kwa hiyo ana attend wagonjwa ikulu mind you yeye ni dr wa kina mama na kila alipo rais yeye yupo sijui kama unaelewa ninachotaka kujuaSi umesema ni gynaecologist, sasa unataka afanye kazi gani nyingine pale Ikulu? Kumbuka ikulu ni tasisi kubwa.
kuna dr aliyeteuliwa kama dr wa rais I know ,huyu by professional ni dr wa kina mama ,naamini anafanya kazi isiyo ya udaktari pale so I want to knowUkisema hivyo utauliza mbona magu naye ni mwalimu, anafanya nini ikulu. Ikulu ni taasisi kubwa na pia usione ukadhani
wewe,kabla hujaspecialize lazima upige miaka yote ya MD,kuna dr aliyeteuliwa kama dr wa rais I know ,huyu by professional ni dr wa kina mama ,naamini anafanya kazi isiyo ya udaktari pale so I want to know
Rais ni binadamu tena anaelekea mzee, hivyo ni jambo la kawaida kuwa na Daktari jirani.sina access ya picha ila nimemuona akiwa ikulu na wa south sudani ,tazara,chato nk nk
Hilo nalijua lkn hawezi kuwa dr wa rais kwani ku specialize tayari kuna kupa nafasi ya mengine ya general kuwa mgeni nayo sana sio kama sharia mfano the more you go to school the more you understand thingswewe,kabla hujaspecialize lazima upige miaka yote ya MD,
dr wa kina mama????????Rais ni binadamu tena anaelekea mzee, hivyo ni jambo la kawaida kuwa na Daktari jirani.
Kama kuna matatizo yanayozuilika ni bora yakazuiwa kuliko kuyaacha na baadae yakaleta gumzo na kumwathiri Rais kisaikolojia.
dr wa kina mama????????