Sijakuelewa,
Utakuja kujua siku za mbele kaka, we fata upepo na mashairi mazuri yenye kukuliwaza, issue ya ESCROW kweli ipo na ni wizi wa mchana kabisa, Muhongo kahusikaje hapo?
tuelewe nini tena? Ina maana huyo Mengi kazihonga kamati zote za uchunguzi pamoja na wajumbe wote wa kamati ya bunge iliyochambua ripoti ya uchunguzi?. You must be joking, right? Kama hivyo ndivyo basi Mengi kawahonga wabunge wote!. Au wewe ndo shabiki wa kina muhongo uayeingiza hoja dhaifu zilizopita?. Wote ni wezi kwani wamesaidia wizi kufanikiwa na tutajua tu dau lake soon. Kiburi na dharau kwa mwanadamu huwa ni mwanzo wa anguko la aibu. Wezi wetu hawa waliacha mianya ambayo watu makini wameitumia kuwa-trace kirahisi.
Let them go nao wakazionje magereza ili wakirudi waagize magereza zijengwe kama hoteli za nyota tano na yale mabasi yageuzwe boeng za business class. Nyodo zitaisha sasa.
muhongo na uprofesa wake,kapigwa KO na mfanyabiashara Reginald Mengi.
Manji jeMengi mtetezi wa wanyonge watz.alianza masilingi kumfuatafuata mengi akapote akaja lwaurens masha akampa mengi siku 14 kwa kutaja mafisadi papa.wote waliende na maji kaja muongo nae anaondoka.
Report imesimama juu ya nguzo moja kuu kwamba pesa za escrow ni za umma bila kueleza kivipi.sasa limuhongo likiweza kutengua tu hiyo,report yote chali.tuelewe nini tena? Ina maana huyo Mengi kazihonga kamati zote za uchunguzi pamoja na wajumbe wote wa kamati ya bunge iliyochambua ripoti ya uchunguzi?. You must be joking, right? Kama hivyo ndivyo basi Mengi kawahonga wabunge wote!. Au wewe ndo shabiki wa kina muhongo uayeingiza hoja dhaifu zilizopita?. Wote ni wezi kwani wamesaidia wizi kufanikiwa na tutajua tu dau lake soon. Kiburi na dharau kwa mwanadamu huwa ni mwanzo wa anguko la aibu. Wezi wetu hawa waliacha mianya ambayo watu makini wameitumia kuwa-trace kirahisi.
Let them go nao wakazionje magereza ili wakirudi waagize magereza zijengwe kama hoteli za nyota tano na yale mabasi yageuzwe boeng za business class. Nyodo zitaisha sasa.
nikikumbuka kauli za muhongo dhidi ya wa-tz siamini kama leo hii ni yeye amechafuka hivyo. Eti mitaji ya watanzania ni ya kuwekeza kwenye matunda na juice. Alijaa dharau kupitiliza mpaka akataka kutoa cv ya ole sendeka kwamba ana elimu ndogo kushinda yeye msomi!
Tumesikia mara kwa mara waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo akimlaumu IPP Chairman, Dr. Reginald Mengi kuwa anang'ang'ania vitalu vya gesi na mafuta kumilikishwa kwa wazawa kwa kuwa ni dalali. Leo katika report ya PAC bungeni, Prof. Sospeter Muhongo ametajwa kama dalali kwa kuwa ndiye yeye aliyewakutanisha Harbinder Sigh Seth na James Rugemalira katika dili ya Tanesco. Dr. Mengi atasema nini kuhusu yaliyotokea?
you are really out of topic, umepotea chaka kabisa, hapa hatuongelei ile kesi mahakamani, tunaongelea mabifu. muhongo alikuwa na bifu na mengi na mengi ameshinda. mengi alikuwa na bifu na manji na mengi alishind amabifu yao yale hata manji alipoenda kutumia waislam wa kukodi ili kupeleka vita yake na mengi kwenye dini alishindwa kwasababu kikao chote walichokuwa wakijadili walirekodiwa na sauti zilisikika na akaitoa ITV na tz nzima tuliona, hapo manji aliamua kunyosha mikono. rostam aziz alishindwa, angeweza manji?...Yani inaonekana ushabiki umekufanya hata kufatilia mwisho wa mambo ulikuaje huna ni hivi kesi ya manji na mengi manji alishinda na manji alihojiwa alipaswa alipwe na mengi manji alipoulizwa akasema mengi amlipe (sumni) sijui unaijua hiyo hela au umezaliwa tu ukamjua mengi na kumsifia tu usilete habari za kishabiki kama hujui mambo sasa jiulize kwa kiasi icho alichodai manji alipwe na mengi alikuwa anamaanisha nini.
Mengi noma kashinda kwa KO mbaya sana
nilikua hapa serena hotel na mh mengi alikua anagonganisha glass na wapambe wake wameshauangusha mbuyu mkubwa mohongo
Hahahaha jamaa hataki utani kabisaHakuna game Mengi amepata kupoteza Vs kiongozi wa serikali.
- masilingi
- malima
- masha
- polisi
- now muhongo