Dr Nchimbi Hoi!!!

Dr Nchimbi Hoi!!!

Status
Not open for further replies.
Nikisoma comment za vijana wa chadema naogopa, naanza kuaaelewa kwnini viongozi wake na wanachama wake wanahusishwa na unywaji waa gongo

Sina hakika kama comments hizi ni za watu wa chadema kama unavyofikiri. Kwa mambo anayohusishwa nayo jamii inamwona kwa taswira hiyo. Kama ni yeye kaanzisha uzi huu kwa lengo la kupima upepo atakuwa kapata majibu pia, jamii inamtazamaje.
 
Hivi mbona watu wa chadema mmekosa utu hivi, sio kipindi cha kusema kauli kama hizi. Chadema kuweni hata na utu basi
una uhakika ni chadema?? au ni mtu mwenye issues zake tu?
 
Dk . Emmanue Nchimbi , ambaye
alikuwa waziri wa mambo ya ndani ya
Nchi, yuko hoi hospitarini . Madaktari
wanasema anasumbuliwa na ugonjwa
wa msongo wa mawazo .
Kwa mujibu wa mmoja wa
wanafamilia wa karibu wa Nchimbi ,
anasema mwanasiasa huyo
amekubwa na ugonjwa huo mara
baada ya Rais Jakaya Kikwete
kutangaza baraza lake la mawaziri
Jumapili iliyopita.
Amesema Nchimbi amekuwa
akisumbuliwa na msongo wa mawazo
tangu alipolazimishwa kujiuzulu na
Bunge baada ya kukumbwa na kashifa
kwenye opesheni ujangili.
Amenieleza kwa sasa amelazwa
kwenye hospitali moja jijini Dar es
Salaam chini ya ulinzi mkali wa
wanafamilia. Kulazwa kwake na hata
ugonjwa wake kumefanywa siri
kubwa .
Tunaendelea kufuatalia na
kutawaletea kila kitakachopatikana.

Chanzo: mitandao ya kijamii.
Sio ajabu kumtokea maana huyu naye ana safari ya kwenda ikulu. Sasa si unajua wote walianza mbio kabla ya 'on your mark'. Sasa ametolewa nje ya uwanja sijui itakuaje!
 
Naimani Mungu kwa uwezo wake atamponya Dr Nchimbi ili arejee kuwawakilisha wananchi wa jimbo lake.

ameshindwa kuwasaidia akiwa waziri atawasaidia akiwa mbunge+ msongo wa mawazo?
atawakilisha nini na full msongo wa mawazo kichwani,
kila akigeuka anawaza dollari alizokuwa akikamata kwa kina kinje!
 
kukosa uwaziri is not the end of the world maisha lazima yaendelee tu , aponywe katika jina La Yesu

Wewe acha Uwaziri wa Mambo ya Ndani naona una Uhondo wake sijui ni hizo saluti; Unakumbuka ya LAU MASHA... aligomea kurudisha Ofisi kwa Muda alikimbilia SOUTH AFRICA kujificha huko; Wakati Wapambe wake wakijaribu kwa hali na Mali kutafuta kosa lolote Mpinzani wake alilolifanya avuliwe UBUNGE;

Mpaka hapo walipopata kura za POLISI MLANGO MMOJA... Kambi nzima Lau Masha alipata kura 5 tu kati ya Polisi 2,000 wanaoishi kwenye kambi hiyo
 
Sasa kama yu hoi kwa uwaziri, vipi hali ya wajane, mayatima na wale waliong'olewa viungo
Si huyu alikuwa anafunika makombe watu wakiuawa na kuteswa leo maumivu anayapataje.
 
Kwa vile rafiki yake leo ni naibu waziri wa M-pesa basi atumie kilichopo wampelekea south au india,maana kiapo walichokula hakirushusi mmoja kumuacha mwenzeke ateseke angali wote wako hai.......mengine acha tuyahifadhi
 
Sasa kama yu hoi kwa uwaziri, vipi hali ya wajane, mayatima na wale waliong'olewa viungo
Si huyu alikuwa anafunika makombe watu wakiuawa na kuteswa leo maumivu anayapataje.

Chezea mkuki kwa Kitimoto kaka!! Ukikurudi sasa ndiyo balaa
 
Msije singizia mizimu kumbe ni mtindo ule ule ulitumika kwa Mwakyembe unatumika kupunguzana kasi-Msisahau hizi ni siasa za Bongo kuzungukana ni kwingi mno.Namwombea aponywe tu KWA JINA LA YESU hata kama aligeuka kuwa adui wa wengi.
 
Hating is a desease! get well soon you hater unayepost uzushi kuwawazia wenzako matatizo!
then you call this a forum of greating thinkers!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom