Dr Ramadhani Kitwana Dau aula tena ISSA

Dr Ramadhani Kitwana Dau aula tena ISSA

CHADEMA ni moja, kamati kuu ilipowafukuza ni chadema nzima ilihusika, maana chadema siyo mbowe, slaa au zitto.

Tutawafukuza masalia wote wenye hila, wasaliti wote lazima wachukuliwe hatua

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

mwishowe mtafukuzana nyie wa kamati kuu,,,demokrasia inaendana na uvumilivu,,,,,
turudi kwa Dr Dau,je hao anaowaajiri si wachapa kaz????au mnataka awe kama Jairo au Ekelege,au Mataka???au Liumba,au Che-Ngeh???acheni uzush jamani
 
mkapa akimpenda mtu kuna kitu hasa mlungula lakini sikubishii kama jamaa ni jembe
 
Hakuna upendeleo NSSF labda kama kuna watu wengine,,huwezi amini YAKUBU KIDULA ni mtu ambaye na mahusiano naye ya karibu sana na nimekaa sana kwake pale Sinza Makaburini enzi hizo na mpaka sasa anaishi pale,,jamaa yuko very straight mi nilifikiri nikimaliza chuo atanibeba kwa kuwa ana wadhifa mkubwa pale NSSF lakini wapi alikuwa ananiambia muombe Mungu tu atakusaidia utapata lakini wapi Interview ya kwanza nimeenda na ya pili sikuitwa japo sikushindwa maswali.

Nilikua namuambia kama unaogopa kunipa kazi sababu watahisi UNDUGULIZATION wetu basi nitafutie hata mikoani tu lakini wapi Alhaji yule akaninyima kabisa kazi japo ye na Mke wake wote wako pale NSSF, Honestly nilitoka kumchukia sana ndugu yangu yule hasa kipindi kile ambacho sina kazi lakini sasa Alhamdulillah nina kijishughuli changu nimesahau yote hayo.
 
usilalamike sana kijana ndio kawaida hiyo kwani hata ukienda upande wa pili mambo yako hivyo hivyo...dr bwana,wewe na chuo chako mimi na six yng yule niko mkoani nakula kiulaiiiiiiini, nssf bwana kazi kidogo hela nyingi.........lkn usijali mdau c o lzm wote tuwe nssf endelea na biashara tutakuja kununua au nenda hata bandari unaweza ukapata kazi....!?
 
Kaka jambazi anasema atatembelea wakati wa krismas kuona kama watapamba na shamrashamra za sherehe, bila kusahau siku za ijumaa kunakuwaje ofisini
 
Siwezi kusemaa ni ukwasi au wizi ...lakini anao utajiri mkubwa Sana ....kila Ghorofa Moja la NSSF linalojegwa....kuna kampuni Moja ya kandarasi ikiwemo Za electrical ambayo kupitia hio ...lazima ghorofa lake nalo lipande....ie kariakoo ,pale makumbusho,mlimani etc
Chuo kikuu cha Dodoma ...kimemeza pesa nyingi tu Za wanachama....zilizoishia mifukoni kwa maafisa wa NSSF na hata wa chuo .....,maeneo ya Mbezi kuna mmoja wa maprofesa amejengewa chuo chake kikubwa Tu kupitia ujenzi wa udom...

Siku zote wanasema the only safe way kwa funds managers popote pale kufaidika tena kisomi ....ni through White Elephant Projects ...Sio NSSF tu......karibuni Masharika yote ya hifadhi ya Jamii nchini wakuu wake wanaiba kupitia white elephants projects.........hizo ni pesa Za wanachama ,iPo Siku watazihitajii..na wanataka miradi yenye faida ili nao wapate dividends ..pesa zinatumika Zao.....

Kuna Hao LAPF ...like Jengo Lao pale makumbusho.....Mara ya kwanza walikodishia hotelie ..Yule Mzungu tapeli ( Namjuwa ) alikimbja na pesa Za pango..kwa Kifupi aliendesha hoteli bila kulipa kitu...na kutoroka...,ikumbukwe kuwa ile hoteli kila kitu hadi umma ..walinunua LAPF yeye alikuwa na begi lake na akaondoka na bag lake...
Baada ya hapo hoteli akipewa Mzee Peacork ...aliikutaa kwenye Hali Mbaya ..ikabidi ifungwe ...kwa miaka mitatu Sasa au Zaidi.. ...
Juzi tu naona LAPF wameweka Bango la kukarabati Jengo ..( off course miaka 10 imefikia ) linahitaji kukarabati mkubwa...........ni miaka kumi ambapo pesa Za wanachama zinaenda kukarabati Jengo zuri la biashara ambapo lingetakiwa liwe limerudisha angalau asilimia...80 ya gharama ....lakini Hali Halisi Jengo lile halijaingiza CHOCHOTE kwa wanachama ...Sana Sana linakuwa mzigo kwa pesa Za wanachama kuchukuliwa kulitunza ...Huku pesa Za pango zikiliwa..

Hizi white elephants Za Masharika haya SSRF lazima wazidhibiti......

Tuambie kwa nini CAG anaficha ripoti ya ukaguzi wa BOT na TRA ?

kwa nini ripoti zilizowekwa mtandaoni ni za general lakin specific za hayo mashirika zimefichwa?

halafu hujaongelea performance ya Dau NSSF zaidi ya kutoa hadhithi bila ushahidi wowote ule
 
Waafrika sijui Tumelaaaniwa!!? Haingii akilini kila siku watu wanarumbana na kutukanana kuhusiana na Utamaduni wa watu wengine huu ni upuuzi mkubwa sio siri.
 
Tungekua na kina dau kama kumi tu,bongo ingekua kama dubei.
 
Hivi ni kuula kumbe?? Si ameenda kutumikia jamii au ameenda kubunya mabonus ya mil400 kwa mwaka?
 
Kwani huju NSSF imeshakuwa kama masjid?
kama TRA na BoT zilivyokua kama parokiani.mababa paroko na maskofu kazi kujichotea mifedha eti wana memorandum of undestanding na serikali,memorundum za kufuja pesa ya walipa kodi kwenda kujengea makanisa?
 
Ulimbukeni (ujinga?)! Angepata ukatibu angekodi helcopter ya wazi.

Hawa watu mbona wajinga hivyo; kila mtu anapochaguliwa kutumikia mashirika ya kimataifa angekuwa anafanya maandamano kama huyu zuzu si foleni zingefika TABORA kwa Kapuya!! Acheni ulimbukeni huo huyu Dau is just a religious zealot who is using the current weak leadership to advance his personal agenda based on his religion!!!
 
what persönal agenda?
 
kama TRA na BoT zilivyokua kama parokiani.mababa paroko na maskofu kazi kujichotea mifedha eti wana memorandum of undestanding na serikali,memorundum za kufuja pesa ya walipa kodi kwenda kujengea makanisa?

Hayo tunashughulika nayo si muda tutayamaliza na wao hilo weshalijua, hivyobasi chokochoko uzionazo ni kututoa mchezoni,
Lakini kila chenye awali uake kina hatima yake,
Na hatima ya hiyo habari ya uchotaji wa fedha imebaki kidogo tu ifungike.
 
Hawa watu mbona wajinga hivyo; kila mtu anapochaguliwa kutumikia mashirika ya kimataifa angekuwa anafanya maandamano kama huyu zuzu si foleni zingefika TABORA kwa Kapuya!! Acheni ulimbukeni huo huyu Dau is just a religious zealot who is using the current weak leadership to advance his personal agenda based on his religion!!!

I can see a point inside..........
 
Back
Top Bottom