Sifungwi na itikadi yoyote ya dini wala siasa, NSSF ina udhaifu mkubwa katika kutoa mafao kwa wanachama wake kuliko mfuko mwingine wowote wa hifadhi ya jamii, huu ni ukweli kabisa NSSF ina element ya dhuluma kwenye fomular yake ya mafao ya kustaafu, haina record madhubuti ya michango wanayoipokea toka kwa wanachama, wanausumbufu mkubwa katika kutoa mafao kwa wanachama wake kiasi kwamba inaweza kuchukua miezi sita au zaidi.
Tusibweteke na uwekezaji usio na manufaa kwa wanachama ambao ndio wenye pesa.