Dr Peter Dalaly Kafumu apata ajali

Habari za uhakika na zimethibitishwa na Mwigulu Nchemba mbele ya mkutano wa hadhara Nkinga leo jioni.Kuwa Dr Dalaly Kafumu amepata ajali mbaya maeneo ya kijiji cha Mwisi,amelazwa hapa Nkinga hospital ameumia kichwani.Nchemba amehusisha ajali hiyo na imani za kishirikina kuwa ni uchawi wa Cdm uliosababisha ajali hiyo.
\
Pole Kfumu

I think CCM sasa inabidi wamdhibiti Nchemba, he is too acidic to his own party, yeye kama kiongozi, hatakiwi kabisa kusema maneno kama imani za kishirikina, its either ni mchawi au anaabudu uchawi... vipi ndugu zetu wote wanaoteketea kila siku kwa ajali za barabarani, nao tuwasingizie uchawi

tukimtukana tunapewa ban ila jamaa ni kero kama sio a$$h01e
 
Mwigulu nguvu ya umma inapokuja kupita jimboni kwako lazima tukutoe pepo maana unalo jeshi la nguruwe wachafu
 
Sii vizuri kufurahia ajali ya mwingie, Lakini ukweli ni kwamba watu wa aina ya mwigulu ni hasara kubwa kwa taifa.
 
Biblia inasema: Usimwache mchawi akaishi, ijapokuwa yeye ni mchumi wa daraja la kwanza, ijapokuwa historia yake aliwahi kufanya kazi BOT na sasa wana Iramba wamemtuma bungeni nawaombea CCM WOTE WAKA REST ON FIRE!

biblia imeandikwa mahala fulani kuwa "usimuache mwanamke mchawi kuishi"
maneno haya aliambiwa nabii Musa.
 
tunampa pole lakini????? sasa anaenda kwa hospital ambako madaktari wako frustrated na selikari ya chama chake amabyo inaua watu hovyo na sidhani kama hiyo hospitali ina x-ray machine au CT scan , kweli kamishna wetu atapata huduma stahiki kweli?? nilishangaa sana wabunge wa CCm walivyuokuwa wanawaponda madaktari wetu na yeye akiwemo.
 
Habari za uhakika na zimethibitishwa na Mwigulu Nchemba mbele ya mkutano wa hadhara Nkinga leo jioni.Kuwa Dr Dalaly Kafumu amepata ajali mbaya maeneo ya kijiji cha Mwisi,amelazwa hapa Nkinga hospital ameumia kichwani.

Nchemba amehusisha ajali hiyo na imani za kishirikina kuwa ni uchawi wa Cdm uliosababisha ajali hiyo

Hapo kwenye red! Sijui nani anawachaguaga viongozi wasio na fikira kama huyu anayetamka vitu ambavyo haiwaingii Watanzania hata punje!

ccm ni zigo kwa Taifa letu jamani!
 
Ninamtakia heri apone, maana Mwigulu anajua uchawi sana,m inaonyesha atampeleka kwa sangoma.

Habari za uhakika na zimethibitishwa na Mwigulu Nchemba mbele ya mkutano wa hadhara Nkinga leo jioni.Kuwa Dr Dalaly Kafumu amepata ajali mbaya maeneo ya kijiji cha Mwisi,amelazwa hapa Nkinga hospital ameumia kichwani.Nchemba amehusisha ajali hiyo na imani za kishirikina kuwa ni uchawi wa Cdm uliosababisha ajali hiyo.
 
Habari za uhakika na zimethibitishwa na Mwigulu Nchemba mbele ya mkutano wa hadhara Nkinga leo jioni.Kuwa Dr Dalaly Kafumu amepata ajali mbaya maeneo ya kijiji cha Mwisi,amelazwa hapa Nkinga hospital ameumia kichwani.Nchemba amehusisha ajali hiyo na imani za kishirikina kuwa ni uchawi wa Cdm uliosababisha ajali hiyo.

Ni sahihi kwa mwigulu kufikiri hivyo kwani CCM iliachiwa mapepo ya kutosha na Sheikh Yahaya ya kuwalinda. Sasa yamechoka nguvu ya CDM imekuwa kubwa
 
Habari za uhakika na zimethibitishwa na Mwigulu Nchemba mbele ya mkutano wa hadhara Nkinga leo jioni.Kuwa Dr Dalaly Kafumu amepata ajali mbaya maeneo ya kijiji cha Mwisi,amelazwa hapa Nkinga hospital ameumia kichwani.Nchemba amehusisha ajali hiyo na imani za kishirikina kuwa ni uchawi wa Cdm uliosababisha ajali hiyo.
Hata mfumko wa bei na yale mamilioni yalioko Uswisi yamesababshwa na uchawi wa CDM.
 
Ni mara chache kupata msomi wa aina ya Nchema! Kwanza mropokaji, pili bado anaamini uchawi pamoja na kuelimika na mwisho hajui atokako wala aelekeako - huyo ndio msomi mchumi daraja la kwanza Tanzania
 
Habari za uhakika na zimethibitishwa na Mwigulu Nchemba mbele ya mkutano wa hadhara Nkinga leo jioni.

Kuwa Dr Dalaly Kafumu amepata ajali mbaya maeneo ya kijiji cha Mwisi, amelazwa hapa Nkinga hospital ameumia kichwani.

Nchemba amehusisha ajali hiyo na imani za kishirikina kuwa ni uchawi wa Cdm uliosababisha ajali hiyo.
KWANI WENYE UWEZO WA KUROGA NI CHADEMA TU? Huyu jamaa ni KILAZA SANA, MASHAVU YAKE!
 
Back
Top Bottom