Dr. NDODI: Kuvaa suruali kuna madhara kwa wanawake

ha ha ha..
i was just trying to be sure..
what a lucky guy,
at least i can say i helped him,right?

No,i said am attached to him emotionally,physically we are separated for good.........stay away soulmates...l.o.l
 
dah kuna kila dalili ya kibarua changu kulejea. :msela::bange:

Usije ukajidai una maadili tena,ntakapokuwa nataka kukulipa by kindness.....bosi wako halipi mshahara so nikikuita mazingira yanayoashiria ulipaji by kind wa kitu roho penda,unachangamka,una act Kloro act.....lol
 
mmh..now where is Kloro.......dah.....ngoja tu niwe mpole..... Michelle....
 
Usije ukajidai una maadili tena,ntakapokuwa nataka kukulipa by kindness.....bosi wako halipi mshahara so nikikuita mazingira yanayoashiria ulipaji by kind wa kitu roho penda,unachangamka,una act Kloro act.....lol
mbona unayasema hazarani? jamaa akiona si ataweka kauzibe? hehehe acha nikae mkao wa kula!
 
mbona unayasema hazarani? jamaa akiona si ataweka kauzibe? hehehe acha nikae mkao wa kula!

Utaishia kunawa,kula huli wewe.....l.o.l naona unafafanua waelewe sasa offer imekatizwa,pambana/andamana upate kilicho chako.....:sick:
 
Utaishia kunawa,kula huli wewe.....l.o.l naona unafafanua waelewe sasa offer imekatizwa,pambana/andamana upate kilicho chako.....:sick:
michelle bana! yaani unanitamanisha halaf unaniimbia mipasho sio? sawa bana acha nirudi kwa preta nikaapolojaizi.
 
michelle bana! yaani unanitamanisha halaf unaniimbia mipasho sio? sawa bana acha nirudi kwa preta nikaapolojaizi.

Umejua vema,nenda kwa amani....msalimu Preta mrembo......kwanini wanaume hamridhiki jamani???:A S 20::A S 20::A S 20:
 
Usiwe mpole wangu,utaitwa ***** lol,niambie.....mambo yako??

well well...its kind of "this is not my game"...but eventually, hata Liverpool huwa wanashinda siku moja moja

Am gud Madam Michelle....:coffee:
 
Umejua vema,nenda kwa amani....msalimu Preta mrembo......kwanini wanaume hamridhiki jamani???:A S 20::A S 20::A S 20:[/QUOTE
mwanaume aridhike????

wanaume wote tuna rule moja inatutawala .inasema NEVER SAY NO TO A FREE P.U.S.S.Y......
 
mkuu usharudi dodoma? nataka kutia timu huko lakini tusje tukagongana , mwenyeji wenyewe mmoja

dah,,ntakustua bana....ila ukienda na laptop uiache reception kuna jamaa ameulaani mji mzima eti kuna wezi, wakati aliacha laptop chumbani akasepa

sasa kwa maukarimu ya mwenyeji wetu hili ni angalizo tu mkuu.....kisha mtaji wako wa kununua mlenda uufutike kibindoni 24/7 isije ikawa sababu ya kuhamia kabisa LOL

Wapi Nilham leo na mwenziye Hashy (asije akaiba tena kiroba cha simenti LOL leo sina hela ya kumdhamini)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom