Dr. Ngwale ni nani katika serikali ya Magufuli

Dr. Ngwale ni nani katika serikali ya Magufuli

kwa hiyo ana attend wagonjwa ikulu mind you yeye ni dr wa kina mama na kila alipo rais yeye yupo sijui kama unaelewa ninachotaka kujua
unataka kusema hajui kutibu wanaume?
 
kwa hiyo ana attend wagonjwa ikulu mind you yeye ni dr wa kina mama na kila alipo rais yeye yupo sijui kama unaelewa ninachotaka kujua
Inawezekana ameteuliwa kuwa daktari wa rais.rais lazima awe na daktari popote aendapo,na huwezi kuwa bingwa kua daktari wa kawaida kwa hiyo huyo gyno anafaa pia kua doctor wa rais
 
Hilo nalijua lkn hawezi kuwa dr wa rais kwani ku specialize tayari kuna kupa nafasi ya mengine ya general kuwa mgeni nayo sana sio kama sharia mfano the more you go to school the more you understand things
medicine unakuwa tofauti
China town Tafadhali nenda kwenye tovuti ya Ikulu kaangaliye.Wale Watu wote wanaomzunguka Rais ni wataalamu wa Hali juu ktk fani zao.
Hivi unategemea uambiwe anafanya nini?Haya basi kazi yake ni kutafsiri mambo ya afya Kwa Raisi.
 
Hivi Gynecologist hawezi kumtibu mume wa mama flani ugumba?
Hata kama atatibu ugumba wa mume lakini Gynecologist anabaki kuwa ni dakitari wa kina mama (wanawake) Huyo Mwanaume anatibiwa kwa sababu mke anakwenda kumwona gynecologist kwa sababu ya kutokupata mtoto na hapo ndio dakitari huyo wa kina mama inambidi a rule out whether mzee amebeba bunduki isiyo na risasi. Kama wewe ni dume kesho muage mkeo unakwenda kumwona gynecologist kama hakutawaka moto nyumbani. Men don't go see gynecologist but women do. Umenipata?
 
Inawezekana ameteuliwa kuwa daktari wa rais.rais lazima awe na daktari popote aendapo,na huwezi kuwa bingwa kua daktari wa kawaida kwa hiyo huyo gyno anafaa pia kua doctor wa rais
Nonsense. If the president is a woman that would make sense.
 
Hata kama atatibu ugumba wa mume lakini Gynecologist anabaki kuwa ni dakitari wa kina mama (wanawake) Huyo Mwanaume anatibiwa kwa sababu mke anakwenda kumwona gynecologist kwa sababu ya kutokupata mtoto na hapo ndio dakitari huyo wa kina mama inambidi a rule out whether mzee amebeba bunduki isiyo na risasi. Kama wewe ni dume kesho muage mkeo unakwenda kumwona gynecologist kama hakutawaka moto nyumbani. Men don't go see gynecologist but women do. Umenipata?
Wanaume wanaenda kumuona Gynecologist acha porojo period...this is GT forum !
 
Hujui kitu wewe,aliekwambia kila mwanamke lazima awe na gynocologist nani
Wewe Hujui kuwa hujui unachoandika. Hakuna mahali nimeandika kuwa kila Mwanamke lazima awe na Gynecologist. Nilichosema ni hivi Gynecologist ni vema awe dakitari wa rais Mwanamke na sio Mwanamme.
 
Dkt. Ngwale, Mwenyekiti wa Bodi ya Walaka wa Majengo (TBA) ?
 
Hawaonekani hovyo hovyo kwa maana gani? Hufahamu kama kuna wachungaji au maaskofu ambao ni majasisu.

Mimi nimemsaidia muuliza swali kwa sababu yeye anadhani akimuona fulani anatibu wagonjwa kwenye hospitali ya Jeshi basi huyo ni daktari tu na hana fani nyingine zaidi ya udaktari.

Una haki ya kukubali au kupinga comment yangu kwa sababu nilichofanya ni kutoa dokezo tu.
Hilo linajulikana. Nilichomaanisha watu wa kazi hiyo huwa hawajiweki kimbele mbele ili wasihisiwe (be suspected) wanafanya kazi hiyo. Na kama hii ndiyo nia ya mleta mada anayotaka kujua, hapa (Jfs) si mahali pake na mada yake haina maana. Hao wako wengi tu na wametapakaa kila mahali nchi nzima, na ni kwa ajili ya usalama wetu. Kazi zao huzifanya kwa kificho na jamii haitakiwi kuwafahamu isipokuwa viongozi wao tu. Asifikiri wapo tu kwenye ziara za rais. Hata humu wapo wengi tu na ni utaratibu wa nchi zote duniani. Mleta mada aache kuchokonoa kama lengo lake lilikuwa ni hilo.
 
Namzungumzia Dr. wa binadamu Gynocologist Ngwale aliyewahi kukaimu ukurugenzi hospital ya taifa muhimbili miaka iliyopita kidogo.

Nimeuliza kwa sababu kila alipo rais magu naye yupo pembeni anafanya kazi gani ikulu ?kazi ya kitabibu au ?
Hivi prof. Mwakyusa ni prof wa mambo gani wakati anafanyakazi ikulu kama Dr.wa mwl Nyerere?
 
kuna dr aliyeteuliwa kama dr wa rais I know ,huyu by professional ni dr wa kina mama ,naamini anafanya kazi isiyo ya udaktari pale so I want to know
Ushafahamu kuwa anafanya kazi ambayo sio ya udaktari, and unafahamu na unamfahamu Dr wa Mr president, so unataka nini tena? Unataka kuniambia wale wote wanaoongozana na raise unafahamu majikumu yao? Au unataka kumuonea tu Dr Ngwale just kwa sababu unamfahamu personal ?
 
Acha umbea kutaka kujua kila kitu, unajua ni dkt kaz Yake kutibu watu inatosha hapo. Umbea tu
 
kwa hiyo ana attend wagonjwa ikulu mind you yeye ni dr wa kina mama na kila alipo rais yeye yupo sijui kama unaelewa ninachotaka kujua
Daktari yeyote kabla hajawa bingwa ni lazima awe daktari wa general.
 
Mtu wake ta
ngu k
ampeni waliofanya nae kazi Muhimbili wanamjuwa majivuno yake anaambavyo
hana utawala mzuri kama ni mshauri hatu shangai yanayotokea
 
Back
Top Bottom