Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Basi jana nikamsikiliza Dr. Ndodi, mwenye hospitali yake Itumbi Hoteli, kupitia Channel 5. Akafundisha mengi na kumalizia na yafuatayo:
1. Kwa kawaida protein/wanga ya/wa ziada husababisha vitambi kwa kina baba na maumbo makubwa(hasa makalio na mapaja) kwa kina mama. Kwa kuwa wanawake wakivaa suruali wanabana makalio na mapaja, hivyo protini/wanga ya/wa ziada hutaifadhiwa matumboni na hivyo kusababisha wanawake kuwa na vitambi.
2. Mbali na vitambi, kuvaa suruali husababisha ongezeko la maji "ikulu".
Mie nimelileta ili nipate kujuzwa kama kuna ukweli wowote juu ya madai haya.