Dr Nchimbi Hoi!!!

Dr Nchimbi Hoi!!!

Status
Not open for further replies.
Ndugu umenikumbusha mbali sana.
Hakika pale Malecela alikuwa anajembe na sio hili DEBE lilobakia.

Naamini Makinda anageambiwa achague nani atangulie kati ya hili Debe na Ipyana angechagua Litumbo lile maana halina faida.
Madongo mengine sasa duuuuuuuuuuuu yamepita kiasi. Lord have mercy!!
 
Damu za watu wasio na hatia ndizo zinamtafuna! Cheza na mzimu wa Dr. Mvungi weye!!!!!!

images
images
00211870:b41d02ee1416e716d8fdf59427d0e849:arc614x376:w290:us1.jpg
Damu ya mtu ni mbaya sana kama alimwaga damu itafuatilia kizazi chake chote!!maskini kijana wa watu!!
 
Damu za watu wasio na hatia ndizo zinamtafuna! Cheza na mzimu wa Mwangosi weye!!!!!!

images
images
00211870:b41d02ee1416e716d8fdf59427d0e849:arc614x376:w290:us1.jpg

Bado Fashist Mwigulu! Si walikua wakishirikiana kuuwa Watu wasio na hatia?

Mungu ni wa haki siku zote.hakuna mwenye mamlaka ya kuondoa uhai wa mtu zaidi ya Mungu pekee!
Nchimbi akishirikiana na Mwigulu walijichukulia mamlaka ya Mungu na kuuwa watu wengi bila sababu!
 
Nafikiri ni sababu ya ile ndoto ya kuwa RAIS imekatikia hewani. Sijui ile kambi yake itahamia kwa nani sasa?

Tanzaniahee tanzaniahee kila wzri wa jk anawaza urais hta mchimbi???Dah mwalimu rudi
 
kunawatu was.h.en.z.i sana, wanadhani wao wamezaliwa kutawala na kuongoza watu wengi shwaini
 
Dk . Emmanue Nchimbi , ambaye
alikuwa waziri wa mambo ya ndani ya
Nchi, yuko hoi hospitarini . Madaktari
wanasema anasumbuliwa na ugonjwa
wa msongo wa mawazo .
Kwa mujibu wa mmoja wa
wanafamilia wa karibu wa Nchimbi ,
anasema mwanasiasa huyo
amekubwa na ugonjwa huo mara
baada ya Rais Jakaya Kikwete
kutangaza baraza lake la mawaziri
Jumapili iliyopita.
Amesema Nchimbi amekuwa
akisumbuliwa na msongo wa mawazo
tangu alipolazimishwa kujiuzulu na
Bunge baada ya kukumbwa na kashifa
kwenye opesheni ujangili.
Amenieleza kwa sasa amelazwa
kwenye hospitali moja jijini Dar es
Salaam chini ya ulinzi mkali wa
wanafamilia. Kulazwa kwake na hata
ugonjwa wake kumefanywa siri
kubwa .
Tunaendelea kufuatalia na
kutawaletea kila kitakachopatikana.

Chanzo: mitandao ya kijamii.

Asiwe na wasiwasi. Mkuu wa nchi akitulia atapata ofisi ya ubalozi nje ya nchi. Potelea mbali hata kama ataanzia Rwanda.
 
Damu za watu wasio na hatia zinapomwagwa, huwa zinamlilia Mungu, kama damu ya Habili iliyomwagwa na Kaini. Mungu alimwambia Kaini, "Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi." (MWANZO 4:8-10).
 
Dk . Emmanue Nchimbi , ambaye
alikuwa waziri wa mambo ya ndani ya
Nchi, yuko hoi hospitarini . Madaktari
wanasema anasumbuliwa na ugonjwa
wa msongo wa mawazo .
Kwa mujibu wa mmoja wa
wanafamilia wa karibu wa Nchimbi ,
anasema mwanasiasa huyo
amekubwa na ugonjwa huo mara
baada ya Rais Jakaya Kikwete
kutangaza baraza lake la mawaziri
Jumapili iliyopita.
Amesema Nchimbi amekuwa
akisumbuliwa na msongo wa mawazo
tangu alipolazimishwa kujiuzulu na
Bunge baada ya kukumbwa na kashifa
kwenye opesheni ujangili.
Amenieleza kwa sasa amelazwa
kwenye hospitali moja jijini Dar es
Salaam chini ya ulinzi mkali wa
wanafamilia. Kulazwa kwake na hata
ugonjwa wake kumefanywa siri
kubwa .
Tunaendelea kufuatalia na
kutawaletea kila kitakachopatikana.

Chanzo: mitandao ya kijamii.

Utata;1. Madaktari wamesema anasumbuliwa na ugonjwa wa msongo wa mawazo, kulazwa kwake na ugonjwa kumefanywa siri kubwa. Utata
 
kukosa uwaziri is not the end of the world maisha lazima yaendelee tu , aponywe katika jina La Yesu

mkuu , wewe ndiyo unasema hivyo , kwa NCHIMBI madaraka yalikuwa yake na wala si ya mtu mwingine !
 
mpeni pole lakini akumbuke kuwa cheo ni dhamana,sasa yeye alifikiri ataendelea kuongoza siku zote?
 
Mkulu aliwambia urais.wake anaubia na mtu hata walio pigia kura
Hta wtz.yeye alibaki kujikomba na kuumiza wtz sasa yamekukuta mkulu
kakumwaga
 
Nasikia jamaa ni Mshirikina hatari kuna ndugu yake mmoja jina limeifadhiwa nilisoma nae anasema kwao na yeye mwenyewe Mh. ni hatari funga kazi ya kijiji
 
Sharon alizamishwa 8yrs kwa mateso makali aliyowatesa wapalestina, sasa hivi anaogelea moto, malipo Ni hapa hapa duniani
 
Roho ya mwangosi ingali inaona bado,atubu mapema kuwa alidanganya umma kuhudu mauaji ya daudi mwangosi
 
Nchimbi njoo huku. Aliye juu mngoje chini. Tupo wote chini mkuu. Makidai yote kwisha. Umetesa watanzania wenzako utafikiri wewe si mtanzania bali kaburu.
 
Nasikia jamaa ni Mshirikina hatari kuna ndugu yake mmoja jina limeifadhiwa nilisoma nae anasema kwao na yeye mwenyewe Mh. ni hatari funga kazi ya kijiji
Ushirikina wa kweli ni ule wa kumloga hadi Mungu! Nchimbi anaweza kumloga Mungu?!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom