Dr Nchimbi ameunda Kamati sio Tume

Ha ha haa, Mh. Tundu Lissu kawapa kubwa, Magamba hawajui walitendalo!
 
Hata aunde kikundi cha akina mama wakijifunza kupika haitasaidia lolote. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu ana imani na lolote litakalo fanywa na CCM pamoja na serikali yake.
 
ni vizuri viongozi wa serikali kabla ya kutoa matamshi nyeti wakapata ushauri wa kisheria kwanza kwani sheria ya commission of inquiry Act iko wazi kabisa kuhusu tume kuundwa na raisi na si mwingine.Pili kamati ile mbona haijaweka wataalamu wa makosa ya kijinai wa kutosha ili kubaini kama tukio lile lina jinai yoyote au la? hapa nina maana kwamba kwa mtazamo wangu wajumbe hawa wanawakilisha sehemu fulani tu ya watu.
 
Haijawahi kutokea Waziri kuunda Kamati ya kuchunguza mauaji. Lakini hili la Nchimbi mmh!
 
Dah! Mh. Tundu Lissu anawatandika fimbo za uhakika kweli kweli. Hakuna maneno wataacha kuropoka hawa magamba.

By the way, hicho kinachoitwa kamati ndicho kilicho kwenye mamlaka ya waziri? Maana Mh. Lissu alitufumbua macho kwamba Tume ni ya Rais peke yake; je, Katiba na Sheria zinatoa mwanya huo kwa waziri kufanya alichokifanya?

Your Hon. Tundu Lissu Sir (MP, Singida East - CHADEMA); please, clarify this.
 
Nawapenda sana makamanda wa CDM, ni wazalendo halisi. Hebu fikiria Waziri(!?) mzima ana wasaidizi na maandalizi ya kila aina ameitisha press conference akijagamba kuwa kaunda Tume. Hata alipoulizwa kwama atajuzulu akadai eti "akijiuzulu mtapata wapi waziri (kilaza?) kama yeye..." Then anasimama mwananchi mmoja, msomi kitaaluma, mzalendo wa ukweli anakosoa na kukataa ***** wa Waziri (special).

Ndani ya saa 24, Wizara bila kuomba radhi inakubaliana na hoja ya Mh. Lissu, na kwa unafiki na aibu wanaamua kubadili usemi. Bila Waziri/Wizara kujuliza yafuatayo:
1) Kwa vile sasa imeshuka hadhi na kuwa Kamati, je hadidu za rejea bado ni zile zile?
2) Je Wajumbe ni wale wale?na mwisho,
3) Je kuna haja ya hiyo Kamati kuundwa?

Jamani wana JF ni kwa nini tusisimame popote tulipo tumpigie makofi ya asante Mh. Lissu kwa dakika moja?
 
Duuuu Mh Tundulisu kila anapogusa watu hukosa majibu na kubaki kujichanganya!

Kamati haiwezi kuwa na nguvu kama tume kwa hiyo tutegemee madudu kwenye hiyo kamati!

Kweli music ya Tundulissu hauchezwi hivihivi:
 
Huyo ni ndio Dr.Ncimbi / Pro. Mwema

Mkuu huyu jamaa ni bonge la ZUZU. eti anaongea huku kabana pua mbele ya WANAUME MARIJALI, "NIKIJIHUZURU MIMI HAMTAPATA WAZIRI KAMA MIMI" hivi huyu jamaa ana busara kweli ya kuongea mbele ya UMMA. Huyu jamaa atakuwa na tatizo la majivuno, hivi nchimbi kalifanyia nini hili taifa mpaka aropoke hivyo mbele ya jamii???

Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike ili waling'oe madarakani hili li serikali la ccm MAONGO/MAFISADI/MAJAMBAZI/WAUAJI.
 
Kwakweli mi nime simama na nimesha piga na makofi!

Nawapenda sana makamanda wa CDM, ni wazalendo halisi. Hebu fikiria Waziri(!?) mzima ana wasaidizi na maandalizi ya kila aina ameitisha press conference akijagamba kuwa kaunda Tume. Hata alipoulizwa kwama atajuzulu akadai eti "akijiuzulu mtapata wapi waziri (kilaza?) kama yeye..." Then anasimama mwananchi mmoja, msomi kitaaluma, mzalendo wa ukweli anakosoa na kukataa ***** wa Waziri (special).

Ndani ya saa 24, Wizara bila kuomba radhi inakubaliana na hoja ya Mh. Lissu, na kwa unafiki na aibu wanaamua kubadili usemi. Bila kujuliza kama imekuwa Kamati je hadidu za rejea bado ni zile zile?
Je Wajumbe ni wale wale
na mwisho
Je kuna haja ya hiyo Kamati kuundwa?

Jamani wana JF ni kwa nini tusisimame popote tulipo tumpigie makofi ya asante Mh. Lissu kwa dakika moja?
 
Duuuu Mh Tundulisu kila anapogusa watu hukosa majibu na kubaki kujichanganya!

Kamati haiwezi kuwa na nguvu kama tume kwa hiyo tutegemee madudu kwenye hiyo kamati!

Kweli music ya Tundulissu hauchezwi hivihivi:

Mkuu mziki wa TL ni mnene! Unachezwa na wazalendo peke yao na sio type ya magamba. Hakika TL anastahili heshima.
 
Duuuu Mh Tundulisu kila anapogusa watu hukosa majibu na kubaki kujichanganya!
Kamati haiwezi kuwa na nguvu kama tume kwa hiyo tutegemee madudu kwenye hiyo kamati!
Kweli music ya Tundulissu hauchezwi hivihivi:

Duh Chama cha Magamba wote watageuka stageshow!
 
..tunapoelekea,kamati ikilegalega watasema kiliundwa kikundi cha watu kuchunguza tukio hilo..
 
Back
Top Bottom