Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,420
- 271,898
Nasikia jamaa ni Mshirikina hatari kuna ndugu yake mmoja jina limeifadhiwa nilisoma nae anasema kwao na yeye mwenyewe Mh. ni hatari funga kazi ya kijiji
atumie mbinu hizohizo kujiokoa basi , mbona amegwaya na amejisalimisha hospitali ? Masikini NCHIMBI !!! alisahau kwamba MALIPO NI HAPAHAPA ! Bado mmoja , KWELI MUNGU SI ATHUMANI !