Dr. Pallangyo, Mbunge mpya Arumeru ashindwa kuuliza swali la nyongeza Bungeni

Kuna huyo na yule Mbunge wa Arumeru Magharibi anaitwa Gibson yaani lile ndio LI HOVYO kabisa, yaani hakunaga chochote anachofanya.

KWAKWELI Arumeru Magharibi haijawahi kupata Mbunge.
 
Ntaitafuta Mkuu niitazame tu ,

Mkuu afu kumbuka kiongozi anayetakiwa kutunga sera za kutuletea mabadilko anatakiwa ajue tu kusoma na kuandika basi.
Hahaha ni kweli kabisa mkuu, ila ujuvi wa kujua hapa inatakiwa kuongelea Korosho halafu mtu anazungumzia pipi za Azam ni tatizo, kibajaji na msukuma wanamzidi maarifa PHD ,
 
Leo katika kipindi Cha maswali na majibu Mhe.Spika alimpa nafasi Mbunge aliyeapishwa leo kwa Jimbo la Arumeru kuuliza swali la nyongeza lakini Mbunge huyu alishindwa kufanya hivyo.

Kwanza alianza kujipongeza yeye na kumpongeza Mhe.Rais kwa kazi nzuri anayofanya, akaendelea kushukuru kwa kuiingia bungeni mara ya kwanza. Akaendelea kutoa pongezi hadi wabunge wenzake wakaanza kumtetea chini chini kuwa ni mgeni na hakujiandaa, mara spika akamkatisha kuokoa jahazi.

Mbunge huyu ni msomi wa PHD, alijipanga muda mrefu kuwa Mbunge lakini akashindwa kwenye kura za maoni na mara ya mwisho akashindwa kwenye uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2015. Hii inaonyesha alijipanga muda mrefu kuwa Mbunge na hivyo kwa usomi wake anapaswa kujua tamaduni za kibunge kupitia kuliona bunge lakini pia kupitia tovuti na machapisho mbalimbali .

Kwa namna alivyoshindwa leo kuuliza swali la nyongeza napata shida kama kweli anajua wananchi wanataka nini. Kitendo Cha kusifia na kujipongeza ni ishara kwamba lipo tatizo la watu kujifunza na kuelewa majukumu ya kazi anayoomba kabla ya kuomba kazi husika.

Muda aliopata toka ateuliwa na tume kuwa Mbunge ulitosha kujisomea, sidhani kama anaweza kuvaa viatu vya mtangulizi wake.......anaonekana kupwaya
Mtangulizi aliunga juhudi kijanja
 
Nadharia za kupita Bila kupingwa matokeo yake ni wananchi kupewa wawakilishi vilaxa.Atakuwa alisoma sayansi huyo ndo wasioweza kuongea hawana public speaking skills,
 
Mungu ana kitu kalenga kupitia CDM, nilikua vijiji vya Singida na Shinyanga kweli watu wanaamini ktk CDM tatizo viongozi hawafanyi fall up katika maeneo mengi
Akijua atapata Kazi nyingine, sista yake nae kapigwa chini alikuwa akifata nyayo labda
 
Leo katika kipindi Cha maswali na majibu Mhe.Spika alimpa nafasi Mbunge aliyeapishwa leo kwa Jimbo la Arumeru kuuliza swali la nyongeza lakini Mbunge huyu alishindwa kufanya hivyo.

Kwanza alianza kujipongeza yeye na kumpongeza Mhe.Rais kwa kazi nzuri anayofanya, akaendelea kushukuru kwa kuiingia bungeni mara ya kwanza. Akaendelea kutoa pongezi hadi wabunge wenzake wakaanza kumtetea chini chini kuwa ni mgeni na hakujiandaa, mara spika akamkatisha kuokoa jahazi.

Mbunge huyu ni msomi wa PHD, alijipanga muda mrefu kuwa Mbunge lakini akashindwa kwenye kura za maoni na mara ya mwisho akashindwa kwenye uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2015. Hii inaonyesha alijipanga muda mrefu kuwa Mbunge na hivyo kwa usomi wake anapaswa kujua tamaduni za kibunge kupitia kuliona bunge lakini pia kupitia tovuti na machapisho mbalimbali .

Kwa namna alivyoshindwa leo kuuliza swali la nyongeza napata shida kama kweli anajua wananchi wanataka nini. Kitendo Cha kusifia na kujipongeza ni ishara kwamba lipo tatizo la watu kujifunza na kuelewa majukumu ya kazi anayoomba kabla ya kuomba kazi husika.

Muda aliopata toka ateuliwa na tume kuwa Mbunge ulitosha kujisomea, sidhani kama anaweza kuvaa viatu vya mtangulizi wake.......anaonekana kupwaya
Ujue Elimu ya PhD ukiwa nayo lazima uwe umepitia mengi ya kujua kujieleza na kujibu swali pale unapoulizwa badala ya kurukaruka, mpaka umefikia PhD unapitia presentations nyingi na kukutana na audience kibao zenye maswali na kuyajibu, kufika bungeni unatetemeka ni kitu kingine, kukosa confidence ni kitu kingine naweza nikatilia shaka kuwa huenda miaka yote aliyosoma kama kweli amekosa uzoefu maana yake kuna walakini hapo kwenye elimu na maisha yake ya kisiasa.
 
😁😁😁 hata katibu mkuu mstaafu wa ccm alikua jangili sijui ameacha
 
Niliangalia clip ile but inaonekana hana meno mdomoni ndo mana alipata shida sana kuongea
 
Mimi nadhani mnamuonea huyo mbunge, wakati alichokifanya ndio uwezo wake! Ebu wote tujiulize mbunge hakupiga kampeni na kukutana na wapiga kura na kujua kero zao, mlitaka aulize swali gani? achilia mbali kuzijua kanuni siyo issue sana ila angeuliza maswali gani wakati katokea nyumbani kwake moja kwa moja kwenda bungeni? Inawezekanaje mbunge kabisa yupo ndani ya ukumbi wa bunge na anamuona spika mbele yake anamuita mh rais? soo sad.
 
Jamani hii ni aibu, sasa huyu mbunge anaweza kueleza shida kweli za jimbo lake la arumeru mashariki

Jamani kama huelewi video hii hapa tunaenda wapi Tanzania mbona mnatuwekea vilaza bungeni ? Aaaaaaaaah

Oyoooooo doh hatari mazee e doh
 
Back
Top Bottom