Damu za watu wasio na hatia ndizo zinamtafuna! Cheza na mzimu wa Dr. Mvungi weye!!!!!!
Alisababisha bwana kutwaa watu wengi... Niilidhani naye bwana ametwaa....
damu ya Mwangosi inamtafuna.
Tunakuombea mungu akupe afya, nguli wa siasa nchini ndugu emanueli nchimbi
Alipokuwa anashirikiana na Mwigulu kurusha mabomu katika mikutano ya CDM na kuua hadi watoto yeye alikuwa na utu?Hivi mbona watu wa chadema mmekosa utu hivi, sio kipindi cha kusema kauli kama hizi. Chadema kuweni hata na utu basi
Anajiuguza ili apate huruma ya rais?!!! Maaskari walipokuwa wanaua wananchi maeneo mbalimbali ya nchi hilo mbona halikumuuguza? Au ni kuku tu walikuwa wanauawa? By the way, ni kwa nini hajaburuzwa mahakamani?
Huyu si amewai kusema akijiuzuru hatuwezi kumpata waziri mwingine kama yeye.....Nadhani haamini kama kweli ametoswa kwenye uwaziri.!
Damu ya Ipyana Malecela inamuandama
Atakuwa amelazwa. Nafunguo za ofisi mkuuAlikabidhi ofisi?
Bado JK nae atakuja lipa tu damu za watu zilizonwagika chini ya utawala wake.Damu za watu wasio na hatia ndizo zinamtafuna! Cheza na mzimu wa Dr. Mvungi weye!!!!!!