhakika akiviwasilisha kwa Wafanyakazi wa TBC Redio na Tv Wengi wenu mtaacha rasmi kutizama Tv zingine na kusikiliza Redio zingine na muda wote mtakuwa glued TBC. Sina shaka na Mwalimu wangu na kitendo cha Rais Magufuli kumteua Rioba ni sawa sawa na Rais wa FIFA kumkabidhi TUZO ya World Best Footballer of the year Lionel Messi ( kifupi kipele kimempata mkunaji ). Dkt. Rioba achana na hawa Wanafiki tumia UELEDI wako.
Ryoba aliwahi. kufanya kazi tv na radio gani?
Ana ujuzi/uzoefu gani kwenye uendeshaji WA vyombo hivi zaidi ya kuandika makala magazetini?
Wamemtwisha gunia la misumari
 
TBC ni km imefulia vibaya sijui hata km ina mitambo tena, ving`amuzi vinaficha siri sana. kaenda ishikia CCM aibu, km malipo ya kazi aliyowatumikia.
 
Nakumuonyesha Mwenyekiti wa ccm akifungua TAWI la chama...nawasikitia sana watu wanaoamini mabadiliko chini ya watu waliosababisha Anguko....wanaosema RIOBA apewe muda wanatudharau sana!,,,,,Jamaa yuko kwenye Fani....siku nyingi...hakuna asichojua kuhusu mambo ya MEDIA so ukweli nikwamba hakuna cha muda wala nini ameshashindwa kwani TIDO ilimchukua muda gani kuibadilisha TBC

Nimesikia wana mpango wa kuonesha Mazishi live kama kile kipindi cha chereko.
 
Ni kweli mkuu hii kasumba ipo na imekuwa Sugu zaidi, lakini Ryoba anapaswa atambue kuwa TBC ilipaswa iwe mfano wa kuigwa na TV zingine afanye awezavyo hata kama anataka maisha mazuri lakini kwanza aonyeshe ubunifu mkubwa kama alivyokuwa kaanza Tido aendeleze pale pawe bora zaidi na zaidi .

Mkuu,
Inawezekana ana malengo na nia ya kufanya TBC kuwa na ubora na ufanisi.
TBC sasa imekuwa Kama ilivyokuwa TVT miaka ya 1999.
Aje na mpango kazi ambao kila mfanyakazi wa TBC atakuwa ana wajibu wa kuutekeleza.
 
Naamini Watanzania wengi hawaridhishwi na utangazaji wa TBC, na baadhi yetu tuliposikia kuwa Dr Ayoub Ryoba ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika hili tukafufua matumaini yetu kwa chombo hiki. Sasa ni muda umepita...je Dr Ryoba bado unajipanga?

Ningependa kuona TBC (hasa televisheni) inakuwa ya kisasa, vipindi vya kusisimua, watangazaji walio makini na kuvutia watazamaji; kushirikisha watazamaji kwa njia ya mtandao wa kijamii wakati wa habari; kuita wataalam au vyanzo vya habari studio wakati wa habari muhimu; kuwa na usikivu mzuri wa sauti; picha kutokwama kwama na kumuacha mtangazaji au msomaji akiwa anatahayari peke yake...

Ikiwezekana studio na au watangazaji wawe na mavazi nadhifu ya kufanana (unifomu) yanayotoa taswira ya taifa letu na utamaduni wetu kiasi kwamba hata mgeni akikuta habari inatangazwa au akifungulia TBC anaweza akagundua kuwa kituo ni cha Tanzania...

Ninakusubiri kwa hamu Mwalimu Ryoba!
Hayo atayafanje bila bisa?
 
Anaweza akawa na malengo ya kuboresha lakini ccm watakubali?maana hata Tido Mhando aliondolewa kwa sababu ya kuona mbali ccm hawpendi mtu mwenye maono yenye faida kwa Watz bali chama kwanza
 
2016/ 2017 Bajeti, Wizara nzima imepewa Billion 20, msitegemee makubwa hapo, labda miaka ijayo ..!!

Kwanza huenda nia yao TBC isionekane kabisa mpaka kipind cha kampeni 2020, sidhan kama kuna nia ya dhati kuiboresha..!!
 
Kwa uelewa Mkubwa na wa Kutukuka wa Mwalimu wangu Kipenzi Dkt. Ayub Rioba hana haja ya kukurupuka na kwa nimjuavyo sasa hivi anaandaa vitu ambavyo nina uhakika akiviwasilisha kwa Wafanyakazi wa TBC Redio na Tv Wengi wenu mtaacha rasmi kutizama Tv zingine na kusikiliza Redio zingine na muda wote mtakuwa glued TBC. Sina shaka na Mwalimu wangu na kitendo cha Rais Magufuli kumteua Rioba ni sawa sawa na Rais wa FIFA kumkabidhi TUZO ya World Best Footballer of the year Lionel Messi ( kifupi kipele kimempata mkunaji ). Dkt. Rioba achana na hawa Wanafiki tumia UELEDI wako.

wenye akili zetu tumekuelewa!
Umepigia mstari hoja ya mleta uzi. Utakuwa umesoma literature!
 
Naamini Watanzania wengi hawaridhishwi na utangazaji wa TBC, na baadhi yetu tuliposikia kuwa Dr Ayoub Ryoba ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika hili tukafufua matumaini yetu kwa chombo hiki. Sasa ni muda umepita...je Dr Ryoba bado unajipanga?

Ningependa kuona TBC (hasa televisheni) inakuwa ya kisasa, vipindi vya kusisimua, watangazaji walio makini na kuvutia watazamaji; kushirikisha watazamaji kwa njia ya mtandao wa kijamii wakati wa habari; kuita wataalam au vyanzo vya habari studio wakati wa habari muhimu; kuwa na usikivu mzuri wa sauti; picha kutokwama kwama na kumuacha mtangazaji au msomaji akiwa anatahayari peke yake...

Ikiwezekana studio na au watangazaji wawe na mavazi nadhifu ya kufanana (unifomu) yanayotoa taswira ya taifa letu na utamaduni wetu kiasi kwamba hata mgeni akikuta habari inatangazwa au akifungulia TBC anaweza akagundua kuwa kituo ni cha Tanzania...

Ninakusubiri kwa hamu Mwalimu Ryoba!
Ryoba ameanza kunifanya nihisi vibaya.kuhusu kumwamini mtu kwa kauli zake.huku kwenye kutenda zerooo.au kwenye serikali za utawala Wa ccm .kuna kitu wananyeshwa ili washindwe kutenda vema !!!????
 
Kwa uelewa Mkubwa na wa Kutukuka wa Mwalimu wangu Kipenzi Dkt. Ayub Rioba hana haja ya kukurupuka na kwa nimjuavyo sasa hivi anaandaa vitu ambavyo nina uhakika akiviwasilisha kwa Wafanyakazi wa TBC Redio na Tv Wengi wenu mtaacha rasmi kutizama Tv zingine na kusikiliza Redio zingine na muda wote mtakuwa glued TBC. Sina shaka na Mwalimu wangu na kitendo cha Rais Magufuli kumteua Rioba ni sawa sawa na Rais wa FIFA kumkabidhi TUZO ya World Best Footballer of the year Lionel Messi ( kifupi kipele kimempata mkunaji ). Dkt. Rioba achana na hawa Wanafiki tumia UELEDI wako.
Afadhali umemkumbusha Ryoba awachane na wanafiki atumie ueledi wake .
 
Ryoba aliwahi. kufanya kazi tv na radio gani?
Ana ujuzi/uzoefu gani kwenye uendeshaji WA vyombo hivi zaidi ya kuandika makala magazetini?
Wamemtwisha gunia la misumari

CV ya Dkt Rioba haijulikani tu hapa Tanzania bali Dunia nzima inamtambua halafu ni jambo la kusikitisha sana Mtu kama Wewe hujui CV ya KUTUKUKA katika Masuala ya Uandishi wa Habari na Utangazaji ya Dkt Rioba na hapa umeonyesha ni jinsi gani ulivyo " mtupu " katika Mbichwa wako huo. Dkt Rioba anafanya amefanya na anafanya zaidi ya hayo uliyoyasema hapo. Kwa ufafanuzi tu zaidi Watafute MANGULI wa Tasnia hii wakupe Wasifu wa KUTUKUKA wa Dkt Ayub Rioba. Huyu Jamaa ( Dkt Rioba ) ndiyo Lionel Messi wa Media hapa Tanzania. Wasemeni wote ila kwa huyu TUTAKESHA kwa " Ligi " humu halafu hata leo nimekaa katika mood ya " ligi ligi " ( kubishana ) tu.
 
Kwa uelewa Mkubwa na wa Kutukuka wa Mwalimu wangu Kipenzi Dkt. Ayub Rioba hana haja ya kukurupuka na kwa nimjuavyo sasa hivi anaandaa vitu ambavyo nina uhakika akiviwasilisha kwa Wafanyakazi wa TBC Redio na Tv Wengi wenu mtaacha rasmi kutizama Tv zingine na kusikiliza Redio zingine na muda wote mtakuwa glued TBC. Sina shaka na Mwalimu wangu na kitendo cha Rais Magufuli kumteua Rioba ni sawa sawa na Rais wa FIFA kumkabidhi TUZO ya World Best Footballer of the year Lionel Messi ( kifupi kipele kimempata mkunaji ). Dkt. Rioba achana na hawa Wanafiki tumia UELEDI wako.
Haa ha ha ha, nimecheka sana mkuu. Mwalimu wako anaweza kua mzuri sana kama usemavyo but akakwazwa na mahali anapopatumikia. Kuna watu walikua wazuri sana wakiwa UPINZANI, waliporudi ccm hawasikiki kabisa, is as if hawapo nchini na au wakisema kitu chochote kama mchango unakaa unajiuliza, ni huyu huyu au kivuli chake? Hivi mwalimu wako anamzidi yule managing director wa Azam TV kweli? Yule walimtoa BBC tena ndio alikua mkuu wa idara ya Kiswahili kule; hope unajua kilicho mtokea; "Mkataba wake uliisha na hawakumwongezea" Ningekua ndio huyo mwalimu wako, ningekataa hiyo nafasi.
 
Back
Top Bottom