stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Kwahiyo Mods lengo lenu ilikuwa Dr.Dau aonekane mdini au tatizo ni nn? Kulikuwa kuna haja gani wa kuurudisha huu Uzi ikiwa kuna data mmezitoa? Ni heri mngeondoa kama mwanzo kabisa usiwepo. Inawezekana na nyie Mlawa mnalea haya mambo ya UDINI ambao sisi tunaupinga.
wako wapi wa I'm a macho