Dr. Ryoba bado unajipanga TBC?

Tatizo chama hakimtaki Tido. Ninachokiona sasa tunarudi kule tulikotoka na pengine huenda ikawa afadhal hata ya ile TVT na RTD. Nape, be creative brother unatuangusha vijana.!!
 
Mnamtafutia lawama za bure tu, hakuna kipya atakachoongeza kwenye taasis ya serikali, tena ambayo ndio mdomo wa wanasiasa na masikio ya wadanganyika. Usitegemee kitu hapo, zaidi me nasema ni kushusha hadhi ya udokta sababu hataweza kudeliver sio sababu hana weledi, laa hasha, siasa.
TBC inahitaji fedha, fedha utaambiwa hakuna, ikitaka kuegemea kwenye biashara itapigwa nyundo ya maadili na ushindani coz haina watazamaji wengi potential, haiwez ku compete na ITV, sana sana itakuwa agent tu wa Uhuru na Mzalendo pamoja na kupiga kwaya za Amani.
 
Binafsi... Dr Ryoba alipokubali uteuzi, kuna mlio fulani wa tahadhari ulisumbua mzunguko wa fikra zangu. Ila bado nampa muda!
 
Viongozi wengi wakiteuliwa kushika nyadhifa huwa wanawaza...
1. Nyumba mpya ya serikali Oysterbay, Masaki
2. Gari mpya
3.Suti
4. Namna atakavyotumia cheo kunufaika na kutengeneza " connections"

Hakuna jipya, waswahili Wanasema Kama hujui uendako huwezi kupotea.
 
W
Ryoba hana uwezo wowote na si mbunifu...ni mzigo mwingne serikalini..time will tell...tazama wafanyakazi wa TBC walivyochoka...hanyooshi hadi nguo zao...ni zilezile...wanyakazi wa TBC wanatia huruma sana...hawana hata uwezo wa kununua ngua mahali kama milimani city au boutique za nguvu kama mariedo..nk...wanasagula ilaila, karume, manzese au kariakoo maduka ya wakinga na wachaga...Ryoba kuwa mbunifu kama Tido...
We jidanganye tu..kufanya kazi serikalini ni mpaka uwe uko ndio utaelewa.
 
Ryoba hana maamuzi zaidi ya Nape. Alikuwa na "shombo" la wanafunzi leo ametoka kwenye "shombo" hawezi kuenenda na kinyume cha kuhatarisha keki/piza yake! Wasikushinikize, fanya what is within the interests of your bosses!
Ni kweli mkuu Nape jicho lake lote lipo hapo hapo TBC hata bajeti yake kubwa pesa za kupiga atapitishia humohumo mfano pesa ya Live huliwa juu kwa juu haifiki TBC hivyo itabidi Ryoba ajipange sana kuweza kumdhibiti Nape asimwingilie ingilie.
 
Ryoba hana uwezo wowote na si mbunifu...ni mzigo mwingne serikalini..time will tell...tazama wafanyakazi wa TBC walivyochoka...hanyooshi hadi nguo zao...ni zilezile...wanyakazi wa TBC wanatia huruma sana...hawana hata uwezo wa kununua ngua mahali kama milimani city au boutique za nguvu kama mariedo..nk...wanasagula ilaila, karume, manzese au kariakoo maduka ya wakinga na wachaga...Ryoba kuwa mbunifu kama Tido...
Matumizi ya wafanyakazi wa TBC yana uhusiano gani na mkurugenzi mpya? Mwisho utatwambia wanakula muhogo badala ya kula pizza.
 
Viongozi wengi wakiteuliwa kushika nyadhifa huwa wanawaza...
1. Nyumba mpya ya serikali Oysterbay, Masaki
2. Gari mpya
3.Suti
4. Namna atakavyotumia cheo kunufaika na kutengeneza " connections"

Hakuna jipya, waswahili Wanasema Kama hujui uendako huwezi kupotea.
Ni kweli mkuu hii kasumba ipo na imekuwa Sugu zaidi, lakini Ryoba anapaswa atambue kuwa TBC ilipaswa iwe mfano wa kuigwa na TV zingine afanye awezavyo hata kama anataka maisha mazuri lakini kwanza aonyeshe ubunifu mkubwa kama alivyokuwa kaanza Tido aendeleze pale pawe bora zaidi na zaidi .
 
Hawezi kufanya cha ajabu.
TV ile inadhibitiwa na nape.
Hili ndilo tatizo kubwa zaidi na ndicho kikwazo kikubwa kwake hayupo free kabsa, Nape mda woote anamchunguza na kumkalia kooni hana pa kupumulia hana uwezo wa kuboresha chochote endapo kama Nape hapati 10% kwenye Tenda ya huo uborejashi.
 
Ryoba jipange Vizuri kisha omba nafasi uende ikulu kaonane na Rais mwelezee mapungufu na changamoto zote kwa ufasaha yeye ataomba msaada kwa balozi wa Japan au China wataleta wataalam waje waiweke TBC kwenye ulimwengu wa kituo cha habari kwa kuweka vifaa vya kusasa kuandaa studio nzuri mpangilio bora wa kila kitu, kinyume na hapo akikalia apate ushauri wa Nape lazima atakwama na TBC itazidi kudidimia zaidi na zaidi na huenda ikawakosa wadhamini kabsa.
 
Mnamtafutia lawama za bure tu, hakuna kipya atakachoongeza kwenye taasis ya serikali, tena ambayo ndio mdomo wa wanasiasa na masikio ya wadanganyika. Usitegemee kitu hapo, zaidi me nasema ni kushusha hadhi ya udokta sababu hataweza kudeliver sio sababu hana weledi, laa hasha, siasa.
TBC inahitaji fedha, fedha utaambiwa hakuna, ikitaka kuegemea kwenye biashara itapigwa nyundo ya maadili na ushindani coz haina watazamaji wengi potential, haiwez ku compete na ITV, sana sana itakuwa agent tu wa Uhuru na Mzalendo pamoja na kupiga kwaya za Amani.
Nape kaikalia kooni haipumui kabsa
 
Nakumuonyesha Mwenyekiti wa ccm akifungua TAWI la chama...nawasikitia sana watu wanaoamini mabadiliko chini ya watu waliosababisha Anguko....wanaosema RIOBA apewe muda wanatudharau sana!,,,,,Jamaa yuko kwenye Fani....siku nyingi...hakuna asichojua kuhusu mambo ya MEDIA so ukweli nikwamba hakuna cha muda wala nini ameshashindwa kwani TIDO ilimchukua muda gani kuibadilisha TBC
 
TBC ni jipu....tatizo linaiva polepoleeee...ila litaiva tu na kutmbuliwa
Sikumbuki mara ya mwisho lini nime switch kuangalia TBC........ITV deserve to be national broadcasting agency.
 
Tido alipewa ushirikiano mkubwa kila kifaa alichokiomba alipewa hasa ukizingatia kuwa JK alitaka TBC iwe nzuri lakini baadae wakaja kuvuruga kila kitu, Ryoba kaikuta TBC chakavu isiyokuwa na kitu, vifaa vyote vimechoka, hawana pesa Hata pesa za wadhamini zinapitia Wizara ya habari kwanza hakuna Uhuru wa kufanya kazi mda wote Nape anamchugulia.
 
TBC ni jipu....tatizo linaiva polepoleeee...ila litaiva tu na kutmbuliwa
Sikumbuki mara ya mwisho lini nime switch kuangalia TBC........ITV deserve to be national broadcasting agency.
Ryoba hayupo free kufanya kazi Vizuri.
 
jamani njaa ndo imesababisha akubali uteuzi japokuwa hatatumia mbinu zozote kuboresha TBC zaidi ya kudidimiza TBC...
 
Ryoba mtu wa theory, hawezi kuja na ubunifu kwenye vitu alivyokuwa anavisoma kwenye vitabu tu. Huwezi kumfananishi na Tido mtu anayecheza na utangazaji practically. Pia hata akiamua kuumiza kichwa kuiboresha TBC hela atapata wapi, kipaumbele kikubwa awamu hii ni barabara.
 
Back
Top Bottom