Fisadi Mtoto
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 639
- 79
Ni swali zuri sana lakini huyu nchimbi hajawahi kuonekana hapa jf unless kama anatumia majina ya siri.sasa ujumbe huu ataupataje kamanda?Kheri ya mwaka mpya Dr. Nchimbi. Lakini na mimi pia ningependa kupata maelezo kidogo kuhusu mtu ambaye tayari ana PHD (ya darasani) anavyoendelea kusoma PHD ya pili. Tumekuona unahitimu juzi Mzumbe University lakini umekuwa na prefix ya Dr. kwa muda mrefu. Kama hiyo ya mwanzo ilikuwa ni ya heshima (honorary) tupe mwanga kidogo.